SAMBA Sports Tanzania

SAMBA Sports Tanzania Kwa Burudani na Michezo tunakupa taarifa sahihi na zilizochambuliwa kwa kina.

Sema hii nchi tumepitia Mengi sana๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
02/05/2026

Sema hii nchi tumepitia Mengi sana๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

๐Ÿšจ JUST INAnicet Oura kaumia tena mazoezini hatokuwa sehemu ya mchezo wa kariakoo derby 03 mayInasemekana Oura ana injury...
02/05/2026

๐Ÿšจ JUST IN

Anicet Oura kaumia tena mazoezini hatokuwa sehemu ya mchezo wa kariakoo derby 03 may

Inasemekana Oura ana injury za mara kwa mara zisizotibika timu yake ya zamani ilimuacha kwasababu hiyo Simba walimsajili akiwa na injury amekaa nayo ndani ya miezi 4 sasa inamsumbua

๐Ÿšจ UPDATE:Simba Sc imefikia makubaliano na winga wa TRA UTD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Ramadhan Salum Ramadhan maarufu k**a Chobwedo kwaajili ya ...
13/04/2026

๐Ÿšจ UPDATE:

Simba Sc imefikia makubaliano na winga wa TRA UTD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Ramadhan Salum Ramadhan maarufu k**a Chobwedo kwaajili ya kuitumikia klabu hiyo msimu ujao.

โžก๏ธ Pre-Contract already signed (two years)

Confirmed: Ataondoka TRA mwishoni mwa msimu huu.

๐Ÿšจ RAMADHAN CHOBWEDO STATSMatch played 18Goals 0Assists 0Goals involments 0Ukiachana na siasa za mpira wa bongo hamna mch...
11/04/2026

๐Ÿšจ RAMADHAN CHOBWEDO STATS

Match played 18
Goals 0
Assists 0
Goals involments 0

Ukiachana na siasa za mpira wa bongo hamna mchezaji hapa๐Ÿšฎ Very wrong singning for Simba Sc

08/04/2026

Simba walishikwa bega hapa.

08/04/2026

Kuna watu wana ugonjwa wa kusahau humu. Kabla hujasema Pamba vibonde.
Tuwaangalie Gongowazi walivyokula 5G a.k.a Kono la nyani๐Ÿ–. Simba aloshikwa bega hapa ๐Ÿ˜‚

Hawa ni watu 10 wa nguvu kwa wiki hii walioshiriki na kuchangia mada mbalimbali katika page hii.  Tunasema Ahasanteni sa...
08/04/2026

Hawa ni watu 10 wa nguvu kwa wiki hii walioshiriki na kuchangia mada mbalimbali katika page hii. Tunasema Ahasanteni sana kwa kuwa pamoja nasi.
๐ŸŽ‰ Anju Mwatujobe, Bakari Salehe, Sady Bin Seif, Ibrahim Amri, Baraka Mitundwa, Ayubu Mathias Nundi, Jovine Kalema, Ngayama Matongo, Kikusa Shomari, Amos Alphonce

๐Ÿšจ MAX NZINGELI KWA MASHABIKI WA PAMBA WA KUKODI! โ€œKuna mchezaji wa Pamba jiji kabla ya mechi alitupa onyo kuwa tujipange...
08/04/2026

๐Ÿšจ MAX NZINGELI KWA MASHABIKI WA PAMBA WA KUKODI!

โ€œKuna mchezaji wa Pamba jiji kabla ya mechi alitupa onyo kuwa tujipange, uenda asingesema tungewapa sare. Walijua labda sisi ni Simba, tumewapa wanachostahili!โ€

Anaitwa Allan Andrรฉs Okello Iniesta ๐Ÿ”ฅKwani Gueye ana Assist ngapi huko? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
08/04/2026

Anaitwa Allan Andrรฉs Okello Iniesta ๐Ÿ”ฅ

Kwani Gueye ana Assist ngapi huko? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

05/04/2026

Arajiga anasema hakuna foul... Vipi wewe unaonaje hapa?

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SAMBA Sports Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to SAMBA Sports Tanzania:

Share