mshauri wa afya na tiba

mshauri wa afya na tiba karibu

Uliza swali lolote kuhusu Afya nitakujibu leoi
28/11/2025

Uliza swali lolote kuhusu Afya nitakujibu leoi

Karibu Kwa kupata ushauri wa kitaalam na matibabu
27/11/2025

Karibu Kwa kupata ushauri wa kitaalam na matibabu

🌞 Swali la SikuUnapopatwa na maumivu ya kiungulia au tumbo kujaa gesi, ni chakula au kinywaji gani huwa kinakuwa chanzo ...
02/07/2025

🌞 Swali la Siku

Unapopatwa na maumivu ya kiungulia au tumbo kujaa gesi, ni chakula au kinywaji gani huwa kinakuwa chanzo mara nyingi?

👉 Usiogope kushare jambo hili andika majina ya vyakula au vinywaji vinavyokusumbua zaidi.

(Hii itatusaidia kujifunza pamoja na kusaidiana.)

NTIDIAR ni dawa ya asili inayotumika sana kutibu matatizo ya mfumo wa chakula, hasa kuharisha na maambukizi ya bakteria ...
23/06/2025

NTIDIAR ni dawa ya asili inayotumika sana kutibu matatizo ya mfumo wa chakula, hasa kuharisha na maambukizi ya bakteria tumboni. Ingawa haitengenezwi mahsusi kwa ajili ya kuondoa acid au vidonda vya tumbo, ina baadhi ya faida ambazo zinaweza kusaidia kwa hali hizo pia. Zifuatazo ni faida zake kwa acid na vidonda vya tumbo:

âś… Faida za NTIDIAR kwenye acid na vidonda vya tumbo

1. Kupunguza usumbufu wa tumbo (gastritis)
NTIDIAR ina viambato vya mimea vyenye uwezo wa kupunguza muwasho na uvimbe kwenye ukuta wa tumbo, hivyo kupunguza maumivu yanayotokana na acid nyingi au vidonda.

2. Kuzuia ukuaji wa bakteria wanaosababisha vidonda na kutokomeza kabisa
Bakteria k**a Helicobacter pylori ni miongoni mwa vyanzo vikuu vya vidonda vya tumbo. NTIDIAR huweza kusaidia kuzuia au kuangamiza bakteria hawa kwa njia ya asili.

3. Kusaidia uponyaji wa kuta za tumbo
Viambato vya mimea katika NTIDIAR vina sifa ya kusaidia ukarabati wa tishu zilizoharibika tumboni, hivyo kusaidia kuponya vidonda vya tumbo.

4. Kupunguza asidi tumboni kwa njia ya kudhibiti mazingira
NTIDIAR husaidia kwa njia ya kuleta utulivu wa kimazingira tumboni ili acid isiendelee kuharibu ukuta wa tumbo.

5. Kurekebisha mfumo wa usagaji chakula
Kwa kusaidia usagaji mzuri wa chakula na kudhibiti kuharisha, NTIDIAR huondoa msongo wa tumbo ambao unaweza kuongeza kiwango cha acid au kuzuia vidonda kupona.

Tupigie kwa namba 0787611071 kuagiza dawa pamoja nasi au fika moja kwamoja ofisini kwetu kwa msaada zaidi
https://wa.me/message/ZBWFDB4YTUI6E1

Hepatitis B ni ugonjwa unaoshambulia ini. Unasababishwa na virusi vinavyoitwa HBV. Mtu anaweza kupata virusi hivi kwa nj...
12/06/2025

Hepatitis B ni ugonjwa unaoshambulia ini. Unasababishwa na virusi vinavyoitwa HBV. Mtu anaweza kupata virusi hivi kwa njia ya damu, ngono bila kinga, au mtoto kuzaliwa na mama mwenye virusi hivi.

Watu wengi hawajui k**a wana virusi kwa sababu wakati mwingine hakuna dalili. Wengine hupata homa, uchovu, tumbo kuuma, au macho na ngozi kuwa ya manjano.

Unaweza kujikinga kwa kuchanjwa, kuepuka kushiriki vitu vyenye damu k**a wembe au sindano, na kutumia kondomu wakati wa ngono.

Hatua ndogo ndogo hadi kufikia utimamu wa mwili kabisa
10/06/2025

Hatua ndogo ndogo hadi kufikia utimamu wa mwili kabisa

Kwa wale waliokuwa wakisumbuliwa na matatizo ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula hii nimoja ya dawa itakayokusaidia sana k...
30/05/2025

Kwa wale waliokuwa wakisumbuliwa na matatizo ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula hii nimoja ya dawa itakayokusaidia sana kutatua tatizo hilo, kutibu VIDONDA VYA TUMBO, ACIDI REFLUX NA MATATIZO YA KUKOSA CHOO AU KUPATA CHOO KIGUMU

wasiliana nasi kupitia namba 0787611071 kupata matibabu sahii kwa siku 5 pekee

https://selar.com/7t1kg1Gusa link đź”— hapo juu kupata kitabu kitakacho kusaidia kujua namna ya kuondoa sumu mwilini kupiti...
28/05/2025

https://selar.com/7t1kg1

Gusa link đź”— hapo juu kupata kitabu kitakacho kusaidia kujua namna ya kuondoa sumu mwilini kupitia chakuka na matunda ukiwa nyumbani,
HIII NI MUHIMU SANA KWA MTU ANAETAKA KUONDOA SUMU MWILINI WALE WENYE MATATIZO YA FIGO AU INI NA WANAOTAKA KUSAFISHA MWILI WAKIWA NYUMBANI KWA MATINDA NA MBOGA

Rejesha Afya Yako Asili – Safisha Mwili Kwa Matunda na Mboga!Unakosa nguvu? Unasumbuliwa na chunusi, tumbo kujaa gesi, au uchovu usioisha? Hii inaweza kuwa ishara ya sumu mwilini. Kitabu hiki ni silaha yako ya siri ya kurejesha afya, mwangaza wa ngozi, na nguvu ya mwili kwa kutumia matunda na mbog...

Ukweli ni kwamba kile mtu anachokula kina mchango mkubwa sana kwenye hali yake ya afya. Methali maarufu isemayo “Wewe ni...
24/05/2025

Ukweli ni kwamba kile mtu anachokula kina mchango mkubwa sana kwenye hali yake ya afya. Methali maarufu isemayo “Wewe ni kile unachokula” ina maana ya kina katika uhalisia wa afya ya binadamu. Hapa kuna mambo muhimu kuelewa kuhusu uhusiano kati ya chakula na afya:

1. Chakula ni chanzo cha nguvu na uhai

Mwili unahitaji virutubisho kutoka kwenye chakula ili uweze kufanya kazi zake vizuri – k**a vile kupumua, kusaga chakula, kupigana na magonjwa, na kujenga seli mpya. Lishe duni huathiri moja kwa moja uwezo wa mwili kufanya kazi hizi.

2. Lishe bora huzuia magonjwa

Kula matunda, mboga mboga, nafaka zisizokobolewa, protini nzuri, na mafuta yenye afya kunaweza kusaidia kuzuia magonjwa k**a vile:

Kisukari

Shinikizo la damu

Magonjwa ya moyo

Saratani fulani

Magonjwa ya ngozi na figo

3. Chakula kibaya huongeza sumu mwilini

Vyakula vilivyosindikwa sana (processed foods), vyenye sukari nyingi, mafuta mabaya (trans fats), au kemikali nyingi huchangia uchafu mwilini na kuathiri viungo k**a ini, figo, na ngozi. Hii huleta matatizo ya kiafya k**a upele, uchovu sugu, maumivu ya kichwa, na zaidi.

4. Chakula huathiri akili na hisia

Lishe isiyo na virutubisho sahihi k**a Omega-3, vitamini B na madini k**a magnesium, inaweza kusababisha msongo wa mawazo, wasiwasi, au hata kushuka kwa akili (depression).

Afya ya mtu inaakisi kile anachoweka mwilini kila siku kupitia chakula. Kula vizuri ni k**a kuwekeza kwenye afya njema ya sasa na ya baadaye.

22/05/2025

watu wengi tumekuwa tukiona ni k**a mungu ametuacha pale ambapo tunakutwa magonjwa mbalimbali
ukweli naamini ugonjwa haujawai kuwa mdogo lwasababu huwa maumivu nimakali kwa kila ugonjwa , na hapa huwa tunahisi mungu ametusahau au kutuacha , ila ukweli ni kwamba mungu bado hajatuacha isipokuwa kwa wakati ambao alitupa afya bora sisi hatukuwa tayari kuitunza na mwisho tumeangukia kwenye magonjwaa makubwa nanya namna mbalimbali

K**A WEWE NIMOJA YA WACHACHE WANAOPENDA KUJENGA NA KUIMARISHA AFYA ZAO GUSA LINK HII APA CHINI KWAAJILI YA KUPATA MWONGOZO WA KUJENGA NA KUBORESHA AFYA YAKO👇👇

https://40gmail.com?secret=znvdylulod6hf4rdiby526wj&issuer=Stripe

Address

Mwenge
Dar Es Salaam
124

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when mshauri wa afya na tiba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram