11/05/2026
JE, WEWE NI MPENZI WA FENESI? BASI UNA BAHATI SANA! 🍈✨
Wengi tunalipenda Fenesi kwa sababu ya harufu yake nzuri na utamu wake uliopitiliza, lakini leo nataka nikuambie kuwa hili si tunda la kawaida—ni "Superfood" ya asili!
Kwanini ule Fenesi leo?
1️⃣ Kinga ya Mwili: Lina Vitamin C ya kutosha kukulinda na magonjwa.
2️⃣ Nguvu ya Papo hapo: K**a umechoka, kipande kimoja cha Fenesi kinakurudishia nguvu zako haraka.
3️⃣ Siri ya Mbegu: Usitupe mbegu! Zina protini na madini mengi yanayolinda afya ya mifupa yako.
Wewe unapenda kula Fenesi likiwa limeiva sana au unapenda yale yaliyo magumu kidogo? Na je, unajua kuwa Fenesi bichi pia linapikwa k**a mboga ya mchuzi? 😋👇
Tag rafiki yako ambaye hawezi kupita mbele ya muuza Fenesi bila kununua! 🔄
Karibu TOPTEN HERBS CLINIC kwa huduma bora ya afya yako.
Tunapatikana Kwa;
+255676298270 MBEZI KWA MSUGURI - DSM
+255757298270 MAFINGA - IRINGA