ishi afya clinic

ishi afya clinic Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ishi afya clinic, Medical and health, makamba Road, Dar es Salaam.

*SABABU ZA MWANAMKE KUTOKUSHIKA MIMBA (INFERTILITY)*Kwa kawaida mwanamke anatakiwa apate ujauzito ndani ya mwaka mmoja b...
27/01/2024

*SABABU ZA MWANAMKE KUTOKUSHIKA MIMBA (INFERTILITY)*

Kwa kawaida mwanamke anatakiwa apate ujauzito ndani ya mwaka mmoja baada tu ya kuolewa au kuanza uhusiano. Tunategemea baada ya miaka miwili hadi mitatu baada ya kupata mtoto apate mwingine labda k**a hajaamua yeye pamoja na mumewe. Ujauzito unapatikana baada ya kufanya tendo la ndoa kwa ukamilifu, yaani katika kipindi ambacho mwanamke anaweza kupata ujauzito (siku za hatari).

Swala hili pia linaangalia kwa upande wa pili wa mwanaume ambaye pia tunategemea ana uwezo huo wa kumpa mwanamke mimba kwa kuwa na mbegu zenye ubora na nyingi, pia awe na nguvu za kutosha za kufanya tendo ili mwezi wake apate ujauzito. (Kuhusu mwanaume tayari somo lake).

*ZIPO AINA MBILI ZA KUTOSHIKA MIMBA (INFERTILITY)*

1. *AINA YA KWANZA (PRIMARY INFERTILITY)*

Hii ni kwa wale ambao mke na mume hawakuwai kubahatika kupata mtoto hata mmoja tangu waoane au wawe kwenye mahusiano ili hali wanakutana kimwili bila kutumia kinga yoyote Ile.

2. *AINA YA PILI (SECONDARY INFERTILITY)*
Hii ni kwa wale ambao mke na mume walishazaa mara moja Lakini hawafanikiwi kupata mtoto mwingine ili hali wanakutana kimwili bila kutumia kinga yoyote.

Vitu vinavyosababisha mwanamke kushindwa kupata mimba ni:-
1.Kutokuwa na uwiano mzuri wa homoni (Hormonal Imbalance)
2.Ovaries kushindwa kutoa mayai
3.Kuziba kwa mirija ya uzazi
4.Mirija ya uzazi kujaa maji
5.Uvimbe katika kizazi (uterine fibroid)
6. Magonjwa k**a vile PID, kisonono kisukari nk
7.Kuwa na msongo wa mawazo
8.Utoaji wa mimba (Abortion)
9.kuwa na uzito kupita kiasi (over-weight)
10.Matumizi ya pombe, bangi, sigara, ulevi kupindukia
11.Matumizi ya madawa
12.Endometriosis:-Hii ni hali ambayo seli za ndani ya mfuko wa uzazi huanza kuota nje ya fuko hilo au hata sehemu nyingine.

Hizo hapo ni baadhi ya sababu zinazoweza kusababisha mwanamke asipate ujauzito.

*DALILI*

1.Mwanamke anayesumbuliwa na maumivu chini ya tumbo mara kwa mara naye yupo katika hatari hii kwani upo uwezekano wa kuathiri mirija yake ya uzazi na ikaziba kabisa, mzunguko wa hedhi unavurugika na kupoteza hamu ya tendo la ndoa.

2.Wanawake wengine hupata maumivu ya kiuno na tumbo kwa muda mrefu sio dalili nzuri, mati

FAIDA ZA TANGAWIZI-Tangawizi inaweza kukusaidia kuongeza hamu ya kula, kupunguza kichefuchefu, kutapika, kuharisha, kisu...
26/01/2024

FAIDA ZA TANGAWIZI
-Tangawizi inaweza kukusaidia kuongeza hamu ya kula, kupunguza kichefuchefu, kutapika, kuharisha, kisukari, shinikizo la damu, kuongeza msukumo wa damu na kutoa sumu mwilini.
-Kuondoka kwa kunywa tangawizi ni maumivu ya tumbo na gesi tumboni.
-Husaidia uyeyushwaji wa chakula tumboni.
-Husaidia kutuliza au kuondoa kabisa mafua au flu.
-Husaidia kuboresha mmeng'enyo wa chakula tumboni.

What's app 0717381743
-Huthibiti shinikizo la damu.
-Huboresha afya ya kinywa.
-Hukinga matatizo ya ngozi hasa chunusi.
-Husaidia kukuza nywele {kulinda afya ya nywele}.

Ukizingatia mchoro huu utanishukuru na kuepuka dawa za uzazi wa mpango ambazo nimeleta madhara kwa baashi ya wanawake.Zi...
26/01/2024

Ukizingatia mchoro huu utanishukuru na kuepuka dawa za uzazi wa mpango ambazo nimeleta madhara kwa baashi ya wanawake.

Zingatia mfumo huu ni mahususi kwa wanandoa ambao wanataka kupanga uzazi na pia wale wote walioko kwenye mahusiano.

Ukitumia mfumo huu changamoto zote za kupata dalili mbali mbali wakati wa kutumia izazi wa mpango k**a vidonge au sindano pamoja na njiti zote zitakwisha.

Tumia calendar method mfumo mzuri usiokuwa na mambo mengi.Kwa maelezo na ushauli juu ya huduma tunazozitoa wasiliana nasi kwa simu 0717381743

Kumbuka tunatibu magonjwa mbali mbali kwa kutumia tiba za mimea na matunda tunapatikana Arusha mjini maeneo ya round about ya frolida

0717381743


***m




afya clinic

*Matumizi Ya  Karafuu Baada Ya Kumaliza Period*Zingatia Kila Mwezi na Kisha utuletee mrejesho hapa.....        *Maandali...
26/01/2024

*Matumizi Ya Karafuu Baada Ya Kumaliza Period*

Zingatia Kila Mwezi na Kisha utuletee mrejesho hapa.....

*Maandalizi yakeโคต๏ธ*

Chukua karafuu na uzitwange ili kupata unga wake ule laini kabisa......

- Utachukua unga wa karafuu kijiko kimoja kile kijiko cha chai, utatia kwenye kikombe cha maji ya moto au kwenye kikombe cha chai ya moto na kukoroga.

Utakunywa kinywaji hiki asubuhi na usiku kwa siku 3 mpaka 7....

Karafuu ina viambata muhimu vyenye kukusaidia kuondoa majimaji na vivimbe vinavyoziba njia ya mirija.

- Habari njema Kwa wenye matatizo ya Uzazi, huenda unahangaika kupata suluhisho

Usiendeleee kuteseka zaidi, huenda umeambiwa unamatatizo haya..

1: Unamvurugiko wa homoni zako, na inakupelekea ,usipate hamu ya tendo, mayai kutopevuka, Mvurugiko wahedhi n.k.........

2: Je tatizo la Ovarian cyst, na PCOS ndio limeanza ama unadalili?

3:Kizazi kina Maji maji na makovu.

4: Je unadalili za uvimbe, (fibroids)

5: Unasumbuliwa na tatizo la infection Kwa Muda mrefu?

Anza kutumia Unga Wa KARAFU ,

Pia matumizi ya Karafuu yaelekezwe Kwa famili hii itasaidi kuilinda familia Yako Kwa Magonjwa mengi ya kimfumo,

*Mungu Akubariki Na Kukutunza*

By
*Ishi afya clinic* Whatsapp 0717381743.

๐Ÿ”ปMAMBO SITA AMBAYO MWANAMKE AKIWA NAYO NI VIGUMU KUSHIKA UJAUZITO๐Ÿ”ปLeo  nitazungumzia dalili kuu sita ambazo ni viashiria...
26/01/2024

๐Ÿ”ปMAMBO SITA AMBAYO MWANAMKE AKIWA NAYO NI VIGUMU KUSHIKA UJAUZITO๐Ÿ”ป
Leo nitazungumzia dalili kuu sita ambazo ni viashiria vya mwanamke kua mgumba au anaelekea kwenye ugumba(kukosa kupata mtoto).
1๏ธโƒฃ.KUPATA HEDHI INAYOBADILIKA BADILIKA
usione ni kawaida kwa siku zako kutokua na mzunguko wa kawaida ambao mara nyingi ni siku 21 mpaka 35.
Kwa sababu hedhi inayobadilika badilika huashiria kuwa hupevushi mayai kila mwezi. Hali hii inatakiwa kupatiwa ufumbuzi kwa sababu ili uweze kushika ujauzito unahitaji kupevusha yai kila mwezi na sio ili mradi yai bali yai bora linaloweza kurutubishwa.
2๏ธโƒฃ.KUACHA KUONA SKU ZAKO GHAFLA.
K**a hujafikia menopause(kipindi mwanamke anastop kupata hedhi yake ya kawaida kutokana na umri),au sio Mjamzito na hutumiii njia ya uzazi wa mpango zinazosababisha kubadilika kwa hedhi
Ukiona hedhi zako zimekata ghafla maana yake ni kwamba haupevushi mayai ambapo huwezi kubabe ujauzito bila kupevusha yai.
3๏ธโƒฃ.KUTOKWA DAMU NYINGI, NZITO NA YENYE MABONGE K**A VIPANDE VYA MAINI (VINYAMA NYAMA)WAKATI WA HEDHI HUASHIRIA KUWA HORMONE HAZIJABALANCE kutobalance kwa hormone huvuruga uzalishaji wa mayai bora.
4๏ธโƒฃ.MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA YANAYOAMBATA NA UCHAFU MWEUPE MZITO K**A MAZIWA YA MGANDO AMBAYO HUASHIRIA KUNA MATATIZO KATIKA MFUMO WA UZAZI WA MWANAMKE
5๏ธโƒฃ.KUPATA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA TENDO LA NDOA NA MAUMIVU CHINI YA KITOVU
6๏ธโƒฃ.KUKOSA KABISA HAMU YA TENDO LA NDOA PIA KUSIKIA DALILI ZOTE ZA UJAUZITO IKIWA SIO MJAMZITO HUONYESHA KUNA INFECTIONS KATIKA KIZAZI
Hizo ni baadhi ya dalili Mbaya kwa mwanamke ambaye bado hajawahi Kubeba ujauzito, Ni Dalili Mbaya Pia Kwa Mwanamke Ambaye Tayari ana Mtoto/Watoto, ni muhimu sana kupata suluhisho la Changamoto hizo maana zinatibika kabisa na UNAPATA SULUHISHO LA KUDUMU KABISA NA KURUDISHA TABASAMU KATIKA FAMILIA YAKO๐Ÿค

Sasa imekwisha ni tatizo linalowakumba wanawake wengi waliopo kwenye ndoa na ambao hawajaingia kwenye ndoa,chanzo kikubw...
26/01/2024

Sasa imekwisha ni tatizo linalowakumba wanawake wengi waliopo kwenye ndoa na ambao hawajaingia kwenye ndoa,chanzo kikubwa cha furaha katika ndoa ni pamoja na kupata watoto na mgogoro mkubwa ni kukosa watoto suluhisho la tatatizo lako imekwisha karibu tukuhudumie na ufurahie kuitwa mama na kurejesha amani katika ndoa yenu afya kwanza
Tunapatikana Dar es salaam piga no.0717381743
Kwa maelekezo ,matibabu na mahali tunapopatikana karibu wewe pamoja na mwenza wako tukuhudumie!!!!!!

IJUE SIRI HII KABLA HUJAJA WHATSAPP!!Sababu Za Uke Kutoa Harufu Mbaya Ukeni๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐ŸฝZipo sababu nyingi zinazopelekea mw...
26/01/2024

IJUE SIRI HII KABLA HUJAJA WHATSAPP!!
Sababu Za Uke Kutoa Harufu Mbaya Ukeni
๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ
๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ
๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ

Zipo sababu nyingi zinazopelekea mwanamke kutokwa na harufu mbaya ukeni, baadhi ya sababu hizo ni pamoja na;

โœจ๐ŸŒŸ Magonjwa Ya Zinaa (Sexually Transmitted Diseases).
Mfano wa magonjwa ya zinaa ni pamoja na kisonono, kaswende, Trichomoniasis n.k. Magonjwa haya yasipotibiwa kwa wakati hupelekea mwanamke kutoa harufu mbaya ukeni.

โœจ๐ŸŒŸโœจ๐ŸŒŸ Matumizi Mabaya Ya Dawa Za โ€œAntibioticsโ€.
Hutumiaji kiholela wa dawa hizi bila ushauri au maelekezo ya wataaalamu wa afya (daktari) ni mojawapo ya sababu ya mwanamke kutoa harufu mbaya ukeni. Hivyo ni vyema mwanamke akafuata ushauri na maelekezo ya wataalamu wa afya kabla ya kutumia dawa za Antibiotics.

โœจ๐ŸŒŸโœจ๐ŸŒŸโœจ๐ŸŒŸ Kutozingatia Usafi Na Kutokwa Sana Na Jasho.
Ni wazi kwamba uchafu na kuwepo kwa unyevunyevu sehemu za siri huzalisha harufu mbaya.Kisayansi ni kwamba tezi zilizopo ndani ya mwili (Apocrine sweat glands) hutengeneza mafuta kuelekea kwenye maeneo ya mwili.

โœจ๐ŸŒŸโœจ๐ŸŒŸโœจ๐ŸŒŸโœจ๐ŸŒŸ Maambukizi Katika Via Vya Uzazi (Pelvic Inflammatory Disease), (PID) hili ni tatizo linalotokana na magonjwa sugu ya zinaa k**a vile gonorrhea, chlamydia. Hivyo magonjwa ya zinaa ambayo hayakugundulika mapema, tiba hafifu, au uzembe wa kutumia dawa ni chanzo kimojawapo cha mwanamke kutoa harufu mbaya ukeni.

โœจ๐ŸŒŸโœจ๐ŸŒŸโœจ๐ŸŒŸโœจ๐ŸŒŸโœจ๐ŸŒŸ Bacterial Vaginosis.
Kwa kawaida mwili wa binadamu una bakteria wa aina mbili, bakteria rafiki (normal flora) na bakteria adui (pathogens) ambapo ukeni kuna bakteria rafiki kwa kiwango kinachohitajika, bakteria hawa wanapoongezeka na kuvuka mahitaji huwa sio rafiki tena, huanza kushambulia sehemu ya uke na kuruhusu maambukizi ambayo hutoa majimaji yenye harufu mbaya ukeni.

โœจ๐ŸŒŸโœจ๐ŸŒŸโœจ๐ŸŒŸโœจ๐ŸŒŸโœจ๐ŸŒŸโœจ๐ŸŒŸMabadiliko Ya Homoni.
Mabadiliko ya homoni kutokana na mzunguko wa hedhi unaweza kuchangia harufu mbaya ukeni. Wanawake wanaokaribia kukoma hedhi (menopause) wapo kwenye hatari zaidi kwani homoni ya estrogen hupungua sana na hivo kusababisha tishu za kuwa na tindikali kidogo.

sasa k**a changamoto ya kupata muwasho kwenye uke, nakushauri kutumia virutubisho lishe vilivyotokana na mimea na matunda Epuka kemikali yoyote hatarishi kwenye afya ya uke.
Je Umehangaika Kwa Muda Mrefu Kutibu Changamoto Ya Kutoa Harufu Mbaya Ukeni Bila Mafanikioโ€ฆ?

nipo hapa kukusaidia
0717381743

*DHIBITI UVIMBE KWA MVUGA(ILAKA)*Ilaka au  Mzungwa ni mmea tiba Wa miaka na miaka...            MAHITAJI:Majani ya Ilaka...
26/01/2024

*DHIBITI UVIMBE KWA MVUGA(ILAKA)*

Ilaka au Mzungwa ni mmea tiba Wa miaka na miaka...

MAHITAJI:

Majani ya Ilaka/mvuga

MATAYARISHO NA MATUMIZI YAKE:

Chukua majani ya mvuga au Ilaka chemsha kwa dakika 10 acha yapoe kisha chuja...

Mgonjwa anatakiwa kunywa nusu kikombe kutwa mara 3 kwa siku 3 hadi 5...

Dawa hii ni nzuri sana kwa matatizo yote ya mfumo wa uzazi kwa mwanamke....

Ni dawa ambayo imetumika kwa miongo mingi sana kutibia matatizo mbalimbali ya wanawake...

Imethibitika kuwa na uwezo wa:-โคต๏ธ

(i.) Kusafisha kizazi.

(ii.) Kuzibua Mirija ya Uzazi

(iii.) Inatibu kabisa tatizo la chango ya uzazi,...

(iv.) Inapevusha haraka mayai hivo hupelekea mwanamke kuwahi kupata mimba...

(v.) Inarekebisha mfumo wa homoni wa mwanamke...

(vi.) Inarekebisha mfumo wa hedhi na kutibia maumivu makali wakati wa hedhi....

Toa Uvimbe Bila Upasuaji na
Ishi afya clinic 0717381743

Zifuatazo Ni sababu zinazopelekea kukosa choo.1.kutokunywa maji;maji yanasaidia kulainisha choo na mmeng'enyo wa chakula...
26/01/2024

Zifuatazo Ni sababu zinazopelekea kukosa choo.
1.kutokunywa maji;maji yanasaidia kulainisha choo na mmeng'enyo wa chakula ili kinyesi kiweze kutoka sasa endapo hutokunjwa maji hupelekea kukosekana kupata choo.

2.kubana kinyesi; hii nayo Ni Hatari Sana kubana kinyesi endapo utasikia kuenda haja kubwa jitahidi kuenda chooni ili usisababishe kukosa choo.

3.kutokula mbogamboga na matunda ;matunda K**a papai, parachichi n.k na mboga za majani husaidia Sana usipate Ugumu wa choo.

4.kula vyakula vya wanga Sana K**a vile ugali wa sembe, unga wa ngano, husababisha mtu kupata choo kigumu Tena endapo utakula Kila siku na bila kunywa na maji.

5.nyama nyekundu; K**a vile mishikaki na supu kwa wale wanaotumia kwa Sana

6.vyakula vilivyosindikwa.

7.chips mayai na juisi hupelekea kukosa choo.

Dalili za kukosa choo Ni pamoja na;?

1.kukosa hamu ya kula
2.kupata maumivu ya kiuno
3.choo kuwa kigumu
4.mwili kuishiwa nguvu.
5.tumbo kuuma au kuvurugika.

Mwisho; kukosa choo kiafya Ni ugonjwa lakini Kuna watu wanaonaga K**a Kawaida sana na kupelekea kusababisha, TUMBO KUJA GESI, VIDONDA VYA TUMBO MAUMIVU YA TUMBO SUGU, BAWASIRI au cancer ya njia ya hajakubwa KUKOSA USINGIZI.
UKIONA HIZI DALILI
AU K**A UNAKOSA CHOO WAHI KWA DOKTARI Obedi James

NINA
SULUHISHO LAKO LA KUDUMU
Whatsapp 0717381743

๐‰๐„? ๐”๐๐€๐’๐”๐Œ๐๐”๐‹๐ˆ๐–๐€ ๐๐€ ๐Œ๐€๐“๐€๐“๐ˆ๐™๐Ž ๐˜๐€ ๐Œ๐ˆ๐…๐”๐๐€ ๐ˆ๐Š๐ˆ๐–๐„๐Œ๐Ž ๐Œ๐€๐”๐Œ๐ˆ๐•๐” ๐Œ๐€๐Š๐€๐‹๐ˆ ๐˜๐€ ๐Œ๐€๐†๐Ž๐“๐ˆ (OSTEOPOROSIS)? ๐Ÿ”ฌNi ugonjwa unaosababishwa na ma...
26/01/2024

๐‰๐„? ๐”๐๐€๐’๐”๐Œ๐๐”๐‹๐ˆ๐–๐€ ๐๐€ ๐Œ๐€๐“๐€๐“๐ˆ๐™๐Ž ๐˜๐€ ๐Œ๐ˆ๐…๐”๐๐€ ๐ˆ๐Š๐ˆ๐–๐„๐Œ๐Ž ๐Œ๐€๐”๐Œ๐ˆ๐•๐” ๐Œ๐€๐Š๐€๐‹๐ˆ ๐˜๐€ ๐Œ๐€๐†๐Ž๐“๐ˆ (OSTEOPOROSIS)? ๐Ÿ”ฌ

Ni ugonjwa unaosababishwa na maambukizi ya bacteria katika mifupa na misuli inayozunguka magoti/mifupa. bacteria hao ni (๐—ฆ๐˜๐—ฎ๐—ฝ๐—ต๐˜†๐—น๐—ผ๐—ฐ๐—ผ๐—ฐ๐—ฐ๐—ถ).

Mara nyingi tatizo hili la mifupa hutokea katika uti wa mgongo (mgongo kupinda na kuuma mara kwa mara), MAGOTI kuuma, nyonga na kifuani.

๐’๐€๐๐€๐๐” ๐™๐ˆ๐๐€๐™๐Ž๐’๐€๐๐€๐๐ˆ๐’๐‡๐€ ๐Œ๐€๐“๐€๐“๐ˆ๐™๐Ž ๐˜๐€ ๐Œ๐ˆ๐…๐”๐๐€ (OSTEOPOROSIS).

๐Ÿ€Magonjwa ya figo.
๐Ÿ€Upungufu wa hormone za estrogen hii ni kwa wanawake hasa wale wenye kikomo cha hedhi (MENOPAUSE)
๐Ÿ€Upasuaji na kuondolewa (ovaries) mayai ya uzazi kwa wanawake
๐Ÿ€ANOREXIA uzito mdogo kupita kiasi kwa wale wanaopenda sana kujinyima kula kupita kiasi wakikwepa kunenepa sana na kufanya mazoezi kupita kiasi.

๐Š๐ˆ๐๐†๐€ ๐™๐€ ๐Œ๐€๐“๐€๐“๐ˆ๐™๐Ž ๐˜๐€ ๐Œ๐ˆ๐…๐”๐๐€ (OSTEOPOROSIS)

โœ๏ธEpuka matibabu yeye kutumia kemikali.
โœ๏ธZingatia Lishe bora hasa utotoni pia pendelea kula vyakula vya asili vyenye madini yakutosha yanayoimarisha Mifupa k**a Mbogamboga, Vyakula vya baharini n.k.
โœ๏ธAcha au punguza matumizi ya kemikali.

Wanawake wengi wamekuwa wakichukulia kawaida dalili zifuatazoโ–ช๏ธŽKutokwa uchafu k**a maziwa sehemu za siriโ–ช๏ธŽKupata maumivu...
26/01/2024

Wanawake wengi wamekuwa wakichukulia kawaida dalili zifuatazo
โ–ช๏ธŽKutokwa uchafu k**a maziwa sehemu za siri
โ–ช๏ธŽKupata maumivu makali chini ya kitovu
โ–ช๏ธŽโ–ช๏ธŽMimba kuharibika
โ–ช๏ธŽKutokushika ujauzito
Madhara yake maranyingi huweza kusababisha
โ–ช๏ธŽKuchelewa kushika ujauzito au kutokushika kabisa
โ–ช๏ธŽMimba kuharibika mara kwa mara
โ–ช๏ธŽMimba kutunga nje ya kizazi
โ–ช๏ธŽcancer ya kizazi
Tupigie 0717381743 kwa suluhisho la uhakika

Saratani ya shingo ya kizazi ni aina ya saratani (kansa) inayoshambulia seli zilizoko ndani ya ngozi laini inayozunguka ...
26/01/2024

Saratani ya shingo ya kizazi ni aina ya saratani (kansa) inayoshambulia seli zilizoko ndani ya ngozi laini inayozunguka shingo ya kizazi. Shingo ya kizazi (cervix) ni sehemu ya kizazi kati ya uke (va**na) na mji wa mimba (uterus). Shingo ya kizazi ina kazi nyingi ikiwemo; Kupitisha mbegu za kiume kuelekea katika mji wa uzazi na hatimaye mirija ya uzazi (fallopian tubes) ili kupevusha yai (o**m), kupitisha damu ya hedhi, mlango anaopitia mtoto wakati wa kuzaliwa.

Saratani ya shingo ya kizazi hujulikana kwa kitaalamu k**a cervical cancer.

saratani ya shingo ya kizazi
Saratani Ya Shingo Ya Kizazi Husababishwa Na Nini?

Saratani ya shingo ya kizazi husababishwa na aina ya kirusi kinachoitwa โ€˜Human Papilloma Virusโ€™ HPV, kirusi hiki huambukizwa kwa njia ya kujamiiana na mtu mwenye maambukizi.

Soma pia hizi makala:

Mambo 9 Muhimu Usiyo yajua Kuhusu Saratani.
Ijue Saratani Ya Matiti Kwa Wanawake Na Jinsi Ya Kujikinga.
Tabia Hatarishi Zinazochangia Mwanamke Kupata Saratani Ya Shingo Ya Kizazi:

Zifuatazo ni tabia hatarishi zinazomuweka mwanamke katika hatari ya kupata saratani ya shingo ya kizazi ambazo ni pamoja na;

1) Kuanza ngono katika umri mdogo (chini ya miaka 18).

2) Uvutaji wa sigara.

3) Kuwa na wapenzi wengi au kujamiiana na mtu mwenye wapenzi wengi.

4) Matumizi ya mafuta mengi kwenye chakula au kula vyakula vyenye mafuta kwa wingi.

5) Kutokula mboga za majani na matunda.

6) Upungufu wa kinga mwilini.

Dalili Za Saratani Ya Shingo Ya Kizazi:

Saratani ya shingo ya shingo ya kizazi huanza na kuendelea kwa muda mrefu bila kuonesha dalili zozote. Dalili ambazo zinaweza kujitokeza wakati ugonjwa upo katika hatua za mwisho ni pamoja na;

1) Kutokwa na damu isiyo ya hedhi.

2) Kutokwa na damu ukeni baada ya kujamiiana.

3) Kutokwa na damu ukeni kwa wanawake waliokwisha kukoma hedhi.

4) Damu iliyochanganyikana na majimaji ya uke.

5) Matone ya damu au damu kutoka kipindi kisicho cha hedhi.

6) Kutokwa na majimaji au uchafu ukeni wenye harufu mbaya wakati mwingine ukiwa umechanganyika na damu.

7) Maumivu wakati wa kujamiiana (dyspareunia).

8) Maumivu chini ya tumbo, nyonga na kiunoni.

9) Kukojoa mkojo wenye damu (hematuria).

10) Upungufu wa damu (anaemia).

Address

Makamba Road
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255717381743

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ishi afya clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram