Afya na Dr.peterson

Afya na Dr.peterson Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya na Dr.peterson, Medical and health, Kimara, Dar es Salaam.

*TIBA YA URIC ACID IMEPATIKANA* MSHAURI MAKINI ZIJUE DALILI ZA URIC ACID • Mchomo au maumivu katika tumbo, 1-4 masaa baa...
11/02/2024

*TIBA YA URIC ACID IMEPATIKANA*
MSHAURI MAKINI

ZIJUE DALILI ZA URIC ACID
• Mchomo au maumivu katika tumbo, 1-4 masaa baada ya mlo
• maumivu ya kifua
• Kiungulia cha Muda mrefu
• Uvimbe katika kifua
• Kuhisi njaa mara kwa mara
• Daima maumivu katika tumbo la juu
• Kucheua
• Kichefuchefu
• Kuona Uchungu ladha katika kinywa
• Kupoteza hamu ya kula
• Kutapika
• Kukohoa
• Sauti ya mabadiliko na malezi ya kidonda katika umio (tube kuunganisha kinywa na tumbo)
• Maumivu ya sehemu za misuli ya mwili

SABABU ZA ACIDITY
• Uvutaji wa sigara kwa wingi
• Kunywa pombe kupita kiasi
• Vidonda vya tumbo
• kuzidi kwa asidi ya tumbo
• Kutokula kwa wakati
• Kula kukaanga na viungo vya chakula mara kwa mara
• Matatizo katika utendaji wa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula tumboni
• Kukaa na njaa kwa muda mrefu au kuto kula chakula cha Asubuhi
• Kula vyakula vingi vya mafuta, k**a chocolates
• kuwa na Mimba kunasababisha asidi pia.
• kuzeeka
• Utokaji yatokanayo na jua na joto
• Muafaka wa chakula tabia
• kuwa hisia mbaya
• Udhaifu wa mishipa ya mwilini

TUNATIBU NA VIDONDA VYA TUMBO NDANI YA SIKU 15 MPAKA 60 na CHANGAMOTO YA MIFUPA NA MAUNGIO

TIBA INAPATIKANA NA MATOKEO NI KWANZIA SIKU TATU TIBA NI YA MWEZI MZIMA
K**A UPO SIRIUS UNAHITAJI TIBA PIGA SIMU KWA NO HAPO JUU AU WHATSAPP NO YA OFFICE
USISUBIRI MAUMIVU YAWE MAKUBWA TIBU MAPEMA UPONE MAPEMA

KWA USHAURI NA TIBA PIGA
0750155946
0673578448

*MWONGOZO WA VYAKULA KWA MGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO NA ASIDI*  *Kumbuka alama hizi* ❌ *_Hatari kwako_* ✅ *_Inafaa kwa ...
05/02/2024

*MWONGOZO WA VYAKULA KWA MGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO NA ASIDI*

*Kumbuka alama hizi*
❌ *_Hatari kwako_*
✅ *_Inafaa kwa afya yako_*
Wewe unae teseka na vidonda vya tumbo Kuna vyakula unavyo takiwa kuacha kutumia kabisa na kuna vyakula unavyotakiwa kula Sio lazima kuzingatia k**a wewe nia yako sio kupona
*VYAKULA HATARI KWAKO* :-
Dr Peterson +255758155946
❌❌❌❌❌❌❌
❌Vyakula vya kusisimua mwili,
❌Vyakula na VINYWAJI vyenye caffeine na Asidi nyingi mfano
❌Majani ya dukani
❌ kahawa,
❌vyakula vya kwenye makopo soda na juice za viwandani hivyo huchangia kwa kiasi kikubwa vidonda vya tumbo lakini pia acha
❌ kutumia chumvi nyingi hasa epuka kutumia chumvi mbichi kabisa
❌vilevi kwa aina zake
❌ karanga,
❌dagaa,
❌ Maziwa
❌ maharage,
❌Ugali wa sembe
❌kuku wa kisasa au mayai ya kisasa,
❌pilau,
❌nyama nyekundu
❌ Sukari
❌ chainise
❌ kisamvu
❌ Nanasi
❌ Chungwa
❌Ukwaju
❌ Chips
❌Limao
✅✅✅✅✅✅✅✅
*MATUNDA NA VYAKULA UNAYOWEZA KUTUMIA*
✅ ndizi za kupika au zilizo iva au unga wa ndizi pia itakusaidia,
✅ Parachichi
✅ Tikiti maji
✅Tango
✅Karoti
✅ Ugali wa Dona
✅mlenda,
✅Matembele,
✅mchicha,
✅Wali mara moja moja
✅kabeji,
✅nyanya chungu
✅ BAMIA
✅Samaki wabichi wa kuchemsha

*CHAI YA ASUBUHI KWA MGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO* Chai yako iwe na viungo Mbalimbali K**a vile
✅Tangawizi,
✅ mdalasini,
✅ iliki,
✅mchaichai,
✅Karafuu, Kumbuka viungo hivi vinaweza Kuna vya unga au majani na unawezea kutumia vyote au ata kimoja K**a mazingiza sio rafiki
*ANGALIZO*
Kumbuka utakiwi kutumia vitu vyenye caffeine nyingi Usitumie majani ya dukani mfano *chai Bora,* *UTAKIWI KUTUMIA SUKARI* wewe mwenye vidonda vya tumbo tumia asali badala ya sukariTena asali mbichi ambayo aijachakachuliwa kumbuka asali Ni miongoni mwa dawa ya vidonda vya tumbo **PUD*
: *VITAFUNWA*
✅Mayai ya kienyeji
✅mkate wa ngano amayo aijakobolewa brown bread
✅Chapati ya unga wa Nagano amabayo aijakobolewa, ikiwezekana hizi chapati zikandwe na tui la n**i na sio maji tu
✅Ndizi za kuchemsha ✅Ndizi Nyama ya kuku wa. Kienyeji na N**i
✅Viazi vitam vya kuchemsha
Viazi Nyama ya kuku wa kienyeji na N**i
✅Wali N**i
Vidonda vya tumbo vinatofautiana pengine kuna baadhi ya vyakula nimeviruhusu ila wewe ukitumia vinakupa shida unaweza kuacha na ukatumia vingine kwani vidonda vya tumbo vinatofautiana kila mtu na dalili zake na sehmu iliyoathirika zaid
Tunajali afya YAKO.

Kwa maelezo na ushauri piga
0750155946
0673578448

Address

Kimara
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya na Dr.peterson posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram