
19/02/2024
Unapohitaji kufanya kipimo cha ubora wa mbegu zako, zinatakiwa ziwe hivi:
•Ujazo wa mbegu (30+ Millions)
•Mijongeo iwe vizuri (Normal Motility)
•Maumbo mazuri
(Morphology - good)
•Rangi ya mawingu
(Cloudy in colour)
•Uzito mzuri
(Viscosity - Good)