Dr.Gaston Afya Yako.

Dr.Gaston Afya Yako. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dr.Gaston Afya Yako., Medical and health, Ilala boma, Dar es Salaam.

karibu natoa elimu ya afya ,ushauri na tiba juu ya magonjwa yasiyo amabukiza kama changamoto za mgongo,nyonga na magoti tezi dume , bawasiri n.k Pata tiba bila upasuaji.

27/07/2024

TIBA/SULUHISHO LA MAUMIVU YA PINGILI ZA MGONGO,NYONGA, MAGOTI BILA UPASUAJI.

Moja ya Magonjwa yanayoongoza Kusumbua jamii ni maumivu ya Mifupa na viungo. Nazipo sababu ambazo haziepukiki ambazo hupelekea wengi kupata maumivu ya mgongo,Nyonga ,magoti. Zikiwa nipamoja na ,

1.Uzito mkubwa.
2.Umri mkubwa au uzee ( upungufu wa virutubisho na madini muhimu mwilini)
3.kukaa kwa muda mrefu.
4.kazi ngumu.
5.Historia ya ajali.

Hivyo unaweza moja Kati ya dalili hizi huweza pelekea Pingili kusagika,kutuna ,kupishana, Pingili kusogeleana , Nyonga kusagika, kupungukiwa ute mwilini, goti kusagika au ganzi na kuwaka moto KWA viungo.

https://chat.whatsapp.com/Ecgrl7VX6ah07vVa2DzoQt

TIBA
Matatizo haya yanatibika bila kukimbilia Upasuaji. Ijapokuwa wapo waliokaa KWA muda mrefu na changamoto hadi sasa . Nikutie moyo wapo ambao wameshindwa kutoka kitandani na wameamka KWA kutumia bidhaa hizi ,Mifupa Pingili kusagika na kurudi katika halo yake.nijuliche tatizo lako nikusaiidie.

Wasiliana nami namba 0757898003
https://wa.me/+255658739372

Dr.Gaston
Afya Yako maisha Yako.

karibu natoa elimu ya afya ,ushauri na tiba juu ya magonjwa yasiyo amabukiza k**a changamoto za mgongo,nyonga na magoti tezi dume , bawasiri n.k Pata tiba bila upasuaji.

23/07/2024

IFAHAMU TEZI DUME NA TIBA YAKE
0757898003.
MWANAUME MWENYE UMRI MIAKA 50+ HATARINI ZAIDI KUPATA UVIMBE WA TEZI DUME JIKINGE MAPEMA . JIFUNZE HAPA

Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo K**a viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo. Kazi yake kubwa nikutengeneza maji maji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani; na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili.

Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalowakumba wanaume wengi. Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.

Ukuaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume. Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50.

Takwimu kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion), zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume, mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume. Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13.

VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA
Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi. Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jamii kuhusu afya zao.

Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume:

- Ukosefu wa lishe kamili na Virutubisho muhimu mwilini.
- Uwepo wa sumu nyingi mwilini.
- Kutokufanya mazoezi.
- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara.
- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi.
- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance).
- Msongo wa mawazo (Stress).
- Magonjwa ya zinaa.
- Umri mkubwa.
- Upasuaji wa korodani, kuzaliwa na korodani moja.
- Historia ya Familia (Kurithi).
- Mazingira (Ethnicity).

DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME
Mpaka mtu apate saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer), ujue amekaa na tatizo hilo kwa muda mrefu, si chini ya miaka isiyopungua 10.
Hii hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo (Urethra) wakati unakojoa; ukiendelea kujirundika kwenye kibofu na mrija; baada ya muda unazalisha “Uric Acid” na ndio inatengeneza saratani (cancer).
Saratani ziko stage nne. Ya kwanza na yapili ukiwahi unaweza kupona; lakini ikishafika stage ya 3 na 4, hazitibiki. Unasaidiwa kupunguza makali kwa mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote.

Hivyo ukiona dalili mojawapo kati ya hizi chukua tahadhari na hatua mapema kabla hujaharibu mfumo wako mzima wa uzazi wa mwanaume.

a) Dalili za awali

- Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu
- Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
- Maumivu kwenye mfumo wa mkojo
- Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
- Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.
- Homa
- Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku

b) Dalili za mtu aliyeathirika

- Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu
- Miguu kuwa dhaifu
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa, au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa
- Kushindwa kuzuia mkojo, pindi unapohisi kukojoa
- Kushindwa kuzuia haja kubwa (kinyesi cha maji maji)
- Tumbo kuja gesi mara kwa mara

MADHARA YA TEZI ILIYOTANUKA
Katika hatua za awali, tezi inapotanuka hugunduliwa kwa kupimwa kwa njia ya kidole. Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini k**a tezi imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama. Lakini kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.

Kipimo kingine ni kipimo cha damu. Damu huchunguzwa aina ya protein inayozailishwa na seli za tezi dume, kiitwacho Prostate Antigen (PSA). PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani.

Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka:
- Kibofu cha mkojo kuuma: hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini … … n.k.
- Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa
- Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)
- Ugumba (Infertility, Frigidity for men)
- Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume
- Kifo

TAZAMA SHUHUDA ZA WAGONJWA WACHACHE KUPITIA COMMENT.

Karibu NIPIGIE OR WASAP 0757898003

https://wa.me/message/DZOKZKBMK4U2K1

Epuka madhara yasababishwayo na tezi dume kwa kutumia ProstatRelax maalum kwa matatizo ya tezi dume bila operation... Tumia K**a tiba au kinga, Hii ni ya uhakika kabisa bora kwa afya yako!

Dr.Gaston.
Afya Yako maisha Yako.
https://wa.me/+255757898003

IFAHAMU TEZI DUME NA TIBA YAKE 0757898003.Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo K*...
23/07/2024

IFAHAMU TEZI DUME NA TIBA YAKE
0757898003.
Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo K**a viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo. Kazi yake kubwa nikutengeneza maji maji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani; na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili.

Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalowakumba wanaume wengi. Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.

Ukuaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume. Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50.

Takwimu kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion), zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume, mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume. Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13.

VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA
Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi. Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jamii kuhusu afya zao.

Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume:

- Ukosefu wa lishe kamili na Virutubisho muhimu mwilini.
- Uwepo wa sumu nyingi mwilini.
- Kutokufanya mazoezi.
- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara.
- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi.
- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance).
- Msongo wa mawazo (Stress).
- Magonjwa ya zinaa.
- Umri mkubwa.
- Upasuaji wa korodani, kuzaliwa na korodani moja.
- Historia ya Familia (Kurithi).
- Mazingira (Ethnicity).

DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME
Mpaka mtu apate saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer), ujue amekaa na tatizo hilo kwa muda mrefu, si chini ya miaka isiyopungua 10.
Hii hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo (Urethra) wakati unakojoa; ukiendelea kujirundika kwenye kibofu na mrija; baada ya muda unazalisha “Uric Acid” na ndio inatengeneza saratani (cancer).
Saratani ziko stage nne. Ya kwanza na yapili ukiwahi unaweza kupona; lakini ikishafika stage ya 3 na 4, hazitibiki. Unasaidiwa kupunguza makali kwa mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote.

Hivyo ukiona dalili mojawapo kati ya hizi chukua tahadhari na hatua mapema kabla hujaharibu mfumo wako mzima wa uzazi wa mwanaume.

a) Dalili za awali

- Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu
- Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
- Maumivu kwenye mfumo wa mkojo
- Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
- Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.
- Homa
- Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku

b) Dalili za mtu aliyeathirika

- Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu
- Miguu kuwa dhaifu
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa, au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa
- Kushindwa kuzuia mkojo, pindi unapohisi kukojoa
- Kushindwa kuzuia haja kubwa (kinyesi cha maji maji)
- Tumbo kuja gesi mara kwa mara

MADHARA YA TEZI ILIYOTANUKA
Katika hatua za awali, tezi inapotanuka hugunduliwa kwa kupimwa kwa njia ya kidole. Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini k**a tezi imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama. Lakini kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.

Kipimo kingine ni kipimo cha damu. Damu huchunguzwa aina ya protein inayozailishwa na seli za tezi dume, kiitwacho Prostate Antigen (PSA). PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani.

Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka:
- Kibofu cha mkojo kuuma: hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini … … n.k.
- Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa
- Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)
- Ugumba (Infertility, Frigidity for men)
- Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume
- Kifo

Epuka madhara yasababishwayo na tezi dume kwa kutumia ProstatRelax maalum kwa matatizo ya tezi dume bila operation... Tumia K**a tiba au kinga, Hii ni ya uhakika kabisa bora kwa afya yako! Taarifa zaidi karibu katika group hili pia. https://chat.whatsapp.com/Ecgrl7VX6ah07vVa2DzoQt

Dr.Gaston.
Afya Yako maisha Yako.
https://chat.whatsapp.com/Ecgrl7VX6ah07vVa2DzoQt

10/07/2024

URIC ACID NI HATARI NA HUSABISHA MAUMIVU MAKALI YA VIUNGO.

MOJA YA MADHARA YA URIC ACID KULETA VIMBE KATIKA VIUNGO NA MAUMIVU MAKALI YA MIFUPA NA HATA VIUNGO TUMIA TIBA SASA.

FUATILIA VIDEO ZANGU KATIKA PAGE HII NAMNA SAHIHI YA KUJITIBIA MAUMIVU YA URIC ACID.

03/07/2024

TIBA YA KUSAGIKA KWA VIUNGO, PATA SURUHISHO LA KUDUMU. ZALISHA UTE ONDOA MAUMIVU BILA KUJIRUDIA.

Imekua hatari KWA uzito mkubwa, umri wa uzee, ajali na kazi za wengi kuleta maumivu ya viungo na hata msagiko wa pingili za mgongo, nyonga na hata magoti.

Ganzi na kuwaka moto KWA sehemu mbalimbali za mwili HUWA ni madhara ya kuja baada ya kukaa na tatizo KWA muda mrefu. Tunaweza kupata tiba nje ya utilizaji wa maumivu na hata upasuaji KWA kupata tiba Bora.

Wengi wameweza kusaidiwa katika HUDUMA hii na wakapata matokeo ya kudumu. PIGA SIMU Utapata msada wa haraka KWA namba 0658739372//. https://wa.me/+255658739372

SHUHUDA KATIKA COMMENT.UWEZO MKUBWA WA BIDHAA HIZI.

TUMIA DETOX LIVE ONDOA SUMU MWILINI TIBU MAGONJWA HAYA.👇👇DETOXLIVE husafisha mwili KWA Kuondoa SUMU mwilini. Huweza kuon...
15/06/2024

TUMIA DETOX LIVE ONDOA SUMU MWILINI TIBU MAGONJWA HAYA.👇👇

DETOXLIVE husafisha mwili KWA Kuondoa SUMU mwilini. Huweza kuondoa madhara ya pombe,madawa ya kemikali, vinywaji vya kemikali na madhara ya mchanganyiko wa vyakula tunavyotumia.

Madawa ya kemikali tunavyotumia pale tunapo ugua, unywaji wa vinywaji vya kemikali nà pombe, mchanganyiko vyakula ni vitu vyakawaida vinasababisha sumu KWA wingi.

Magonjwa ya FIGO , Mifupa na viungo , na magonjwa mengine sumu huchangia kuleta shida mwilini. Ni vema kujilinda na magonjwa haya tumia hii bidhaa hutumika KWA mgonjwa na site mgonjwa.

Hatuna budi kutumia detox live kulinda afya ZETU. Kujilinda dhidi ya magonjwa haya na kutibu magonjwa mengi mwilini.
Tumia Yako KWA sh. 65000 tu.

NIPIGIE SASA 0757898003.

24/05/2024

VITU VYA KUZINGATIA UKIWA NA UZITO MKUBWAA

24/05/2024
TIBA NA SURUHISHO.LA.KUDUMU KWA MAUMIVU YA MGONGO,NYONGA NA MAGOTI. Limekuwa ni tatizo linaloikumba jamii kubwa . Sio.kw...
24/05/2024

TIBA NA SURUHISHO.LA.KUDUMU KWA MAUMIVU YA MGONGO,NYONGA NA MAGOTI.

Limekuwa ni tatizo linaloikumba jamii kubwa . Sio.kwa wazee tu imekua ikitokea KWA watoto vijana na watu wazima sababu kubwa nje ya umri zikiwa.

1.Uzito mkubwa.
2.Mambo ya uzazi
3.kazi zetu za Kila siku
4.Historia ya ajali.
5.Historia za kifamilia.
6.pombe , sigara na mfumo wa maisha.

Kuna wakati unaweza kupungukiwa virutubisho muhimu kwa ajili ya mifupa na ukapata matatizo haya. Usitulize maumivu KILA siku. Mazoezi ni Muhimu ukiwa ni mgonjwa pekeyake haya toshi. Waliowahi kufanya mazoezi ya mgongo sehemu mbamimblai k**a moi na kadhalika wanaelewa. Tumia tiba. Virutubisho hivi vimekuwa na matokeo mazuri na wengi kupona bila kujirudia kwa tatizo

Kwa Dozi ya sh. 280,000. Unaweza kupona matatizo haya na ukaepuka upasuaji. Shuhuda wa wagonjwa waliopoteza natumaini zipo katika page hii .usipoteze tumaini mgonjwa wako anaweza kupona na akatembea vizuri.

Nipigie kupata tiba Yako.
Dr.Gaston
0757898003

18/05/2024

ATOA SHUHUDA BAADA YA KUPONA TATIZO LA NYONGA NA MGONGO. TIBA HII NI HAKIKA NA KWELI.

kunawakati lazima tujue wapi kwa kutumia methari na nahau k**a "kwenda pole hajikwai," na "haraka haraka hauna haraka"

Ningetamani watu wafahamunkwamba . Sindano ya ganzi na dawa za kutuliza maumivu huweza kupooza maumivu Yako haraka mala baada ya kuanza tiba. Na hii ndiyo aina ya tiba inayotumiwa na watu wengi Tanzania kwaajili ya maumivu ya mifupa na viungo. Ikiwa sio kweli.

Baadhi ya tiba huweza kuchukua muda zaidi ya siku mbili ilikupoteza maumivu Yako na mwezi kukupa suruhisho la kudumu kabisa . Hivyo lazima kutogmfautisha aina hii ya matibabu. Tumia dawa za kukupa suruhisho la kudumu wakati unatafuta tiba hii au unaanza unaweza kutumia dawa za kupooza maumivu KWA muda tu ILI ujipatie suruhisho la kudumu.

Karibu vipindi changu vingine ujifunze zaidi hapa juu ya afya y'ako.

Dr.Gaston.
0757898003
Afya Yako maisha yako

ACHA KUTUMIA VITU HIVI K**A TIBA YAMAUMIVU YA MGONGO .MIFUPA NA VIUNGO.NIkawaida KWA watu wengi wanapopata maumivu ya mi...
18/05/2024

ACHA KUTUMIA VITU HIVI K**A TIBA YAMAUMIVU YA MGONGO .MIFUPA NA VIUNGO.

NIkawaida KWA watu wengi wanapopata maumivu ya mifupa na viungo,pingili zamgongo kukimbilia vitu vifuatavyo.

1.Dawa ya kukutuliza maumivu.
2.sindano ya kutuliza maumivu.
3.kuchua eneo unalopata maumivu
4.kujikanda
5.na Dawa za usingizi.

Vitu tajwa hapo juu sio haramu kuvitumia lakini vinapotumika mfululuzo k**a tiba ya kukupa suruhisho ni kosa kwasababu haviqezi kukupa suruhisho la kudumu.

Fuata post zilizopita kujua vipimo Gani utumie na aina nzuri ya tiba na mazoezi KWA wagonjwa wa mifupa.

Dr.Gaston
0757898003
Afya Yako maisha Yako.

AINA HII YA TIBA IMEKUWA BORA ZAIDI KUWASAIDIA WATU WENGI KUPONA. NA HATA KUWA MBADALA WA UKWEPAJI WA UPASUAJI.ukiwa una...
17/05/2024

AINA HII YA TIBA IMEKUWA BORA ZAIDI KUWASAIDIA WATU WENGI KUPONA. NA HATA KUWA MBADALA WA UKWEPAJI WA UPASUAJI.

ukiwa unapata maumivu ya mifupa na viungo vitu vifuatavyo ni Muhimu kuzingatia.
1.kufanya kipimo.
2.fuata ushauri wa Mtaaramu / Doctor
3.Aina ya vyakula na kAZI unazofanya.
4.mazoezi mepesi.
5 Tiba sahihi kulingana na tatizo lako.

Zingatia vitu hapo juu unappata maumivu tumia dawa ya kutumia maumivu nione mtaaramu wa afya haraka kwaajili ya tiba. Virutubisho hivi vya mfumo wa vidonge vimekuwa na ushindani mkubwa wa kutoa matokeo KWA wagonjwa wengi waliosumbuka na maumivu haya ya mgongo,nyonga na magoti. K**a utakavyoweza kuona katika page hii .

Yeyote anaweza kupona na kuweza kurejea katika shugulia zake za kawaida.nipigie KWA namba hii chini KWA USHAURI na tiba

0757898003
Dr Gaston
Afya Yako fahari yako

17/05/2024

SHUHUDA YA MGONJWA WA MGONGO..

Baada ya kuugua KWA muda mrefu na SASA kuweza KUPONA.

16/05/2024

TUMIA VIRUTUBISHO HIVI KWA MAELEZO HAYA KUMALIZA TATIZO HILI LA MIFUPA NA VIUNGO

16/05/2024

Address

Ilala Boma
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255757898003

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr.Gaston Afya Yako. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr.Gaston Afya Yako.:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram