Mr Health mshauli wa Afya

Mr Health mshauli wa Afya pata ushauri wa afya wa magonjwa yote yasiyo ambukizwa na kuyapatia utatuzi

Tunatoa huduma ya vipimo vya mwili mzima na tupo kwenye kipindi Cha ofa maalum utalipia elfu ishirin kumuona Dr na kufan...
20/03/2024

Tunatoa huduma ya vipimo vya mwili mzima na tupo kwenye kipindi Cha ofa maalum utalipia elfu ishirin kumuona Dr na kufanya vipimo

Tunafanya vipimo kwenye mifumo ifuatavyo

____mfumo wa uzazi Kwa mke na mume
____mfumo wa tumbo(utumbo mpana/mwembamba
____mfumo wa upumuaji
____mfumo wa mifupa
____mfumo wa ngozi
____mfumo wa macho
____mfumo wa ubongo nk

Lakini pia tuna tibu maradhi sugu km ifuatavyo

_____tezi dume(tunatibu bila uvimbe bila upasuaji
______vidonda vya tumboni
_______kisukari, presha,moyo,ini

____nguvu za kiume, fangas,macho

_____ukuaji mbovu wa watoto
______bawasili, matatizo ya mifupa na mengine yasioambukiza
Tunapatikana dar na mikoan
Kwa mawasiliano zaid wasiliana nasi
Call /0746606065
Watsap/0784 703 163

🎯 AFYA NJEMA YA MWILI WAKO NI UZIMA WAKO, NA NDIO MAFANIKIO YAKO KATIKA MAISHA.tumetoa ofa ya watu 200 watakao wahi wata...
20/03/2024

🎯 AFYA NJEMA YA MWILI WAKO NI UZIMA WAKO, NA NDIO MAFANIKIO YAKO KATIKA MAISHA.

tumetoa ofa ya watu 200 watakao wahi watapima bure na ushaur wa Dr bureee kabisa haijawahi tokea wahi sasa

🌹Inawezekana Ukawa Una Changamoto yoyote Ya Uzazi, nguvu za kiume, Ngiri, P.I.D, kutokushika ujauzito, mimba kuharibika, pressure, kisukari, vidonda vya tumbo, Bawasili, moyo, figo, miguu kufa ganzi au matatizo yoyote ya kiafya.

📲 K**a Ndio Napenda Nikukaribishe katika ofisi zetu

💥Tunatoa Huduma Ya Vipimo Vya Mwili Mzima(Fullbody Checkup) kwa sh 20000 Tu.
Kumuona Daktari na Ushauri ni bure.

Punguzo la bei 20% kwa kila dawa zetu

Tunapatikana Dar es salaam na mikoani pia

🌹KARIBUNI SANA
Tupigie kuongea na doctor Kwa Namba
📞 0746606065

🩸Au Wasiliana na Doctor 0784 703 163

Na hii leo nitaifafanua vizuri hii habari ya *KUPIMA KABLA YA KUTUMIA DAWA* ili wengi mnielewe ni kwanini ni muhimu sana...
20/03/2024

Na hii leo nitaifafanua vizuri hii habari ya *KUPIMA KABLA YA KUTUMIA DAWA* ili wengi mnielewe ni kwanini ni muhimu sana kupimwa✍️✍️njoo upime kwanza ujuwe unachangamoto gani hii ni ofa ya vipimo vya mwilimzima kwa TSH 20,000 TU nautaonana na daktari pamoja na ushauri ni bure kabisa au wasiliana na mimi 0784 703 163

05/03/2024

JE,UNASUMBULIWA NA KUTOKA UCHAFU SEHEM ZA SIRI,MIWASHO,FANGASI,U.T.I NA UZAZI KWA MUDA MREFU??

Zipo sababu mbalimbali zinazopelekea kuwa na hii changamoto ya (P.I.D) (kutokwa na uchafu sehem za siri)

1). Ulaji wa vyakula vyenye madawa k**a vile chipsi kuku/chipsi mayai,vyakula vya viwandani na aina k**a hizo
2).Matumizi ya njia za uzazi wa mpango
3).Utoaji wa mimba hovyo
4).Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja
5).Matumizi ya mara kwa mara ya antibiotics
6).U.T.I sugu
7). Vifaa vya kujifungulia kuwa na bakteria(kutooshwa vizuri)

DALILI ZA P.I.D
1).Kutokwa Uchafu k**a maziwa wenye harufu wakati mwingine hauna harufu
2).Mzunguko wako kuvurugika
3).Kutoa harufu mbaya sehemu za Siri
4).Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
5).Maumivu ya tumbo upande wa kulia au kushoto
6).Maumivu wakati wa tendo la ndoa
7)Kuwa na dalili za mimba lakini huna mimba
😎.Uk* kuwa mkavu kupita kiasi
9).Kukosa hamu ya tendo la ndoa
10).Miwasho sehemu za Siri
11).Kupata homa au kuhisi homa

MADHARA YA P.I.D
1).Maumivu ya tumbo au nyonga
2).Ugumba /kushindwa kupata ujauzito
3).Ujauzito kuharibika
4).Mirija ya uzazi kuziba
5).Kupata uvimbe kwenye mirija ya uzazi
6).Kupata Uvimbe kwenye mji wa mimba
7).Kupata Saratani ya shingo ya kizazi
8.kizazi kutolewa
9).Kizazi kuharibika
10).Kupoteza uhai

Tumewasaidia watu wengi kupona changamoto hii baada ya kuhangaika sana kutafuta tiba mbalimbali na kupoteza pesa bila mafanikio.

Wasiliana nasi kwa simu namba 0746606065 au
📞0784 703 163

24/02/2024

OSTEOARTHRITIS
+255 784 703 163
Nichangamoto inayoathiri viungo inayotoka na umri kuanzia 40+

🍹Huathiri viungo na mifupa
🍹Hutokea baada ya gegedu (cartilage)kulika kwenye viungo na uteute kuisha
🍹 Huathiri viungo mbalimbali k**a vile
👉 Mgongo
👉 Nyonga
👉Magoti
👉Mabega nk

Kumbuka
👉Viungo ni muunganiko kati ya mifupa miwili (mfupa na mfupa
👉Katika ya viungo kuna gegedu (Cartilage),hii ni plastiki ya asili inayozuia mifupa isigusane kwenye viungo

OSTEOARTHRITIS
Hutokea pale ambapo gegedu (cartilage) imelika na uteute umepungua kwenye viungo

Kwa Ushauri zaidi

Tuwasiliane kupitia namba
+255 784 703 163

24/02/2024

SULUHISHO LA CHANGAMOTO YA KUVIMBA KWA TEZI DUME
+255 784 703 163

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME
1; Kukojoa mara kwa mara nyakati za usiku kuanzia mara nne mpaka tisa

2; Kukojoa mkojo usioruka mbali

3;Kutokuishiwa hamu ya kukojoa

4; Kuhisi kibofu kimejaa mkojo

5; Kupata maumivu/Ugumba wakati wa kuanzisha mkojo

YAFAHAMU MADHARA YA KUVIMBA KWA TEZI DUME

1; Saratani ya tezi dume

2; Figo kufeli

3; Njia ya mkojo Kuziba kabisa

4; Kibofu cha mkojo Kuharibika

Kwa Ushauri zaidi
+255 784 703 163

07/02/2024

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255784703163

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mr Health mshauli wa Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram