Afya Ya Mwanaume Na Dr Belnaisl

Afya Ya Mwanaume Na Dr Belnaisl KINGA NA TIBA KWA AFYA YA UZAZI WA MWANAUME

VYAKULA HIVI VINASAIDIA KUCHELEWA KUFIKA KILELENI✍🏼Hali ya mwanaume kuharakisha kufika kileleni kitaalamu inaitwa premat...
11/01/2024

VYAKULA HIVI VINASAIDIA KUCHELEWA KUFIKA KILELENI

✍🏼Hali ya mwanaume kuharakisha kufika kileleni kitaalamu inaitwa premature ej*******on
✍🏼Mara nyingi ni chini ya dakika mbili

Vyakula vinavyoweza kusaidia tatizo hili ni:-
🥀Karanga
🥀Parachichi
🥀Mbegu za maboga
🥀Ndizi mbivu
🥀Mboga za majani k**a spinach, Brokol nk

✍🏼Vyakula hivi vina kiwango kikubwa cha madini ya magnesium
✍🏼Madini haya husaidia mishipa ya damu hivyo kuufanya uume usimame kwa muda mrefu

NB: K**a kuna mtu atahitaji virutubisho ambayo tayari viko packed kwenye mfumo wa vidonge na ambavyo vitakupa matokeo by 100% tuwasiliane

Na k**a umesumbuka kwa mda mrefu juu ya tatizo lolote la kiafya, karibu pia kwa ushauri, maelekezo na huduma ya matibabu karibu....

Imetolewa na kuandaliwa na
Dr Belnais
Call 0719 666 456

SARATANI YA TEZI DUMETezi dume ni nini?    Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kiume. Tezi hii ina kazi ya kut...
11/01/2024

SARATANI YA TEZI DUME
Tezi dume ni nini?

Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kiume. Tezi hii ina kazi ya kutengezeza majimaji meupe mepesi yenye unato kidogo. Majimaji haya husaidia mbegu za kiume kutembea kwa urahisi.

Ipo wapi?

Tezi dume iko mwishoni mwa kibofu cha mkojo. Pia inauzunguks mrija unaounganisha kibofu cha mkojo na na mrija wa mkojo wa uume (urethra) na iko mbele kidogo ya utumbo mpana ndani ya fupa la nyonga.

Saratani ya tezi dume ni nini?

Saratani ya tezi dume maana yake ni tezi dume imepata ugonjwa wa saratani..Na hii hutokea pale ambapo chembechembe hai za tezi huasi na kuanza kujigawanya bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili, chembechembe asi hizi mwishowe hutengeneza vivimbe hatari ndani ya tezi dume na hatimaye husambaa mwilini

Kwa Maelezo Zaidi Na suluhisho
0719666456

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME,CHANZO NA TIBA YA TATIZO HILO▶️ Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume limekuwa ni miongoni mwa...
17/11/2023

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME,CHANZO NA TIBA YA TATIZO HILO

▶️ Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume limekuwa ni miongoni mwa matatizo yenye kuwasumbua wanaume wengi katika jamii zetu.Tatizo hili limepelekea kuvunjika kwa ndoa nyingi sana huku ikiamwacha mwanaume akiwa katika udhalili na unyonge wa hali ya juu.

▶️Takwimu zinaonesha kuwa kati ya wanaume kumi(10) miongoni mwao saba(7) wana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo hili linazidi kukua kwa kasi kubwa siku hadi siku huku wahanga wakiwa vijana wa watu wazima.Sasahivi si ajabu kumkuta kijana mwenye umri wa miaka 20 anasumbuliwa na tatizo hili katika jamii zetu.

ZIPO AINA KUU TATU (3) ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

1⃣ Manii (s***ms) kukosa uwezo wa kutungisha mimba.

2⃣ Ukosefu wa hamu ya kufanya tendo la ndoa.Na ikitokea umepata hamu hata kidogo basishahawa zinawahi kutoka(yaani unawahi kufika kileleni).Na Wengine wanapata hamu ya tendo la ndoa lakini hawatoi shahawa.

3⃣Uume kutosimama ipasavyo (Erectile dysfunction )
▶️ Uume kuwa legevu na kushindwa kufanya kazi yake ipasavyo.
CHANZO CHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Upungufu wa nguvu za kiume sio ugonjwa, bali ni k**a ishara inayoonesha kwamba kuna baadhi ya viungo ndani ya mwili wa binadamu ambavyo vinahusika na suala zima la nguvu za kiume havifanyi kazi vizuri/ipasavyo. Baadhi ya hivyo viungo hivyo ni:⤵️
▶️Moyo
▶️Ini
▶️Figo
▶️Ubongo
▶️Mishipa
▶️Tezi dume
▶️Misuli
▶️Neva n.k.

Inapotokea hitilafu katika viungo hivi muhimu vinapelekea moja kwa moja mtu kupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Hivi ni baadhi ya vitu vinavyo sababisha viungo tulivyo taja hapo juu kutofanya kazi vizuri na baadae kusababisha matatizo mbali mbali ikiwemo vifo.
Kuwa makini na vitu vifuatavyo:

▶️Uvutaji wa sigara, na utumiaji wa dawa za kulevya
▶️Pombe (aina yeyote).
▶️Masturbation (Kujichua/kupiga punyeto)
▶️Kula vyakula vyenye kuharibu mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula (Digestive System). Huu mfumo ukiharibika unasababisha damu kutosafirishwa vizuri mwilini.
▶️Uzito mkubwa/ kitambi
▶️Tatizo la Kutokupata choo vizuri (Constipation)
▶️Tatizo la Tezi dume
▶️Matatizo ya moyo
▶️Kisukari (Diabetes)
▶️Stress(Msongo wa mawazo.

*Kupata tiba ya kudumu tupigie/ 0719 666 456

17/11/2023

SARATANI YA TEZI DUME
Tezi dume ni nini?

Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kiume. Tezi hii ina kazi ya kutengezeza majimaji meupe mepesi yenye unato kidogo. Majimaji haya husaidia mbegu za kiume kutembea kwa urahisi.

Ipo wapi?

Tezi dume iko mwishoni mwa kibofu cha mkojo. Pia inauzunguks mrija unaounganisha kibofu cha mkojo na na mrija wa mkojo wa uume (urethra) na iko mbele kidogo ya utumbo mpana ndani ya fupa la nyonga.

Saratani ya tezi dume ni nini?

Saratani ya tezi dume maana yake ni tezi dume imepata ugonjwa wa saratani..Na hii hutokea pale ambapo chembechembe hai za tezi huasi na kuanza kujigawanya bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili, chembechembe asi hizi mwishowe hutengeneza vivimbe hatari ndani ya tezi dume na hatimaye husambaa mwilini

Kwa Maelezo Zaidi Na suluhisho
0719666456

DALILI ZA CHANGAMOTO YA TEZI DUME Uonapo dalili zifuatazo unaweza kuanza kuhisi una saratani ya tezi dume:1. Kukojoa mar...
17/11/2023

DALILI ZA CHANGAMOTO YA TEZI DUME Uonapo dalili zifuatazo unaweza kuanza kuhisi una saratani ya tezi dume:

1. Kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku

2. Kushindwa kuzuia mkojo, yaani ukichelewa kidogo unaweza kukutoka bila breki

3.Kuwahi kufika kileleni mara kwa mara

4. Maumivu wakati unakojoa

5. Kuishiwa nguvu za kiume

6. Kupungua kwa uwingi wa mbegu (low s***m count)

7. Maumivu wakati unafika kileleni

8. Damu kutokea kwenye mkojo au kwenye mbegu za kiume

9. Maumivu nyuma ya mgongo au hata nyonga

K**a umeona mojawapo ya dalili hizo chukua tahadhali mapema kwa kutumia virutubisho asilia, formula ya matunda matatu na mazoezi matatu muhimu. kwani kinga ni bora kuliko tiba. Usisubiri uharibikiwe zaidi ya hapo.

Suluhisho; Tuma ujumbe neno KingHealth kwenda WhatsApp 0719666456 au piga simu usaidiwe mapema.

Dalili zake ni zipi?Piga: 0719666456Udhaifu katika utoaji wa mkojo, mkojo hauishi.Kwenda kukojoa mara kwa mara. Damu nda...
17/11/2023

Dalili zake ni zipi?
Piga: 0719666456

Udhaifu katika utoaji wa mkojo, mkojo hauishi.
Kwenda kukojoa mara kwa mara.
Damu ndani ya mkojo.
Kushindwa kukojoa.
Maumivu ya kiuno na mifupa ya nyonga.
Wagonjwa wengi huanza maumivu ya nyonga k**a ni dalili za awali.
Udhaifu katika utoaji wa mkojo pia kunaweza kutokea kwa kuvimba kwa tezi dume bila ya saratani.
Damu kwenye mkojo nakushindwa kumaliza mkojo ni ishara tosha ya kuwa tezi dume imeathirika.
UCHUNGUZI

Wanaume wote wanpaswa kufanya uchunguzi wa saratani ya tezi dume kuanzia miaka 50. Kwa wale wenye historia katika familia wanapaswa kuanza wakiwa na umri wa miaka 45.

Uchunguzi unafanyika kwa njia zifuatazo

Uchunguzi kwa cancer marker kwa kuchunguza damu (PSA).
Uchunguzi kwa njia ya kipimo cha njia ya haja kubwa (DRE)
Biopsy.
Ultrasound.
X-ray.
Bone scan.
Kwa Maelezo zaidi
Piga: 0719666456

TEZI DUME INATIBIKA BILA UPASUAJI0719666456Tezi dume hii kitaalamu hufahamika k**a  PROSTATE GLAND.Hii Ni tezi inayopati...
17/11/2023

TEZI DUME INATIBIKA BILA UPASUAJI

0719666456

Tezi dume hii kitaalamu hufahamika k**a PROSTATE GLAND.

Hii Ni tezi inayopatikana katika mfumo wa uzazi wa kiume.Tezi hii inapatikana jirani na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo.

Tezi hii Ina kazi ya kuzalisha majimaji ambayo hubeba mbegu za kiume.
Majimaji hayo ndio Yale anayotoa mwanaume anapofikia kilele.

Hivyo tezi hii Ni muhimu sana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume.

Tezi hii si kubwa saana, inapata sentimita zisizozidi 4, lakini tezi hii HUKUA kadiri UMRI UNAVYOONGEZEKA.

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:-

✓Kukojoa Mara kwa mara.
✓kubakiza mkojo kwenye kibofu.
✓kukojoa saana usiku.
✓Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali.
✓Kupungukiwa nguvu za kiume
✓UTI ya Mara kwa mara.
✓Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo.
✓Figo kujaa maji,hii Ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo.
✓Kupoteza fahamu.
✓Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ya mgongo na mapaja.
✓Uume kushindwa kusimama vizur.
✓Kuwa na wakati mgumu wakati wa kukojoa na kuzuia mkojo.

ATHARI ZA TEZI DUME K**A HAITAWAHI KUTIBIWA:-
1)Kushindwa kabisa kukojoa.
2)Kupatwa na maambukizi ya UTI
3)Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu.
4)Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea.
5)Figo inaweza kuharibika.

Kwa ushauri Na tiba +255719666456

Address

Ilala
Dar Es Salaam
15011

Telephone

+255719666456

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Ya Mwanaume Na Dr Belnaisl posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Ya Mwanaume Na Dr Belnaisl:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram