
08/02/2024
https://afyainspire.co.tz/mambo-saba7-yanayoongeza-uhatarishi-wa-saratani-ya-tezi-demu-ni-haya/
Saratani ya tezi dume ni saratani ambayo inayoathiri kiungo kidogo cha uzazi wa mwanaume kiitwacho tezi dume, tezi hii hupatikana maeneo ya chini ya kibofu lakini kwa juu ya puru (re**um). Tezi dume inasaidia katika kutengeneza kimiminika kinachotumika kusafirishia shahawa wakati kutoa shawaha nje.