Omega Dental Clinic

Omega Dental Clinic omega specialized dental clinic

11/04/2026

Omega dental clinic # # # hospitali ya meno # # Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ dar es salaam

Fixed braces  # # # # hutibu kabisa meno yaliyoota vibaya  # gharama nafuuu sana
07/04/2026

Fixed braces # # # # hutibu kabisa meno yaliyoota vibaya # gharama nafuuu sana

06/04/2026
Tunapenda kuwatakia heri ya sikukuu ya pasaka wapendwa wateja wetu wote, hivyo Kwa siku ya kesho hatutakua wazi. Huduma ...
04/04/2026

Tunapenda kuwatakia heri ya sikukuu ya pasaka wapendwa wateja wetu wote, hivyo Kwa siku ya kesho hatutakua wazi. Huduma zitaendelea siku ya jumatatu.
Ahsante.

Happybirthday to me πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ«ΆπŸ½πŸ«ΆπŸ½πŸ«ΆπŸ½πŸ«ΆπŸ½πŸ«ΆπŸ½πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»
04/04/2026

Happybirthday to me πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ«ΆπŸ½πŸ«ΆπŸ½πŸ«ΆπŸ½πŸ«ΆπŸ½πŸ«ΆπŸ½πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»

03/04/2026

Omega dental clinic # # # # tunawatakia heri ya sikukuu ya pasaka

24/03/2026

*MAANA YA RANGI MBALIMBALI CHINI YA CHUPA ZA DAWA ZA MENO*

K**a wewe ni mtumiaji wa Dawa za Meno zenye madini ya Fluoride utakuwa umeona msimbo wa rangi (colour code) chini ya chupa au mirija ya plastiki ya dawa yako ya meno. Rangi hizo ni Nyekundu, Kijani, Bluu au Nyeusi. Rangi zinazopatikana chini ya mirija ya dawa za meno (kijani, bluu, nyekundu, au nyeusi) ni alama za utengenezaji tu (color marks or eye sensor) zinazotumiwa na mashine kukata na kufunga mrija, hazionyeshi viambato vya dawa hiyo. Rangi hizo hazina uhusiano na usalama au viambato vya dawa unayoitumia. Kagua hata chupa za maji ya kunywa toka viwandani angalia karatasi la nailoni lililozungushiwa kwenye chupa hiyo utaona msimbo wa rangi nyeusi, nyeupe hata kijivu kulingana na uchaguzi wa kiwanda kinachotengeneza maji hayo ya Kunywa.
*Kwa ufupi:*
1. Kijani, Bluu, Nyekundu, Nyeusi: Zote zina lengo moja la kiufundi la kiwanda (eye sensor) inayoiambia mashine hapa ndipo mwisho wa mrija au chupa, kata na funga mrija huo baada ya dawa kujaa.
2. Taarifa za Viambato: Kusoma orodha ya viambato vilivyomo kwenye dawa ya meno angalia sehemu iliyoandikwa *(β€œIngredients”)* ndiyo njia pekee ya kujua kilichomo.
3. Usalama: Rangi hizo hazimaanishi k**a dawa ni ya asili (mitishamba), au imechanganywa na dawa, au kemikali.
*Ushauri:*
Tunaishauri jamii nzima ya Watanzania kuepuka kutoa maneno ya upotoshaji kwa watu ambao hawawezi kutafuta ukweli wa jambo linalozungumzwa. Lakini pia tunawashauri watanzania wajenge mazoea ya kutafuta ukweli wa kisayansi kutoka kwa wataalamu wa eneo husika ambalo upotoshwaji huu unafanyika. Madaktari wa Kinywa na Meno wapo nchi nzima waulizwe maswali yote pindi pale inapotokea mtu huelewi jambo kwa usahihi.

20/03/2026

Dental implant # # # meno ya kupandikiza # #

Inashauriwa kila siku ni muhimu unapokuwa na braces ufuate maelekezo haya ya afya ili kulinda meno yako  # # # # #
15/03/2026

Inashauriwa kila siku ni muhimu unapokuwa na braces ufuate maelekezo haya ya afya ili kulinda meno yako # # # # #

Address

Morgoro Road
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Omega Dental Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Omega Dental Clinic:

Share

Category