FREDY health CARE

  • Home
  • FREDY health CARE

FREDY health CARE Vipimo,matibabu na ushauri

12/04/2024
12/04/2024

Kwa matatizo ya mgongo, joint na miguu hizi ndio suluhisho 👇





12/04/2024

IFAHAMU SOYA/ SOY KWA AFYA YA UZAZI
Sishangai unaweza ukawa hulijui kabisa hili zao. Lakini limeonekana kuwa k**a ni zao la maajabu kutokana na linavyofanya kazi na kutatua matatizo kadha wa kadha katika mwili wa binadamu.

Tafiti nyingi zimeonyesha juu ya umuhimu wa soya katika mwili, huku mwili wa mwanamke ukimulikwa zaidi.

Soya huwa na muunganiko wa vitu ambavyo hufanana na estrogen ambacho ni kichocheo muhimu katika mwili wa mwanamke.

Soya ina ina vitu k**a homoni viitwavyo isoflavones( genisein na daidzein)

Vyote hivyo vina umuhimu sana katika mwili wa mwanamke.

Tafiti zinaonyesha kwamba wanawake waishio barani Asia ambako kuna upatikanaji wa hili zao, huepuka matatizo mengi sana kiafya ukilinganisha na wale waishio pale upatikanaji wa hili zao ni mdogo.

Kiafya, soya yenye isoflavones hutatua matatizo yatokanayo na vichocheo ( hormone related disorders)
~Saratani ya t**i
~Uvimbe katika mfuko wa mimba
~kuwa na hedhi isiyoeleweka ama inayochukua muda mrefu.

Lakini si kwa wanawake tu, pia kwa wanaume imeonekana kuwa na kazi muhimu kiafya juu ya matatizo yatokanayo na vichocheo.

Pia fahamu kazi kuu za soya katika mwili.
1.Inamkinga mwanamke aliyefikia ukomo wa hedhi kupata kansa ya t**i.
Genistein katika soya huzuia protein iitwayo tyrosine kinase, hiki ni kimeng'enya (enzyme) ambacho huchochea ukuaji wa seli za saratani.
Kaa ukijua kwamba mwanamke aliyekaribia ama yuko kwenye ukomo wa hedhi huwa yuko hatarini kupatwa na saratani ikiwemo ya t**i.

2. Inaondoa dalili za ukomo wa heath, k**a damu kutoka kwa wingi, vichomi, maumivu makali n.k

3.Inakinga juu ya magonjwa ya moyo.
Hii ni kwa sababu, huondoa mafuta mabaya mwilini(lower density lipoproteins) na huongeza mafuta mazuri ( high density lipoproteins).
Pia huzuia kuvunjwa vunjwa kwa LDH ambayo inaweza kuziba mishipa ya ateri.

4. Huzuia tezi dume.
Hili ni tatizo linalotokana na umri ambapo ni dhahiri huwa kuna upungufu wa homoni unaosababisha prostate ikue kuliko kawaida.

5.Matatizo katika pingili za mgongo hasa sehemu ya kiuno, ambapo mwanamke huwa na maumivu yasiyo na kikomo, hivyo soya ni suluhisho.

6. Huondoa mafuta mabaya katika mwili, inapunguza uzee na kuimarisha nyama za ukeni.
7.Huongeza hamu ya tendo la ndoa

8.Pia ina mchango katika kuzuia magonjwa ya figo, kusaidia mmeng'enyo wa sukari aina ya lactose, galactose, kwa walio na galactosemia.

Kutokana na mazingira yetu imekuwa ni changamoto katika kupata zao hili.

Sisi tumekuletea tiba kutokana na matatizo hayo.
Tuna capsules/ vidonge ambovyo vina wingi wa soy kwa ajili ya tiba na kinga.
Kwa dozi ya mwezi mmoja 75,000 Tzs
Unaweza kuwasiliana nasi kwa
0787071816

12/04/2024

SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI.

Saratani ya mlango wa kizazi inaongoza miongoni mwa vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanawake nchini Tanzania.

NINI MAANA YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI

Hii ni aina ya saratani inayoshambulia chembechembe hai zilizopo kwenye mlango wa kizazi (cervix)

JE HUSABABISHWA NA NINI?

Saratani ya mlango wa kizazi husababishwa na virusi vya PAPILOMA vinavyojulikana:
HUMAN PAPILOMA VIRUS (HPV) ambavyo huambukizwa kwa njia ya ngono.

VISABABISHI VYA KUPATA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI

1. Kuanza ngono katika umri mdogo
2. Kufanya ngono na wapenzi wengi au mtu mwenye wapenzi wengi.
3. Uvutaji wa sigara, tumbaku au ugoro.
4. Historia ya kubeba mimba nyingi
5. Kubeba mimba katika umri mdogo
6. Wenye virusi vya UKIMWI

DALILI ZA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI

1. Kutokwa na damu baada ya kujamiiana
2. Kutokwa na uchafu ukeni
3. Kutokwa na majimaji yenye harufu mbaya ukeni
4. Kutokwa na usaha ukeni
5. Kutokwa na damu ukeni isiyo ya hedhi
6. Maumivu ya kiuno
7. Maumivu ya tumbo chini ya kitovu.

NINI KIFANYIKE KUJIKINGA

1. Kupata chanjo dhidi ya virusi vya Papiloma(HPV)
2. Kepuka ngono katika umri mdogo
3. Kufanyiwa uchunguzi wa mlango wa kizazi
4. Kuwa na mwenzi mmoja mwaminifu
5. Kuepuka uvutaji wa sigara
6. Kuepuka kubeba mimba katika umri mdogo au kubeba mimba zaidi ya 5

JE SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI INAZUILIKA?

Jibu ni NDIYO.
Saratani ya mlango wa kizazi inazuilika iwapo uchunguzi utafanyika mapema ili kubaini mabadiliko ya awali ya saratani.

Mabadiliko hayo yakitibiwa mapema, unaweza kukinga saratani ya mlango wa kizazi.

Mabadiliko hayo yanatibika kwa njia ya ugandishaji na upasuaji mdogo kwenye sehemu husika.

KUMBUKA
Saratani ya mlango wa kizazi inazuilika. Tushirikiane kuitokomeza.

AMUA NA FANYA UCHUNGUZI MAPEMA

09/04/2024
 Kwa watu wote wenye changamoto mbalimbali kiafya tutakuwa na Ofa ya Vipimo na MatibabuShirika la Afya kutoka CHINA/ ETE...
05/04/2024


Kwa watu wote wenye changamoto mbalimbali kiafya tutakuwa na Ofa ya Vipimo na Matibabu

Shirika la Afya kutoka CHINA/ ETERNAL HOSPITAL, Imeanza kutoa Ofa kwa wagonjwa wote wanao fika katika vituo vyake vyote, na Ofa hii niya👇👇
▪️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni Tshs 20,000/= tu
▪️ Punguzo la bei 20% kwa kila dawa( bidhaa zetu )

Magonjwa tunayo tibu ni;
🚑 🔹Presha, 🔹Matatizo ya Moyo na INI
🔹Kansa, 🔹Vidonda vya Tumbo,
🔹Kisukari 🔹Pumu
🔹Stroku. 🔹Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
🔹Matatizo ya mifupa, 🔹Matatizo ya miguu
🔹Ngozi, 🔹Figo, 🔹Fangasi sugu
🔹Kupunguza unene, uzito, na matumbo
🔹Kuongeza kinga mwilini(CD4)
🔹U.T.I sugu, 🔹Gesi
🔹Bawasiri, 🔹Tenzi dume
🔹Heshima ya ndoa kwa kina baba. N.k

TIBA ZETU NI TIBALISHE NA VIRUTUBISHO.
Ambavyo hufanya kazi kuu nne ( 4 ) mwili
👉 Kuosha
👉 Kulinda/ Kukinga
👉 Kujenga
👉 Kutibu

Karibu sana Upate huduma yetu msimu huu wa Ofa. Tupo Dar es salaam Majumba sita Airport na Mikoani pia tunapatikana

Wasiliana nasi kwa simu no 0747924740
au gusa link hapo chini,
https://wa.me/message/4JELQG3LC52TB1

Address

Majumba

Telephone

+255747924740

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FREDY health CARE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram