KITUO TIBA

KITUO TIBA Ninatoa huduma ya vipimo&Matibabu

KITUO CHA AFYA _GCAT Health care international Ni taasisi inayo milikiwa na Wachina ambapo ina madaktari waliobobea kati...
07/05/2024

KITUO CHA AFYA _GCAT Health care international
Ni taasisi inayo milikiwa na Wachina ambapo ina madaktari waliobobea katika masuala ya Afya na wanatumia vifaa vya kisasa. Wanatoa huduma ya Vipimo kwa gharama nafuu sana 20,000/=tu
Pia wanatibu magonjwa yafuatayo:
✅ Matatizo ya hedhi kwa wanawake
✅ Kutokushika mimba
✅ Mimba kuharibika
✅ Chango la uzazi
✅ Vimbe aina zote
✅ PID &UTI
✅ Kuzibua mirija ya uzazi
✅ Vidonda vya tumbo
✅ Tezi dume
✅ Nguvu za kiume
✅ Bawasili
✅ Matatizo ya moyo
✅ Matatizo ya mifupa
✅ Matatizo ya kibofu cha mkojo
✅ Miguu kuwaka moto
✅ Uzito mkubwa ✅ Ngiri
✅ Bandama ✅ Aleji
✅ Homa ya Ini ✅ Pumu
✅ Kiharusi/Stroke

Pia tuna dawa maalumu kwa wagonjwa wa
✅ presha
✅Sukari
✅ VVU

Tupo Dar es salaam na mikoani kote nchini
Tupigie sim utapokelewa wasiliana nasi kwa namba
0692176552
NB USITUMIE DAWA BILA USHAURI DAKTARI https://wa.me/message/TJ325USONAUZA1

Je, Nani mwingine anahitaji hiiOFA YA VIPIMO VYA MGONJWA YOTE ISIPOKUWA UKIMWI TU.Karibu sana Gcat Eternal Hospital, upa...
06/05/2024

Je, Nani mwingine anahitaji hii
OFA YA VIPIMO VYA MGONJWA YOTE ISIPOKUWA UKIMWI TU.

Karibu sana Gcat Eternal Hospital, upate huduma hii ya vipimo vyote Bure kabisa, wewe utalipia fomu tu wakati wa kufungua faili Tshs 20,000 tu, na kisha utapata huduma zetu zote bila kutoa gharama nyingine yoyote zaidi ya kununua dawa tu endapo utaandikiwa.
Tunapima vitu vifuatavyo;
✨ Mfumo wa mishipa ya damu, moyo na ubongo
✨ Mfumo wa maradhi ya mifupa
✨ Mfumo wa mmeng'enyo na uyeyushwaji wa Chakula
✨Afya ya ngozi na maradhi ya ngozi
✨Afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake
✨ Mfumo wa fahamu, jicho na maradhi ya macho
✨ Mfumo wa upumuaji
✨ Mfumo wa upumuaji
✨Afya ya Kinywa na meno
✨ Kisukari
✨ Saratani/kansa
✨ Shinikizo la damu/Presha
✨ Tezi dume
✨ Bawasiri
✨ Ugonjwa wa kutetemeka
✨Fangas, U.T.I, P.I.D
✨ Matatizo ya bandama
✨Kiharusi na matatizo ya moyo
✨Sikio na maradhi sugu mengineyo

✓Tunafanya vipimo vya Mwili Mzima (full body check up) bure
✓Tunatoa ushauri bure
✓Tunasaidia mgonjwa kukutana na daktari bure
Utafungua faili kwa elfu 20

✓Tunatibu kwa virutubisho/tiba-lishe (nutritional supplements)

Ili uweze kupata huduma hii mapema weka miadi kwa kuwasiliana na daktari kwa namba hii: 0692176552

Au gusa Link hapa chini kuwasiliana nasi kwa Whatsapp 👇👇
https://wa.me/message/TJ325USONAUZA1

06/05/2024

◾ARTHRITIS (Baridi ya bisi )

+255(0)692176552

Ni maumivu makali ya maungio ya mwili(joint).Maumivu haya huathiri joint za mikono,magoti enka UTI wa mgongo na macho.maumivu haya huathiri sehemu za maungio 200 na tishu zinazounganisha Mfupa wa juu na chini(cartilage).Ugonjwa huu huwaathiri sana wazee,wanawake wafanya mazoezi,watu wenye uzito mkubwa/unene pia huweza kuwaathiri watoto.

◾Aina za Arthritis ni osteoarthritis, rheomatoid, psoriasis, spondylitis na gout.

◾DALILI ZA ARTHRITIS
1.Maumivu makali sana .hutoke katikati ya Mfupa ambapo uroto(cartilage) huisha na kusababisha Mfupa wa juu na chini kuzuguana.
2.kuvimba ,kuwaka moto na kuwa na rangi nyekundu kwenye maungio.
3.Mwili kufa ganzi
4.Maungio(joint) kutoa sauti sababu ya kuisha uroto(cartilage).
5.kupata shida kukunja na kukunjua joint pia kupata tabu wakati wa kutembea .
6.kuchoka Muda mwingi na homa inayokuja na kuondoka.
7.Vidole kukak**aa na kuwa na muundo wa Z hii huwa hatua ya mwisho wa ugonjwa huu
8.Macho kuwasha ,kuwa mekundu na kuwa makavu.
9.Matatizo ya kutopata usingizi .
10.pingiri za uti wa mgongo kusagika .
◾Tahadhari:ugonjwa wa Arthritis ukifika hatua ya mwisho MTU hukak**aa vidole na magoti yake huwekewa vyuma ili kusaidia magoti kukunja na macho huwasha,kuwa mekundu na kukauka maji.

◾Je una changamoto hii piga namba
07692176552
Upate suluhisho.

◾ARTHRITIS (Baridi ya bisi )+255(0)692176552            Ni maumivu makali  ya maungio ya mwili(joint).Maumivu haya huath...

Upate suluhisho. https://wa.me/message/TJ325USONAUZA1

Ofa hii ni ya siku tatu tu tafadhali fika mapema usikose
30/04/2024

Ofa hii ni ya siku tatu tu tafadhali fika mapema usikose

◾ARTHRITIS (Baridi ya bisi )+255(0)692176552            Ni maumivu makali  ya maungio ya mwili(joint).Maumivu haya huath...
15/04/2024

◾ARTHRITIS (Baridi ya bisi )

+255(0)692176552

Ni maumivu makali ya maungio ya mwili(joint).Maumivu haya huathiri joint za mikono,magoti enka UTI wa mgongo na macho.maumivu haya huathiri sehemu za maungio 200 na tishu zinazounganisha Mfupa wa juu na chini(cartilage).Ugonjwa huu huwaathiri sana wazee,wanawake wafanya mazoezi,watu wenye uzito mkubwa/unene pia huweza kuwaathiri watoto.

◾Aina za Arthritis ni osteoarthritis, rheomatoid, psoriasis, spondylitis na gout.

◾DALILI ZA ARTHRITIS
1.Maumivu makali sana .hutoke katikati ya Mfupa ambapo uroto(cartilage) huisha na kusababisha Mfupa wa juu na chini kuzuguana.
2.kuvimba ,kuwaka moto na kuwa na rangi nyekundu kwenye maungio.
3.Mwili kufa ganzi
4.Maungio(joint) kutoa sauti sababu ya kuisha uroto(cartilage).
5.kupata shida kukunja na kukunjua joint pia kupata tabu wakati wa kutembea .
6.kuchoka Muda mwingi na homa inayokuja na kuondoka.
7.Vidole kukak**aa na kuwa na muundo wa Z hii huwa hatua ya mwisho wa ugonjwa huu
8.Macho kuwasha ,kuwa mekundu na kuwa makavu.
9.Matatizo ya kutopata usingizi .
10.pingiri za uti wa mgongo kusagika .
◾Tahadhari:ugonjwa wa Arthritis ukifika hatua ya mwisho MTU hukak**aa vidole na magoti yake huwekewa vyuma ili kusaidia magoti kukunja na macho huwasha,kuwa mekundu na kukauka maji.

◾Je una changamoto hii piga namba
07692176552
Upate suluhisho.

Kuoza kwa mizizi ya meno ni mchakato wa ugonjwa wa meno unaoanzishwa kwenye makutano ya kifuniko cha nje cha jino (Ename...
15/04/2024

Kuoza kwa mizizi ya meno ni mchakato wa ugonjwa wa meno unaoanzishwa kwenye makutano ya kifuniko cha nje cha jino (Enamel) au kwenye sehemu za mizizi, kuoza kwa mizizi ya meno (Root caries) husababishwa na bakteria (vidudu) wanaoshambulia kinywa, bakteria wanaweza kushik**ana na meno na kuunda kitu kigumu kwenye meno kutokana na uchafu, hubadili rangi na kisha ushambulia mizizi.

Follow Whatsapp 0692176552

Magonjwa ya iniKuna aina mbalimbali za magonjwa ya ini (magonjwa ya ini) na hali. Ugonjwa huo unaweza kukimbia katika fa...
12/04/2024

Magonjwa ya ini
Kuna aina mbalimbali za magonjwa ya ini (magonjwa ya ini) na hali. Ugonjwa huo unaweza kukimbia katika familia (maumbile). Sababu nyingi zinazosababisha shida ya ini, ni k**a ifuatavyo.

Virusi, k**a vile Homa ya ini A, hepatitis B, hepatitis C na hepatitis E
Unywaji pombe kupita kiasi na Madawa ya kulevya
Uzito, Ulafi Ugonjwa wa kisukari mellitus,Ugonjwa wa hyperlipidemia (Magonjwa ya ini ya mafuta)
Magonjwa ya maumbile, k**a vile ugonjwa wa Wilson na hemochromatosis.
Ikiwa haijatibiwa, yote hapo juu yanaweza kusababisha Cirrhosis ya ini na HCC, kwa hivyo matibabu ya mapema yanaweza kuzuia ukali wa hali hiyoDalili za ugonjwa wa Ini
Hakuna dalili nyingi za ugonjwa wa ini. Dalili zinazoonekana katika hali hii ni:

Macho na ngozi inayoonekana kuwa ya manjano (umanjano)
uvimbe na maumivu ndani ya tumbo
Edema kwenye vidole na miguu
Kuwasha ngozi
Mkojo wa rangi nyeusi
Kinyesi cha rangi nyepesi
Uchovu wa muda mrefu
Kichefuchefu au Kuhara
Kupunguza hamuMambo hatari
Hatari ya kupata shida ya ini huongezeka katika hali zifuatazo:

Kunywa sana
Ugonjwa wa sukari (aina 2)
Kushiriki sindano zilizoambukizwa
Uhamisho wa damu
Mfiduo wa maji ya mwili na damu ya watu walioambukizwa
Mfiduo wa vitu fulani vya asidi
Urithi wa ugonjwa wa ini

K**a unadalili hizii hakikishabunawai tatizo lako mapema ili kupata huduma yatiba mapema kwakua inaweza kusababisha mambo yafuatayo

1)kifo
2)kansa
Wasiliana nasi kupitia namba 0692176552 kupata maelezo zaidi pamoja na tiba sahii

Ni Raha sana kuwa mama❤️Mwanamke k**a hupati ujauzito Jiulize maswali haya…….?⚠️Je, mzunguko wa siku zako upo vizuri?⚠️j...
11/04/2024

Ni Raha sana kuwa mama❤️

Mwanamke k**a hupati ujauzito Jiulize maswali haya…….?

⚠️Je, mzunguko wa siku zako upo vizuri?

⚠️je, unapata maumivu makali sana ya tumbo wakati wa hedhi?

⚠️Je Unatumia Uzazi wa Mpango au umeathilika na matumizi ya njia za uzazi wa mpango.

⚠️Je, una uvimbe kwenye kizazi?

⚠️Je, unapata maumivu ya tumbo chini ya kitovu upande wa kulia na kushoto?

⚠️Je, unatokwa na uchafu wa aina yeyote ile ukeni?

⚠️Je, unapata siku zako vile inavyotakiwa? Yaani mzunguko wa siku zako upo sawa?

⚠️Je, unapata maumivu wakati wa tendo la ndoa?

⚠️Je, unapata ukavu wakati wa tendo la ndoa?

⚠️Je unakosa hisia za tendo la ndoa?

⚠️Je, huwa unapata ute wa uzazi siku za hatari (ovulation days)?

⚠️Je, ulishawahi kutoa ujauzito?

⚠️Je, umeshawahi kuugua P.I.D (mashambulizi ya bakteria kwenye kizazi)?

K**a jibu ni ndio kwa sababu moja wapo tajwa hapo juu basi hiyo ndiyo Sababu inayokuzuia kupata ujauzito.

Tunayo Program Maalumu itakayo kusaidia kupona kabisa changamoto yako.

Katina program yetu Utapata Virutubisho lishe vetu (Tiba Yetu)

Pia utakuwa chini ya uangalizi wetu na tutakufuatilia katika kila hatua baada ya kuanza Program hadi ugakapo pata matokeo.

K**a Upo tayali na unahitaji Program yetu Coment neno NAHITAJI PROGRAM

Piga simu 0692176552

Usichukulie poa wala kuvumilia maumivu makali wakati wa hedh huwa yanaashiria kuwa kuna kitu hakiko sawa.Chukua tahadhar...
11/04/2024

Usichukulie poa wala kuvumilia maumivu makali wakati wa hedh huwa yanaashiria kuwa kuna kitu hakiko sawa.

Chukua tahadhari kwani huashiria changamoto nyingi katika mfumo wa uzazi k**a vile:

1. Kuvurugika kwa homoni za uzazi ( hormonal imbalance)

2. Vimbe maji kwenye vifuko vya mayai ( ovarian cyst)

3. Uvimbe kwenye kuta za kizazi.

4. Chango la Uzazi (hii huwasumbua wanawake 8 kati ya 10).

Hali hii huchangia sana mwanamke kutokupata ujauzito kwa wakati.

Kubaini k**a kuna uvimbe maji yaani ovarian cyst au vimbe kwenye kizazi ni lazima kupima kipimo cha Ultrasound sababu dalili zingine huweza kufanana na dalili za tatizo jingine hivo kupitia kupima unakuwa na uhakika wa kinachosumbua.

NYONGEZA👉 Kuhusu chango la Uzazi huwa halina kipimo hivo hubainika kulingana na dalili zake.

Chango la uzazi ni maumivu ya nyonga, kiuno, mgongo, chini ya kitovu, wengine hutokea mguu mmoja na baada ya mda linahamia mguu mwingine, na wengine kwenye makalio.

Yaweza kuwa kabla ya period, wakati wa period au hata baada ya period.

Wengine hucheza tumboni k**a mtoto. Hali hii huzuia mimba na ikitokea umebeba mimba halijapona mimba huharibika ndani ya miezi mitatu.🥲🤦‍♂️😪

Baada ya kubaini kinachokusumbua basi tibu chanzo utakuwa poa.🥰

Matatizo ya nguvu za kiume yamekuwa changamoto sana kwa Wanaume wengi sana ila Kwa sasa Tiba imepatikana lazima mwanaume...
11/04/2024

Matatizo ya nguvu za kiume yamekuwa changamoto sana kwa Wanaume wengi sana ila Kwa sasa Tiba imepatikana lazima mwanaume aitwe mwanaume nipigie sm sasa hivi kwa ofa hii ya vipimo bure na dawa kutoka internal international hospital 0692176552

Nipigie sm sasa hivi 0692176552
05/04/2024

Nipigie sm sasa hivi 0692176552

Changamoto hii wanawake wengi wanaichukulia kawaida Tafadhali fika hospital kwetu upate vipimo vya matibabu bure leo usi...
05/04/2024

Changamoto hii wanawake wengi wanaichukulia kawaida Tafadhali fika hospital kwetu upate vipimo vya matibabu bure leo usisite kunipigia sm wengi nimewasaidia na wamekuwa shuhuda 0692 176 552

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255692176552

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KITUO TIBA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to KITUO TIBA:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram