06/03/2026
🥦🐟🫐 VYAKULA VINAVYOSAIDIA AFYA YA FIGO
Je, unajua kuwa lishe bora inaweza kusaidia kulinda figo zako?
✔️ Brokoli – Husaidia kupunguza sumu mwilini
✔️ Samaki (Salmon) – Husaidia kupunguza uvimbe mwilini
✔️ Blueberries – Zina antioxidants zinazolinda figo
Linda afya ya figo zako kwa kula vyakula vyenye virutubisho sahihi na kufanya uchunguzi wa afya mara kwa mara.
🏥 Alshifa Medical Clinic and Kidney Dialysis Center
Where hope rises
📞 Wasiliana nasi kwa ushauri na huduma za afya ya fig