Suluhisho La Magonjwa Sugu

Suluhisho La Magonjwa Sugu Karibu Kwenye Ukurasa Huu Kupata Suluhisho La Magonjwa Sugu Yasioambukizwa.

Kwa watoto wenye umri chini ya mwaka mmoja kwa kuwa mfumo wao wa kinga, pamoja na ule wa chakula huwa haujakomaa vizuri ...
18/01/2024

Kwa watoto wenye umri chini ya mwaka mmoja kwa kuwa mfumo wao wa kinga, pamoja na ule wa chakula huwa haujakomaa vizuri haishauriwi kulambishwa asali mara kwa mara.

Asali huwa na uwezekano mkubwa wa kubeba bakteria wabaya jamii ya Clostridium botulinum ambao kwa umri huo, mtoto huwa hawezi kuwaharibu akiwala.

Husababisha tatizo hatari lisilo onekana mara kwa mara linaloitwa Infant botulism ambalo huwa na dalili za choo kigumu, kuweweseka, kifafa, changamoto za kupumua na hatimaye kifo ikiwa msaada wa haraka hautatolewa.

HONGERA KWA MWAKA MPYA! 2024 PASIPO CHANGAMOTO ZA KIAFYA INAWEZEKANA...! Hakuna aliyeumbwa ili kuteseka na changamoto za...
08/01/2024

HONGERA KWA MWAKA MPYA! 2024 PASIPO CHANGAMOTO ZA KIAFYA INAWEZEKANA...!

Hakuna aliyeumbwa ili kuteseka na changamoto za kiafya, na ndio maana kwa kutambua hilo taasisi ya Afya ya Gcat Health Clinic imeweka punguzo la vipimo vya mwili mzima (full body checkup) kwa wewe mwenye changamoto ya afya.....

Kwa Thamani Ya Tsh 20,000 Tu

(Elfu Ishirini Tu)

Gcat health clinic ina madaktari bingwa wanaotoa suluhisho la maradhi sugu yote.....

Huduma zinazojumuishwa ni pamoja na uchunguzi wa;

✨Mfumo wa mishipa ya damu, moyo na ubongo
✨Mfumo wa maradhi ya mifupa
✨Mfumo wa mmeng'enyo na uyeyushaji wa Chakula
✨Afya ya ngozi na maradhi ya ngozi
✨Afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake
✨Mfumo wa fahamu, jicho na maradhi ya macho
✨Mfumo wa upumuaji
✨Afya ya Kinywa na meno
✨Kisukari
✨Saratani/kansa
✨Shinikizo la damu/Presha
✨Tezi dume
✨Bawasiri
✨Ugonjwa wa kutetemeka
✨Fangas, U.T.I, P.I.D
✨Matatizo ya bandama
✨Kiharusi na matatizo ya moyo
✨Sikio na maradhi sugu mengineyo

Ili uweze kupata huduma hizi weka miadi ya kufanya vipimo hivyo kwa namba hizi hapa chini;

0620657127

Vituo vya Afya vya Gcat Health Clinic vinapatikana kwenye zaidi ya mikoa 15 Tanzania.

Sisi ni daraja la uponyaji wa afya yako. Tunaithamini sana afya yako kwani ndio msingi wa kuishi maisha ya furaha.

SABABU 10 ZA MAUMIVU YA KIUNO, NYONGA,CHINI YA KITOVU KWA MWANAMKE.🍊Matatizo kwenye mfumo wa kizazi.🍊Vivimbe kwenye kuta...
08/01/2024

SABABU 10 ZA MAUMIVU YA KIUNO, NYONGA,CHINI YA KITOVU KWA MWANAMKE.

🍊Matatizo kwenye mfumo wa kizazi.

🍊Vivimbe kwenye kuta za tumbo la uzazi.

🍊Hali ya tishu zinazoota ndani ya ukuta wa uzazi(endometriosis) au kuota nje ya ukuta wa mji wa uzazi.

🍊Maumivu wakati wa hedhi ambayo hutokana na vivimbe katika kuta za tumbo la uzazi.

🍊Mimba kutunga nje ya kizazi(ectopic pregnancy)

🍊Maumivu yanayotokea upande mmoja chini ya kitovu katikati ya mzunguko wa hedhi yaani siku ya 14.

🍊Saratani kwenye mfuko wa mayai.

🍊Maambukizi kwenye mfumo wa uzazi ambayo hutokana na bakteria wanaosababisha kisonono, na klamidia.
Watu wengi wamekua wakipatwa na magonjwa haya pale wanapojaribu kupata ujauzito bila mafanikio(ugumba) au wanaposumbiliwa kwa mda mrefu na maumivu ya kiuno.

🍊Vivimbe kwenye kuta za kizazi(uterine fibroids) ambavyo hutokana na mvurugiko wa homoni ama kurithi kwa vinasaba.

🍊Maumivu kwenye via vya uzazi ambayo husababishwa kushindwa kishiriki tendo la ndoa mda mrefu ama kishidwa kukaa kwa muda mrefu.

K**a unapitia changamoto hizi wasiliana nasi sasahivi kwa suluhisho la kudumu

Gcat Health Clinic
0620657127

MAUMIVU YA KIUNO NA MGONGOWatu wengi huchukulia tatizo la maumivu ya mgongo na kiuno k**a jambo la kawaida na hawafahamu...
08/01/2024

MAUMIVU YA KIUNO NA MGONGO

Watu wengi huchukulia tatizo la maumivu ya mgongo na kiuno k**a jambo la kawaida na hawafahamu kuwa linaweza kupelekea matatizo makubwa katika mwili.

Maumivu haya ni ile hali ya kuhisi maumivu au kutojiskia vizuri/kawaida katika misuli au mifupa ya mgongo wako (eneo lililopo kati ya kiuno na shingo).

Maumivu haya sio ya kawaida, usipochukua hatua mapema tatizo linaweza kuwa kubwa zaidi. Fika kwenye vituo vyetu vya afya k**a una changamoto hii kwa suluhisho la kudumu

Address

Majumbasita
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Suluhisho La Magonjwa Sugu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram