06/12/2023
KUMALIZA MWAKA PASIPO CHANGAMOTO ZA KIAFYA INAWEZEKANA...!
Hakuna aliyeumbwa ili kuteseka na changamoto za kiafya, na ndio maana kwa kutambua hilo taasisi ya Afya ya Gcat Health Clinic imeweka punguzo la vipimo vya mwili mzima (full body checkup) kwa wewe mwenye changamoto ya afya.....
Kwa Thamani Ya Tsh 20,000 Tu
(Elfu Ishirini Tu)
Gcat health clinic ina madaktari bingwa wanaotoa suluhisho la maradhi sugu yote.....
Huduma zinazojumuishwa ni pamoja na uchunguzi wa;
✨Mfumo wa mishipa ya damu, moyo na ubongo
✨Mfumo wa maradhi ya mifupa
✨Mfumo wa mmeng'enyo na uyeyushaji wa Chakula
✨Afya ya ngozi na maradhi ya ngozi
✨Afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake
✨Mfumo wa fahamu, jicho na maradhi ya macho
✨Mfumo wa upumuaji
✨Afya ya Kinywa na meno
✨Kisukari
✨Saratani/kansa
✨Shinikizo la damu/Presha
✨Tezi dume
✨Bawasiri
✨Ugonjwa wa kutetemeka
✨Fangas, U.T.I, P.I.D
✨Matatizo ya bandama
✨Kiharusi na matatizo ya moyo
✨Sikio na maradhi sugu mengineyo
Changamoto zote hizo zinatibiwa kwa tiba-lishe (nutritional supplements) kwa sababu tiba lishe ndio tiba sahihi ya kuupa mwili nguvu na uwezo wa kujitibu wenyewe...!
Ili uweze kupata huduma hizi weka miadi ya kufanya vipimo hivyo kwa namba hizi hapa chini;
0654923822
Sisi ni daraja la uponyaji wa afya yako. Tunaithamini sana afya yako kwani ndio msingi wa kuishi maisha ya furaha.