
02/01/2024
ANATIC SOAP
Ni sabuni iliyotengenezwa kupitia vitu vitatu( 3)
(1)asali ya nyuki wadogo
(2)mchaichai
(3)zabibu
FAIDA ZA SABUNI HII
✓✓inaondoa chunus,madoa na harara kwenye Ngozi
✓✓inaondoa mba,utangotango na miwasho
✓✓inaifanya ngozi kua safi mda wote
✓✓ ni nzuri sana kwa jinsia zote
✓✓ inasaidia ngozi inayotoa mafuta na ni nzuri sana kwa watoto.
✓✓inaondoa mapunye kwa watoto na wakubwa pia
✓✓ inakawia kuisha mana ningumu sana.it’s well compacted)
✓✓ Inaondoa fangas na harufu mbaya sehem za kwapa na ngozi kwa ujumla.
✓✓ Inalinda bactreia za kwenye ngozi(skin bacteria) inachangia uwepo wa unyevu wa asili wa ngozi yako (Skin Elasyisity
✓✓ Nisabuni ya asili kabisa haina chemicals aina yeyote
Inapatikana kwa bei nafuu sana tutafute kupitia +255744540052 / +255658540052