Happiness Massage Tanzania

Happiness Massage Tanzania We bring Back Your Happiness. Tunatoa huduma bora za masage. Karibu uboreshe afya yako!

04/10/2019
MC PILI[ILI NI SHUHU WA KWELI WA HUDUMA ZINAZOPATIKANA HAPA "HAPPINESS MASSAGE CLINIC"
03/10/2019

MC PILI[ILI NI SHUHU WA KWELI WA HUDUMA ZINAZOPATIKANA HAPA "HAPPINESS MASSAGE CLINIC"

Mc pili pili nimiongoni mwa watu maalufu sana ambao wana fanya service ya Massage ili kuiweka sawa miili yao na kuima...

MASSAGE NI MUHIMU KATIKA MWILI WA MWANADAMU HASA PALE UNAPOCHUKULIA K**A SEHEMU YA RATIBA KATIKA MAISHA YAKO YOTE . HII ...
25/06/2018

MASSAGE NI MUHIMU KATIKA MWILI WA MWANADAMU HASA PALE UNAPOCHUKULIA K**A SEHEMU YA RATIBA KATIKA MAISHA YAKO YOTE .
HII INATOKANA NA KUWEPO KWA FAIDA MBALI MBALI BAADA YA KUFANYIWA MASSAGE.

MWILI WA BINADAMU UMEUNDWA NA MIFUMO MBALIMBALI K**A VILE UTOAJI TAKA MWILINI, UPUMUAJI,MMENG'ENYO WA CHAKULA , MZUNGUKO WA DAMU, UZAZI NA MENGINEYO.

HIVYO BASI ILI MIFUMO HII IFANYE KAZI KWA UFANISI HUBORESHWA.

MASSAGE NI NJIA PEKEE KWA MANUFAA MBALI MBALI KATIKA UBORESHWAJI WA SEHEMU ,MIFUMO AU VIUNGO VYETU

FIKA LAMADA HOTEL ILALA UWEZE KUBORESHA AFYA YAKO NA KUJIKINGA DHIDI YA MARADHI SUGU

TUPO WAZI SIKU ZOTE
MASAA 24

TUPIGIE SASA KUFANYA BOOKING +255 787 343 161
+255 756 343 161

KARIBUNI SANA

*MAUMIVU YA MGONGO HUSABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME*Upungufu wa nguvu za kiume na Kukosa hamu ya kushiriki tendo l...
21/06/2018

*MAUMIVU YA MGONGO HUSABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME*

Upungufu wa nguvu za kiume na Kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa ni moja ya Athari kubwa za. *Maumivu makali ya Mgongo.*

👉🏽Kutokana na Utafiti uliofanywa na Dr. Brieg Ulibaini kwamba *Maumivu makali ya Mgongo* husababisha mgandamizo wa neva zinazohusika na mfumo wa uzazi na uzalishaji wa homoni. Hali hii hutokea pia na kwa wanawake.

👉🏽Hivyo Kisaikolojia na Kifiziologia mtu anashindwa kushiriki vema tendo la ndoa na mwenza wake.

👉🏽Tatizo hili lisipotibiwa mapema linaweza kusababisha ```migogoro katika mahusiano/ndoa na hata kuvunjika kwa ndoa.```

*Suluhisho ni nini?*
Happiness Massage ndio suluhisho. Karibu Upate suluhisho la haraka kabla athari za muda mrefu hazijatokea.

👉🏽Ni hatari sana kuendelea kukaa na tatizo la *Maumivu makali ya Mgongo*

Fanya Booking Mapema Tukuhudumie kwa Wakati.

*Simu/WhatsApp*
0715343161
0756343161

👇🏽Tunapatikana:
Lamada Hotel-Manyara 27,
Ilala, Dar es Salaam.

*Happiness Massage* - _We bring back your Happiness!_

MAAJABU YA MASSAGE KATIKA MWILI WAKO, WENGI HAWAYAJUIMassage ni tiba ya asili na ya kitaalamu yenye uwezo mkubwa wa kuuf...
03/06/2018

MAAJABU YA MASSAGE KATIKA MWILI WAKO, WENGI HAWAYAJUI

Massage ni tiba ya asili na ya kitaalamu yenye uwezo mkubwa wa kuufanya Mwili wako kuwa Imara Kiafya

Faida za Massage Katika Mwili

1. Massage inaboresha afya ya ngozi.

2.Massage hufungua mishipa ya fahamu na kuongeza uwezo wa kufikiri.

3. Massage husafisha ngozi na kuboresha mfumo wa utoaji takamwili.

4. Massage Inaondoa kovu la jeraha.

5. Massage husaidia kupona kwa wenye mivunjiko ya viungo/ mifupa.

6. Massage huondoa uchovu wa mwili na kukosa usingizi.

7. Massage huzuia kansa ya ngozi na tishu.

8. Massage huzuia Saratani ya Matiti.

9. Massage huondoa maumivu ya wakati wa hedhi.

10. Massage huboresha mmeng'enyo wa chakula na kuzuia Constipation (choo ngumu).

11. Massage hupunguza maumivu ya uchungu kwa wamama wajawazito.

12. Massage huondoa uchovu na kuvimba kwa miguu kwa wamama wajawazito.

13. Massage huimarisha mifupa kwa kuchochea ufyonzwaji wa Madini ya Kalsiam(Calcium) na Fosforas.

14. Massage huboresha mzunguko wa damu mwilini.

15. Massage husaidia kuondoa maumivu ya misuli na majeraha.

16. Massage huchochea ufanyaji kazi wa homoni mwilini.

17. Massage huzuia Stroke/ kiharusi.

18. Massage inasaidia sana kwa wazee kuimarisha misuli na kuwapa nguvu ya kutembea.

19. Massage huondoa maumivu ya chini ya mgongo.

20. Massage husaidia kuboresha mfumo wa limfu (lymphatic system)

🌹 KARIBU UBORESHE AFYA YAKO NA HAPPINESS MASSAGE!🌹

Tunapatikana: Lamada Hotel-Manyara 27,
Ilala Dar Es Salaam.

Simu / WhatsApp
📞 0787 343 161
📞 0756 343 161

👉🏽Fanya booking mapema ili tukuhudumie kwa wakati

Happiness Massage Tunaboresha Afya yako na kurejesha Furaha yako

Tunatoa huduma bora za Massage ndani ya Lamada Hotel, Ilala Dar es Salaam
21/05/2018

Tunatoa huduma bora za Massage ndani ya Lamada Hotel, Ilala Dar es Salaam

Matatizo ya Mgongo yanayo tokana na kukaa au kusimama muda mrefu huleta madhara makubwa kadri siku zinavyokwenda Una sha...
11/04/2018

Matatizo ya Mgongo yanayo tokana na kukaa au kusimama muda mrefu huleta madhara makubwa kadri siku zinavyokwenda Una shauriwa kufanya massage Mara 1 kwa week K**a Una tatizo la Mgongo Happiness massage clinic ndio jibu lako tuna kuhakikishia ubora wa huduma hii, Tuna patikana Ilala, Lamada Hotel, manyara 27
Tupo wazi siku zote masaa 24.

Tupigie
0715343161
0787343161
0756343161

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:00 - 21:00
Tuesday 07:00 - 21:00
Wednesday 07:00 - 21:00
Thursday 07:00 - 21:00
Friday 07:00 - 21:00
Saturday 07:00 - 21:00
Sunday 07:00 - 21:00

Telephone

0715343161

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Happiness Massage Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Happiness Massage Tanzania:

Share