Nickson mshauli wa afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake

Nickson mshauli wa afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake Karibusana kwaajiri ya kujipatia Huduma za afya za kisasa kabisa ,ambapo utapata vipimo vinavyoweza..

 Kwa watu wote wenye changamoto mbalimbali kiafya tutakuwa na Ofa ya Vipimo na MatibabuShirika la Afya kutoka CHINA/ ETE...
20/03/2025


Kwa watu wote wenye changamoto mbalimbali kiafya tutakuwa na Ofa ya Vipimo na Matibabu

Shirika la Afya kutoka CHINA/ ETERNAL HOSPITAL, Imeanza kutoa Ofa kwa wagonjwa wote wanao fika katika vituo vyake vyote, na Ofa hii niya👇👇
▪️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni Tshs 30,000/= tu
▪️ Punguzo la bei 20% kwa kila dawa( bidhaa zetu )

Magonjwa tunayo tibu ni;
🚑 🔹Presha, 🔹Matatizo ya Moyo na INI
🔹Kansa, 🔹Vidonda vya Tumbo,
🔹Kisukari 🔹Pumu
🔹Stroku. 🔹Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
🔹Matatizo ya mifupa, 🔹Matatizo ya miguu
🔹Ngozi, 🔹Figo, 🔹Fangasi sugu
🔹Kupunguza unene, uzito, na matumbo
🔹Kuongeza kinga mwilini(CD4)
🔹U.T.I sugu, 🔹Gesi
🔹Bawasiri, 🔹Tenzi dume
🔹Heshima ya ndoa kwa kina baba. N.k

TIBA ZETU NI TIBALISHE NA VIRUTUBISHO.
Ambavyo hufanya kazi kuu nne ( 4 ) mwili
👉 Kuosha
👉 Kulinda/ Kukinga
👉 Kujenga
👉 Kutibu

Karibu sana Upate huduma yetu msimu huu wa Ofa. Tupo Dar es salaam Airport na Mikoani pia tunapatikana

Wasiliana nasi kwa simu namba
Cm 0784 703 163

TATIZO LA UVIMBE KWENYE KIZAZI(Fibroids)______________________ FIBROID NI NINI?✍️ Siku hizi kuna ongezeko kubwa sana la ...
07/01/2024

TATIZO LA UVIMBE KWENYE KIZAZI(Fibroids)
______________________
FIBROID NI NINI?

✍️ Siku hizi kuna ongezeko kubwa sana la huu ugonjwa hebu Soma vizuri.

✍️ Fibroid_ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la uzazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi.

👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻

🔴AINA TOFAUTI TOFAUTI ZA FIBROIDS.

1: Submucosal fibroids(ndani ya kizazi)

2: Intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi)

3: Subserosal(nje ya kizaz)

👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
------Watu wafuatao wako hatarini ya kupata ugonjwa huu fibroids

👉 Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa

👉Miaka kuanzia kubarehe mpaka hedhi kukoma

👉Kurithi

👉 Unene

Kuingia hedhi mapema

✍️Fibroids-sio kansa ni uvi mbe wa kawaida tu ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubarehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini.

✍️ Na mara nyingi uvimbe huu waga unaongezeka kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto.

✍️ Na watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids au kitaalam leomyoma.

🔴●DALILI ZA FIBROIDS/UVIMBE KWENYE KIZAZI

📌.Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi.

📌.kutokwa na uchafu wenye kiaharufu mbaya au ambao hauna harufu lkn mwingi na mweupe.

📌.maumivi ya kiuno hasa wakati wa hedthi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe..wengi hupata maumivu makali sana.

📌.Tumbo kuuma sana chini ya kitovu.

📌.hedhi zisizokuwa na mpangilio.

📌.maumivu wakati wa tendo la ndoa

📌.Kukosa hamu ya tendo la ndoa

📌.maumivu makali wakati wa hedhi

🔴 UVIMBE UNAPOKUWA MKUBWA UNAWEZA KUSABABISHA MADHARA YAFUATAYO.

1: Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo

2: Mkojo kubaki kwenye kibofu cha mkojo

3: Haja kuwa ngumu

4: miguu kuvimba

5: kupungukiwa damu

🔴JINSI FIBROIDS/ UVIMBE UNAVYO WEZA KUKUNYIMA MTOTO:

1: Fibriods zikikua sana zinakandamiza mishipa ya kupitisha mayai kutoka kwenye kiwanda yan ovari

2: Uvimbe pia unazuia yai lililorutubishwa kujishikiza kwenye kizazi..hasa submucosal fibroids

3: Pia huzuia mfuko wa kizazi kukaza kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa ya kupitisha mayai.

K**a wewe ni miongoni mwa wahanga wa tatizo hili,. Usisite kuwasiliana nasi kwa msahada zaidi.
Piga simu ili kuongea na Daktari namba zifuatazo👇👇
0784703163

JE, HUYU NI WEWE?UMEKUWA UKITESEKA NA HAYA?📌kukosa mtoto au ujauzito📌kutopata hedhi📌maumivu wakati wa hedhi📌kuziba kwa m...
07/01/2024

JE, HUYU NI WEWE?
UMEKUWA UKITESEKA NA HAYA?
📌kukosa mtoto au ujauzito
📌kutopata hedhi
📌maumivu wakati wa hedhi
📌kuziba kwa mirija
📌P.I.D
📌U.T.I
📌fangasi
📌miwasho na kutoka maji machafu na yenye harufu ukeni
📌uvimbe ndani ya kizazi
📌na matatizo mengine ya uzazi.

💥💥💥💥💥💥💥💥💥 BASI GCAT INTERNATIONAL HOSPITAL INAKUREJESHEA FURAHA WEWE MWANAMKE. Inakuletea na kukuandalia program maalumu kuondoa shida zote hizo kwakuwa ina tiba nzuri kwaajili ya uzazi na maambukizi katika via vya uzazi na kukufanya uwe na furaha katika ndoa na maisha yako yote
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Utaipata popote ulipo bila shida kwa gharama ndogo sana.
CHA KUFANYA FIKA KITUONI KWETU MAPEMA SANA AU PIGA SIMU 📞0784703163AU KARIBU INBOX KWA KUTUMA UJUMBE NAHITAJI FURAHA BASI NITAKUPATIA BILA SHIDA YOYOTE.......UNA HAKI YA KUWA NA FURAHA

📍TUPO HAPA MAJUMBA SITA AIRPORT NA MIKOANI

Moja ya madhara makubwa ya PID ni UGUMBA (infertility);Pelvic Inflammatory Disease (P.I.D)~Ni Maambukizi kwenye via vya ...
07/01/2024

Moja ya madhara makubwa ya PID ni
UGUMBA (infertility);

Pelvic Inflammatory Disease (P.I.D)~
Ni Maambukizi kwenye via vya Uzazi wa
Mwanamke,

PID sio nzuri kwa Afya ya Uzazi, Kati ya wanawake 8 wenye PID sugu mmoja anakuwa Mgumba.

MADHARA MENGINE 7 YA P.I.D katika mfumo wa Uzazi ni:-

✔️ Mimba kutugwa nje ya kizazi (Ectopic pregnancy).

~ Katika tatizo hili Tatizo la mimba kutunga nje ya kizazi Yaani (ectopic pregnancy),

Mbegu ya kiume na yai huungana kutengeneza kiinitete kwenye mirija ya uzazi (follopian tube),

Badala ya kupandikizwa kwenye mji wa mimba (Uterus)

👌 Kwa mantic hiyo k**a mimba ikijipandikiza kwenye mirija ya uzazi (follopian tube),

Inakuwa na hatari ya kupasuka kadri mimba inavyokua Na kupelekea kupoteza damu nyingi sana,

Na Kuwa Hatari kwa uhai wa mama.


✔️ Mimba kutoka (miscarriage ).

✔️ Mirija ya uzazi kuziba.

✔️ Kizazi kujaa maji maji.

✔️ Husababisha uvimbe kwenye mayai (ovarian cyst).

✔️ Hormonal imbalance.

✔️ Saratani ya shingo ya kizazi unapo kaa na infection kwa muda mrefu.
-
UTAJUAJE Una PID?

Hizi Hapa Dalili Kuu 10 Hatarishi za P.I.D:-

1️⃣ Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa.

2️⃣ Kuwashwa sehemu za siri.

3️⃣ Uke kutoa harufu mbaya.

4️⃣ Maumivu ya tumbo chini ya kitovu.

5️⃣ Uke kuwa na ulaini sana.

6️⃣ Maumivu wakati wa tendo la ndoa.

7️⃣ Kuvurugika Kwa hedhi.

8️⃣ Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi.

9️⃣ Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa.

🔟 Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula.

MATIBABU-

Kwa Bahati nzuri msaada wa haraka kwa changamoto ya P.I.D upo umbali wa simu moja tu piga sasa. 0784703163

07/01/2024
HAKIKISHA HAUPITWI, TUNATOA OFA YA VIPIMO VYA MWILI MZIMA KUCHEKI MAGONJWA SUGU YOTE KWA ELFU 20,000/=TUHUDUMA HII NI ND...
07/01/2024

HAKIKISHA HAUPITWI, TUNATOA OFA YA VIPIMO VYA MWILI MZIMA KUCHEKI MAGONJWA SUGU YOTE KWA ELFU 20,000/=TU

HUDUMA HII NI NDANI YA MWEZI HUU TU.
TUNAPATIKANA DAR NA MIKOANI.

PIGA NAMBA
0784703163

HAKIKISHA HAUPITWI.OFA HII NI NDANI YA MWEZI HUU TU. HOSPITAL YA WACHINA IMETOA OFA YA VIPIMO VYA MWILI MZIMA KWA ELFU 2...
07/01/2024

HAKIKISHA HAUPITWI.
OFA HII NI NDANI YA MWEZI HUU TU. HOSPITAL YA WACHINA IMETOA OFA YA VIPIMO VYA MWILI MZIMA KWA ELFU 20 TU. MATIBABU YA MARADHI SUGU YOTE YANATOLEWA KWA TIBA ASILIA KUTOKA CHINA. HUDUMA HII NI NDANI YA DAR ES SALAAM NA MIKOA YOTE NCHINI.

VIPIMO,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZO Shirika la Afya  kutoka CHINA/ GCAT HOSPITAL, IMETOA  OFA KWA WATU WATA...
07/01/2024

VIPIMO,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZO

Shirika la Afya kutoka CHINA/ GCAT HOSPITAL, IMETOA OFA KWA WATU WATAKAO fika katika vituo vyake vyote, KUPATA HUDUMA YA VIPIMO NA MATIBABU,,Ofa hii niya👇👇
▪️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni Tshs 20,000/= tu
▪️ Punguzo la bei 20% kwa kila dawa( bidhaa zetu )

Magonjwa tunayo tibu ni;
🚑 ✅, ✅ Matatizo ya Moyo na INI
✅Kansa, ✅Vidonda vya Tumbo,
✅Kisukari ✅Pumu
✅Stroku. ✅Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
✅Matatizo ya mifupa, ✅Matatizo ya miguu
✅Ngozi, ✅Figo, ✅Fangasi sugu
✅Kupunguza unene, uzito, na matumbo
✅Kuongeza kinga mwilini(CD4)
✅U.T.I sugu,Gesi
✅Bawasiri, ✅Tenzi dume
✅Heshima ya ndoa kwa kina baba. N.k

TIBA ZETU NI TIBALISHE NA VIRUTUBISHO.
Ambavyo hufanya kazi kuu nne ( 4 ) mwili
👉 Kuosha
👉 Kulinda/ Kukinga
👉 Kujenga
👉 Kutibu

Karibu sana Upate huduma Zetu imara . Tupo Dar es salaam Majumba sita Airport na Mikoani pia tunapatikana

Wasiliana nasi kwa simu namba
0784703163

Address

Po.Box 20950,Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Telephone

+255784703163

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nickson mshauli wa afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram