
23/02/2025
IJUE💊 AMITRIPTYLINE:
Amitriptyline Hydrochloride_ni Dawa inayo tumiwa na Watu wenye Tatizo la Huzuni (depression)..Kazi kubwa ya dawa hii ni kutibu na kuondoa Huzuni.
Mbali na Kazi hiyo kubwaa lakini SIDE EFFECTS ya dawa hii ni Difficulty peeing Nikimaanisha Inasababisha kuleta ugumu wa kupata MKOJO....hivyo WATU wenye Tatizo la Kukojoa Kitandani Mara kwa Mara wakat wa Usiku Wanaweza kutumia Dawa hii Itasaidia Kuzuia kukojoa hovyo.
Pia DAWA hii Inakawaida ya kuleta USINGIZI (sleeping) hivyo Watu wenye tatizo la INSOMNIA nikimaanisha Tatizo la kukosa Usingizi Wanaweza Kutumia dawa hii na hatimaye watapata Usingizi mnono.
Husitumie bila Kupata Maelekezo ya Daktari au Mfamasia.