Mtaalamu wa Tiba na Visomo Sheikh Yusufu

Mtaalamu wa Tiba na Visomo Sheikh Yusufu MIMI NI MTAALAMU WA TIBA ZA VISOMO NA DUA KATIKA MAGONJWA NA MAHUSIANO UCHAWI KAZI
KINGA MALI ZA MAJINI
NAREJESHA MAHUSIANO KWA HARAKA

mtaalam huyu anatibu kwa visomo na mitishamba

HII NI HATARI NDUGU KARIBUNI NIWAPE VITU VIKUBWA NA FAIDA KATIKA KUPIGANA NA MAHUSIANO NA RIDHIKI
09/07/2024

HII NI HATARI NDUGU
KARIBUNI NIWAPE VITU VIKUBWA NA FAIDA KATIKA KUPIGANA NA MAHUSIANO NA RIDHIKI

23/06/2024
INAENDELEAmajangwa na mabonde. Tukasema: UCV!  #2W X O
23/06/2024

INAENDELEA
majangwa na mabonde. Tukasema:
UCV!  #2W X O

5.Allâh Amesema: tukamkosa, tukamtafuta kaka “Kulikuwa na wanaume miongoni mwa Wanaadamu wakijikinga kwa wanaume miongon...
23/06/2024

5.Allâh Amesema:
tukamkosa, tukamtafuta kaka
“Kulikuwa na wanaume miongoni
mwa Wanaadamu wakijikinga
kwa wanaume miongoni mwa
majini; kwa hivyo wakawazidishia
madhambi.”[72: 6].
6 lâ Amesema:
“Haka shetani anataka
kuwilia uadui na bughudha
bai yenu kwa ajili ya ulevi na
kami na anataka kuwazuilia
kummbuka Allâh na
(kuzuilia) kuswali. Basi je
mtaha (mabaya hayo)?” [5: 1].
8&L OK 5  H 5 5 X+- 
7 lhmem
“Enyi mlioaminiMsifuate nyayo
za shetani; atayefuata nyayo za
shetani (atapot); kwani yeye
huamrisha macha na maovu.”
[24: 21]

ll ti u’ii ingi zinajulikana, ikutoshe kuwa katika
Qur’âni muna Sura kamili ayozungumzia majini, bali ikutoshe kuwa
neno jinni limetajwa kati Qur’âni mara 22, neno majini limetajwa
mara saba, neno shetani letajwa mara 68 na neno mashetani limetajwa
mara saba. Na pia, ni kwaa Aya zilizotaja majini na mashetani ni
nyingi.
Pili: dalili kaka Hadît
1. ‘Abdullâh bin Mas‘ûd meimulia:
“Tulikuwa pamoja na Mtumصلى
Mara. mmoja usiku الله عه وآله وسلم

Itaendelea

FASILI YA PILI SIHIRI KWA MUJIBU WA QUR’ÂNI NA HADÎTH Dalili za kuwepo majini na mashetani. [Tazama: Wiqâyatulinsân]. M...
21/06/2024

FASILI YA PILI
SIHIRI KWA MUJIBU WA QUR’ÂNI NA HADÎTH
Dalili za kuwepo majini na mashetani. [Tazama: Wiqâyatul
insân].
Mafungamano ni ya nguvu baina ya jini na mchawi. Bali majini na
mashetani ndio msingi na mhimili wa uchawi. Baadhi ya watu
wamekanusha kuwepo majini na halafu wakakanusha kutokezea sihiri.
Kwa hivyo nitaorodhesha dalili za kuwepo majini na mashetani kwa
ufupi.
Kwanza, dalili za Qur’âni:
1.Allâh Amesema:
“(Wakumbushe) Tulipokuletea
kundi la majini (kuja kwako)
kusikiliza Qur’âni.”[46: 29].
") "  *+ ,- '. !-/


$



0 1  2345

Alâh Amesema:
Siku ya Qiyama wataambiwa):
yi makundi ya majini na
naadamu! Je, Mtume
wakuwafikia miongoni mwenu
wabainishia Aya Zangu na
waonyesha mkusanyo wa Siku
nu hii ya leo?” [: 130].
8&9:5 ;

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Med Othman, Ek**ala Ek**ala, Harith Sameer, Midu Mayo May...
21/06/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Med Othman, Ek**ala Ek**ala, Harith Sameer, Midu Mayo Mayo, Mamaake Malcormx, Ibrahim Mistoihi, Rabia Juma Shabani Shabani, M***a Omary, Shamia Salim, Subira Musa, Hamad Omar, Salehe Mtambo, Ramadhani Azizi, Maulid Melad, Clementina Japhet, Mohamed Chamkono, Emmanuel Kinanda, Msekwa Kebi, Saida Hamisi, Mjumbe Mjumbe Wetu, M***a Kassim, Xtamily Qute, Batuli Hussein, Lucy Mbwilo, Dege Paschal Karoli, Nacy Mohamed, Msemwa Geuza, Athuman Mbwana, Bahati Ibrahimu, Ally Macheka, Zahabu Greyson, Ridhia Dende, Maua Abas, Chuga Boy, Jey Limo, Nassoro Millanzi, Johanitha Dausoni Tibamanya, Benaya Kiluswa, Mpogo Nongwa, Aysha Yahya, Kija Diga, Abuu Yuusuphu Abdulrah-maan, Sayuni Munisi, Ashura Bwatamu Bwatamu, Mubarak Ibn Ummary, Hatka Iddy, Abuu Lyimo, Ashura Mpuya, Fatuma Rashidi, Kaka Sammy

INAENDELEAUnapoutazama uso wa mchawi, utadhihirikiwa na ukweli huu niliokwambia, utaona giza la ukafiri limetanda usoni ...
21/06/2024

INAENDELEA

Unapoutazama uso wa mchawi, utadhihirikiwa na ukweli huu
niliokwambia, utaona giza la ukafiri limetanda usoni mwake
kanakwamba ni wingu jeusi.
Utakapomjua mchawi kwa ukaribu zaidi, utamkuta anaishi katika
mateso ya kinafsi pamoja na mkewe na wanawe, bali pamoja na nafsi
yake yeye mwenyewe. Hawezi kulala kwa umakinifu na moyo uliotulia,
bali mara kwa mara huwa akifazaika usingizini; ongezea hapo,
mashetani mara nyingi huwa wakiwaletea adha wanawe na mkewe na
hutia ugomvi na utesi baina yao.
Allâh Mtukufu Amesadiki Aliposema:
“Atakayejiepusha na mawaidha
Yangu, kwa yakini atapata maisha
yenye dhiki …”(1)[20: 124].
    ! "
#
 "$



&'($
****
1) Aya ik**alizikia: “… na Siku ya Qiyama Tutamfufua hali ya kuwa
ipofu.” Aya mbili mbele yake zikasema: “Aseme: “Mola wangu! Mbona
menifufua kipofu, nami nilikuwa nikiona?” (Allâh) Atamwambia:
Ndivyo hivyo; zilikufikia Aya Zetu, ukazisahau; vile vile leo
nasahauliwa!”

INAENDELEA Ibnul-Qayyim amesema: “(Sihiri ni) mchanganyo wa athari za mapepo wachafu na athari ya nguvu ya kimaumbile.” ...
21/06/2024

INAENDELEA

Ibnul-Qayyim amesema: “(Sihiri ni) mchanganyo wa athari za mapepo
wachafu na athari ya nguvu ya kimaumbile.” [Zâdul-Ma‘âd (4/126)].
Taarifa ya sihiri:
Sihiri ni maafikiano baina ya mchawi na shetani juu ya kwamba mchawi
atende baadhi ya mambo ambayo ni haramu au ya ushirikina katika
mkabala wa shetani kumsaidia yeye na kumtii katika analolitaka.
Baadhi ya njia ambazo wachawi huzitumia kujikurubisha kwa
shetani:
Katika wachawi, muna ambaye huvaa Msahafu (Qur’âni) katika nyayo
zake akiingia nao chooni. Muna wanaoandika Aya za Qur’âni kwa
uchafu. Muna wanaoziandika Aya hizo kwa damu ya hedhi. Muna
wanaoziandika Aya za Qur’âni chini ya unyayo. Muna wanaoandika
SûratulFâtiha kinyumenyume. Muna wanaoswali bila udhu. Muna
wanaoketi na janaba muda wote. Muna wanaomchinjia shetani; hivyo
huwa hawataji Jina la Allâh wanapochinja, na kisha humtupa mahala
alipowaelekeza shetani.(1) [Tazama: Wiqâyatul-insân ukurasa wa 45].
Muna wanaoziomba nyota na wakizisujudia badala ya Allâh. Muna
wanaowanajisi mama zao au binti zao. Muna wanaoandika talasimu kwa
maneno yasio ya Kiarabu yenye maana ya kikafiri.
Hapa ndipo tunapoona kuwa jini hamsaidii mchawi wala hamtumikii ela
kwa kubadilishana (nipe nikupe!), na mchawi kila anapokuwa ana
ukafiri zaidi, shetani naye humtii zaidi na huharakisha kumtekelezea
alitakalo. Mchawi anapokusuru kuyafanya alioamriwa na shetani katika
mambo ya kikafiri, naye shetani hukataa kumhudumikia na anaasi amri
yake.
Kwa hivyo, mchawi na shetani ni wendani waliokutana katika kumuasi
Allâh.

(1) Ukiona mganga au mwalimu amechinja mbuzi au mnyama kisha akamtupa
k**a vile baharini, basi usiulize, hiyo ni amali ya kujikurubisha kwa shetani.
﴾21﴿

FASILI YA KWANZA TAARIFA YA SIHIRI ( UCHAWI )Sihiri kilugha: * al-Laith amesema: “Sihiri ni amali inayokaribiwa kwayo s...
21/06/2024

FASILI YA KWANZA
TAARIFA YA SIHIRI ( UCHAWI )
Sihiri kilugha:
* al-Laith amesema: “Sihiri ni amali inayokaribiwa kwayo shetani na
kwa msaada wake.”
* al-Azhary amesema: “Asili ya sihiri ni kukigeuza kitu katika hakika
yake hadi sehemu nyingine.” [TahdhîbulLughah (4/290)].
* Ibnu Mandhwûr amesema: “Kana kwamba mchawi alipoonyesha batili
katika sura ya kweli na akakisawirisha kitu kwa namna isiyo hakika,
atakuwa amekisihiri kitu, yaani amekigeuza.” [Lisânul-‘Arab (4/348)].
* Shamir amepokea kutoka kwa Ibnu ‘Âisha akisema: “Waarabu
wameita sihiri kuwa ni sihiri; kwa sababu huondoa uzima hadi kwenye
maradhi.” [MaqâyîsulLughah (ukurasa wa 507)].
* Ibnu Fâris amesema kuhusiana na sihiri: “Watu (wa lugha) wamesema:
ni kuidhihirisha batili katika sura ya haki.” [Maqâyîsul-Lughah ( ر ح س (
na alMisbâh (267)].
* Katika al-Mu’jamul-Wasît imeandikwa: “Sihiri ni kukidhihirisha kitu
katika maonyesho yake mazuri ili ifitini (ivutie).” [Mahîtulmahît (399)].
Sihiri katika istilahi ya Sharia:
Fakhruddîn ar-Râzy amesema: “Sihiri katika istilahi ya Sharia,
imehusika na kila jambo ambalo sababu yake imefichika na
linasawirisha kwa namna isiyo hakika yake, na huwa ikipitika kwa
namna ya kuficha na kuhadaa.” [al-Misbâhul-Munîr (268)].
* Ibnu Qudâma al-Maqdisy amesema: “(Sihiri ni ) kifundo, zunguo na
maneno yanayosemwa au kuandikwa, au afanye jambo litakaloathiri
katika mwili wa aliyesihiriwa au moyoni mwake au akilini mwake bila
ya kumshika. Nayo ina hakika, kuna yenye kuuwa, yenye kutia maradhi,
inayomzuwia mwanamume asiweze kumjamii mkewe. Muna na
inayomtenganisha mtu na mkewe na inayomchukiza mmojawapo kwa
mwenzie, au kutia mapenzi baina ya wawili.” [al-Mughnî (10/104)].
﴾20﴿

🎉 Just completed level 3 and am so excited to continue growing as a creator on Facebook!Inshallah NAWALETEA MSAADA MUDA ...
20/06/2024

🎉 Just completed level 3 and am so excited to continue growing as a creator on Facebook!
Inshallah NAWALETEA MSAADA MUDA WOTE KARIBUNI NDUGU ZANGU

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtaalamu wa Tiba na Visomo Sheikh Yusufu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share