01/02/2024
UVIMBE KWENYE KIZAZI-TIBA YAKE
Fibroids-Ni uvimbe wa kawaida(sio kansa) ambao husababishwa na vichocheo(homoni ya estrogen) kuanzia Unapopevuka mpaka kukoma kwa Hedhi, hutokea kwenye tumbo la Uzazi, huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi au nje ya kizazi
DALILI ZA UVIMBE
➡️Kutopata Ujauzito, Kupata Maumivu Makali Sana Ya Nyonga,Kiuno Na Chini Ya Kitovu(Inaweza Kuwa Upande Mmoja Au Pande Zote)
➡️Kutokwa Na Damu Nyingi Sana Isiyokauka Katika Hedhi,Hii Inaweza Kusababisha Hali Ya Kupungukiwa Damu(Anaemia)
➡️Kuhisi Kuna Kitu Kigumu Kwa Ndani Chini Ya Kitovu Hata Ukigusa Kwa nje,Inaweza Kusababisha Kuhisi Kukojoa kila saa Au Maumivu wakati wa Kukojoa Na Haja Kubwa
➡️Kutokwa na Maji Maji au uchafu wenye harufu mbaya au ambao hauna harufu mwingi na mweupe
➡️Kupata Maumivu Makali Ukikaribia Siku Zako Za Hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe
➡️Kupata Hedhi nyepesi Sana Au Hedhi Nzito Sana Yenye Mabonge Ambayo Huwa na rangi Ya brown Au Nyeusi
➡️Kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa Na Ukifanya Unapata Maumivu Makali Sana Hata Baada Ya Kumaliza
➡️Hedhi zisizokuwa na mpangilio Maalum,Kila Mwezi Tarehe Zinabadilika Sana Wakati Mwingine Unapata Hedhi Mbili Ndani Ya mwezi Mmoja Au Inapita Miezi kadhaa bila Kuona Hedhi
Uvimbe Usipotibiwa Huwa Unaongezeka Kila Siku Na Madhara Yake Ni Makubwa sana K**a Kutopata Ujauzito,hata kifo
TIBA YA UVIMBE
Kwa Hospitali Ni Kufanyiwa Upasuaji lakini Uvimbe Mwingine Unaweza Kujitokeza,pia ni gharama Na inaweza kukuacha na Maumivu makali
SULUHISHO
Tunatibu Uvimbe Kwa kutumia tibalishe Zenye ubora Na Kufanyiwa Utafiti,Zimewasaidia Wengi,Hata Wewe Zinaweza Kukusaidia,Dose Inategemea Na Ukubwa Wa Uvimbe
Wasiliana Nami Kwa WhatsApp namba 0622648859