
03/05/2024
PUMU YA NGOZI
PUMU YA NGOZI
slideshow_9
Ni matumaini yangu humzima wa afya ndugu msomaji wa makala hii ya Afya.Kupitia makala hii acha tujikumbushe ugonjwa wa ngozi unaojulikana kwa jina la PUMU YA NGOZI…
Ugonjwa wa pumu ya ngozi au kwa kitaalamu unaitwa ATOPIC DERMATITIS au waengereza huuita ECZEMA huathiri asilimia 35% ya watoto. Ni miongoni mwa magonjwa ya kijenetiki (genetic disease) ambao mtu huruthi kutoka kwa wazee wake….ugonjwa huu huja na kuondoka na mara nyingi hupotea baada ya mtoto kukua japo mda mwengine huanzia ukubwani…
Ugonjwa wa pumu ya ngozi mara nyingi huambatana na magonjwa mengine matatu (atopy) ambayo ni pumu yenyewe (asthma), mafua na kutoka machozi (hay fever), na allergy…na hii ni kutoka na magonjwa yote haya yana share gene moja.
UNAIPATAJE PUMU YA NGOZI (ECZEMA)?
K**a nilvotangulia kusema kuwa ugonjwa huu ni wa kurithi ambao hutokana na mutation ktk PHELAGRIN GENES ambayo ni moja ya gene zinazohucka na utengezaji wa protein (hamirojo) inayohucka na ufanyikaji wa kereatinocyte n