RightTime AfyaHelp

RightTime AfyaHelp Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from RightTime AfyaHelp, Health & Wellness Website, Dar eS salaam, Dar es Salaam.

29/05/2025

UPONE NA KUPATA AMANI SASA
πŸ‘‰πŸ» Hata k**a ni kutokana na umri kusogea, tunatambua unaweza kuwa unapata shida kiafya hasa kutokana na mabadiliko ya mwili na mfumo wa kinga unavyozidi kupungua kadiri umri unavozidi kuongezeka, uko hapa kupona uwe vizuri kabisa kwa namna itakayokushangaza.
πŸ‘‰πŸ» Hivyo usihofu kuhusu KISUKARI, shinikizo la damu yaani PRESHA, ugonjwa wa MOYO na saratani kwakuzingatia utofauti wake kwa mwanamke na mwanaume.
πŸ‘‰πŸ» Upate usaidizi dhidi ya udhaifu wa MIFUPA na viungo mfano wa magonjwa k**a OSTEOPOROSIS na arthritis ambayo hupunguza uwezo wa kutembea na kufanya kazi za kawaida.
πŸ‘‰πŸ» Kusiwe na matatizo ya kumbukumbu na akili k**a vile dementia na Alzheimer's disease.
πŸ‘‰πŸ» Usaidizi huohuo ukusaidie kupambana kupingua kwa uwezo wa kuona na kuskia ili zisiathiri mawasiliano na uwezo wa kujitegemea. Usaidike dhidi ya k**a kuna changamoto za kukosa usingizi au kuwa na ule wa vipindi vifupi tu kisha unaisha.
πŸ‘‰πŸ» Lakini pia dhidi ya udhaifu wa kinga ya mwili ambao ni kichocheo cha kupata maambukizi kirahisi.
Uingie kwenye utaratibu utakaokusaidia kupambana na hayo yote kwa pamoja badala ya moja baada ya lingine ili hata ambayo bado hayajaanza kuonekana basi yazuilike na badala ya kutumia gharama kubwa za kutisha badala yake mambo yawe mepesi.
UNAWEZA kutumia namba hii +255788512033 hapa kutufikia au link hii
kufika whatsapp kwa ajili ya mawasiliano na usaidizi wa karibu. https://chat.whatsapp.com/EJ33gJ8UO7a3LUgMlETxJK

08/02/2024

HAPANA NI MUHANGA WA UZAZI TU!!
Anasema"nilipoona ujumbe wao kwenye mtandao kuhusu kuwasaidia wahanga wa uzazi nilitaka kupuuza kwani mengi yalifanana na ya wengine wanayoandika japo mwishoni waliandika kwa namna ya tofauti sikuwahi kuona nikachukua namba zao...miezi 3 mbele wamenibadilishia historia ya maisha yangu kabisa nawashukuru".
πŸ‘‰πŸ» Hata hivo tunazingatia kwamba huenda umekuwa muhanga kwasababu tofauti na za mwingine maana kuna ambaye sababu zako ni:
πŸ‘‰πŸ» Tangu kuvunja ungo mambo yako hayako vizuri hata ukiangalia mzunguko wako
πŸ‘‰πŸ» Tangu ulipojifungua baada ya hapo muda kidogo mbele changamoto zikaanza. Au ni tangu ulipoolewa tu
πŸ‘‰πŸ» Tangu ulipotoa tu mimba badae kidogo mambo yakaanza kubadilika mpaka leo
πŸ‘‰πŸ» Tangu ulipotumia dawa za kisasa za uzazi wa mpango mambo yakabadilika hata ulipokuja kusitisha ili ufanye uzazi mpaka leo mambo ni tafrani hadi wanakufikiria vingine kwamba unakusudia.
πŸ‘‰πŸ» Tangu uanze kuwa unaumwa UTI za marakwamara au Fangasi na mengine yakaanza kuingia mara utokwe uchafu ukeni mara uwe na harufu mara usiwe na harufu na wakati mwingine usitoke mpaka uwe umekutana na mwenzako na hata kuhusu uzazi mambo hayaendi kabisa.
πŸ‘‰πŸ» Tangu ulivopata mimba ECTOPIC na wakati mwingine ulipopima ukaambiwa una ENDOMETRIOSIS na wakati mwingine unachanganyikiwa kuona hata hedhi unayopata mara iko kahawia au nyeusi na wakati mwingine iko na mabonge au nzito unashindwa kuelewa hasa pale unapojikuta hadi siku zako zingezokuwa za hatari lazima upate maumivu mara upande wa kushoto mara kulia. Na uzazi wenyewe ni shida yaani sasaivi umejaribu muda mrefu bila mafanikio. Au tangu ulivopata MOLAR PREGNANCY tangu hapo kuna mambo hayaendi kabisa
πŸ‘‰πŸ» Tangu uanze kuwa unajiskia hovyo sana ukikaribia period na kila ukipima mara homoni hii mara ile kwamba hazijabalance hadi wakati mwingine ukute na maziwa kabisa yanaingilia kwenye wakati mwingine kuuma, au kujaa au hizo chuchu tu kuuma na wakati mwingine hisia za kuwa k**a mjamzito wakati ukipima huna mimba basi na uzazi umekataa.
πŸ‘‰πŸ» Ukizingatia tangu uambiwe mirija imeziba au una uvimbe na usikute ushawahi kusafishwa kabisa au kufanya oparesheni ya uvimbe lakini mambo bado. Tunajua huwa ni kwanini bado na kwanini huwa uvimbe wenyewe unaweza kurudi.
πŸ‘‰πŸ» Unaweza kuwa na changamoto ambazo haziko kati ya tumeyogusia, haimaanishi usichukue hatua kuhusu ya kwako, chukua namba hiyo piga uulizie kuhusu lako na tukigundua ni kati ya ambayo tumekuwa tukitatua na kwamba tunaweza kukusaidia basi tutakusaidia na isipowezekana tutakushauri namna nyingine pia.
πŸ‘‰πŸ» Kuna hii link hapa chini ibofye na ufuate maelekezo mapaka mwisho kwa wepesi wa kusaidiwa na unaweza kuchukua hii namba 0788512033 ukatupigia mojakwamoja huu ni wakati wako sasa maana kiza kimekuwa kinene muda mrefu kwako na sasa ni mapambazuko k**a ukichukua hatua leo leo.
0788512033 na link ni hii πŸ‘‡πŸ»
https://chat.whatsapp.com/JG0hGQkqNZGK7JmuGCq0tg

29/01/2024

HII NI KWA MUHANGA WA UZAZI TU!. BILA KUJALISHA UMEKUWA MUHANGA SANA KIASI GANI, UTAJISKIAJE?
Maana ili mwanamke ashike ujauzito kuna mambo ambayo ni lazima yawe kamilifu ndani yake hasa katika mfumo wa uzazi kwa ujumla. Mambo makubwa ni
πŸ‘‰πŸ»Lazima mzunguko wa mwezi ukae sawa (perfect menstral circle)
πŸ‘‰πŸ»Homoni zinazochochea kupevushwa kwa mayai na kuchochea mabadiliko wakati wa kushika mimba ziwe zinatolewa kila moja kwa kiwango stahiki
πŸ‘‰πŸ» Mirija ya uzazi isiwe na matatizo.
Ukuta wa mji wa mimba usiwe na tatizo lolote mfano kutokana na kusafishwasafishwa kwa mimba kutoka eidha kwa tatizo la homoni au kwa maksudi ya kutoa
Ukiona hayo mambo hayako sawa labda kwa sababu
@ uliwahi kutumia dawa za Uzazi Wa mpango za kisasa mpaka sasa sumu zake zinakuonesha madhara kwakuwa ndo hubakia mwilini na hujawahi kufanikiwa kuzitoa licha ya muda mrefu.
@ uliwahi kufanya abortion (kutoa mimba) ikakuathiri
@ Umewahi kutumia madawa kwa muda mrefu yakakuathiri
@ umewahi kuugua sana haijalishi PID ya kutokana na fangasi au UTI kubwa ya muda mrefu na ikakuathiri
@ Unaambiwa kizazi kiko mbali
@ Unaambiwa kizazi kimegeuka au unaambiwa una uvimbe ( Fibroids/Myoma au cyst)
@ Unajiona k**a period yako haina tatizo lakini bado unaendelea kuwa muhanga wa uzazi
@ Umesafishwa maranyingi mpaka umepata makovu yanayosababisha mimba zisishike tena kirahisi
@ Ushafanya matibabu ya uvimbe au mirija lakini bado tu mimba zinatoka au hazishiki kabisa. Hii ni ili usiendelee kujaribu yasiyofaa yanayoweza kukuza zaidi ghafla tatizo
Unaweza kujikuta tu hivo kwamba hayo mambo hayajaa sawa bila kujua sababu nini inaweza kuwa kijenetiki pia. Na kumbuka mengine athari zake zinaweza zisiwe saana kwenye kukuzuia usipate mimba bali hasa ukishapata huwezi kuvuka nayo miezi 3 ya mwanzo inaharibika.
Tumekuandalia msaada wa uhakika na hutokuwa disappointed kwa namna yoyote kikubwa gusa liki kujiunga na group la wenzako kwa lengo hilo tu basi. KIKUBWA TUKUSAIDIE WEWE NA KUPITIA WEWE WENGINE PIA WAPONE
https://chat.whatsapp.com/DK5Ffi4teSr3IssYuWDWQj
K**a tatizo lako ni tofauti na uzazi nifikie kivingine 0788512033 ila usitumie hiyo link ni special.

Address

Dar ES Salaam
Dar Es Salaam

Telephone

+255788512033

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when RightTime AfyaHelp posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share