06/03/2024
๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐
Hellow!
Leo naomba kushare nawewe kuhusu Madhara ya Korodani kuvimba na sababu za kuvimba.
*KORODANI* kazi yake kubwa ni kuzalisha mbegu za kiume
*Kuvimba kwa Korodani* ni ugonjwa unaoathiri korodani na kuifanya ivimbe, ugonjwa huu unaweza kusababishwa na bacteria au virusi.
๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐
Chanzo kikubwa cha ugonjwa huu ni aina ya virusi vijulikanvyo k**a โmups virus,โ kwa hiyo virusi hawa endapo watashambulia korodani husababisha korodani kuvimba na kupunguza utendaji kazi wake.
๐Maambukizi yanayotokana na vimelea (bacteria) inawezekana ni vimelea wanaosababisha tatizo la mkojo mchafu (U.T.I)
๐Kuumia kwa korodani, pengine inaweza kuwa chanzo ni ajali au michezo ya hatari, hali k**a hiyo pia huweza kuchangia korodani kuvimba.
๐kisonono ; huu ni ugonjwa wa zinaa ambao ugonjwa kwenye korodani.
๐chlamydia; ni wekundu au maumivu kwenye mlango wa uume kuwaka moto wakati wa kukojoa.
๐Maambukizi ya โepididymisโ ni chanzo kingine cha tatizo hili, ambapo โepididymisโ ni mrija ambao kazi yake ni kutunza mbegu za kiume baada ya kuzalishwa kutoka kwenye korodani.
๐Kupata jeraha kwenye korodani ; hii ni hutokea pale ambapo michubuko imetokea kwenye korodani na majeraha haya huleta usaha.
๐Maambukizi ya TB kwenye uume; K**a mwanaume atakuwa ameathirika na virusi vya TB vikawa sugu huweza kusambaa na kusababisha korodani kuvimba na maumivu makali Sana.
Kutokana na maambukizi ya vimelea hivi bacteria na virusi huweza kupelekea kuathirika kwa korodani moja au zote mbili kwa wakati mmoja.
Endelea kusoma na kufatlia elimu zetu ziweze kukusaidia kuepukana na Tatizo hili
Kwa maelezo zaidi
Whatsapp/sms/call
0679632581