17/11/2025
Mashine ya kumenya karanga zilizokaangwa/kavu,uwezo wake ni kumenya kilo 200 kwa saa.Tunaleta kwa ODA baada ya mteja kuanza kulipia 70% ya bei na mzigo ukifika dukani utamalizia 30% na kuchukua au kutumiwa ulipo.
Usafiri ni siku 45 hadi 60.Bei ya mashine ni 3,499,000/=.Duka lipo Kinondoni Mkwajuni tunatazamana na kituo cha Mwendokasi Kinondoni Mkwajuni.Namba ya dukani ni 0715 316 614.