06/03/2025
🎯🎯 SIPATI UJAUZITO NINI TATIZO? 🎯🎯
🥏🪀 K**a ushawahi jiuliza swali hili na ukahangaika bila kujua sababu,soma hizi sababu kwa makini upate kuelimika..!
🪀 1.MARADHI; kuna magonjwa mengi ya uzazi ambayo ukiwa nayo yanapelekea usipate ujauzito k**a huto yatibu mapema,mfano tatizo la kuziba kwa mirija ya uzazi,tatizo la uvimbe kwenye kizazi,uwinao mbaya wa homoni mwilini,n.k ni vema kutazama magonjwa haya unapopata tatizo hili.
🪀2.KUBADILIKA KWA HEDHI; Kwa kawaida hedhi ni sikun24,26, 28, na wachache ni siku 31, lakini hedhi hii inadum kwa siku 3 hadi 7 kiafya,chini ya siku hizo au juu ya siku hizo sio salama sana,kuvurugika kwa hedhi kunasababisha wanandoa wengi kushindwa kutambua zipi ni siku za joto au hatari ili wazitumie kutafuta mtoto,hapa ndio husbabisha ushindwe kupata ujauzito.
🪀⛳3.DAWA ZA KUZUIA MIMBA; Kutokana na afya ya mtu na mfumo wake wa homoni,kuna baadhi ya wanawake mara baada ya kuacha kutumia dawa za kuzuia mimba kila akijarbu kupata mimba hapati n kwa wengine hata hedhi hawapati kabisa,hii inahitajika upate ushaur wa kina wa mwenendo wa afya yako na aina ya dawa ulizo zitumia.
🪀4.KUTOA MIMBA; K**a umewahi kutoa mimba moja au zaidi,kwasasa ukiona hupati tena ujauzito usishangae ni matokeo ya ulichokifanya,njia zinazotumika kutoa mimba zote sio salama,hupelekea kuharibika kwa kizazi au kutoka kabisa,ni heri ukazaa mtoto akahudumiwe kwenye kituo cha kulelea yatima kwa kuwa huwezi mtunza kuliko ya kutoa mimba kwa makusudi kabisa,Dhambi ya jambo hili haitokuacha salama wewe na familia yako pia.
🪀5.UMRI; Kuna umri ukifika hedhi inakoma,na homoni zinazohusika na ukuaji wa mayai nazo zinaishiwa nguvu,hapa kupata mimba itakuwa kazi,umri mzuri wa kuzaa ni miaka 20 hadi 35, chinu ya hapo au juu ya hapoo,si salama sana kwa afya yako na mtoto pia.
🌹Inawezekana Ukawa Una Changamoto yoyote Ya Uzazi au Ya Kiafya Kwa Ujumla,
💥Tunatoa Huduma Ya virutubisho vya kumaliza changamoto zenu kwa usalama na uhakika.
Piga/whtsap: 0747928892