Safari ya Leba

Safari ya Leba We provide online and offline consultation for health issues, including men and women with reproductive issues, menstrual problems.......

🍼 Mambo 5 ya Kuzingatia Kabla ya Kubeba UjauzitoKabla ya kuanza safari ya ujauzito, ni muhimu mama kujiandaa kiafya ili ...
21/09/2025

🍼 Mambo 5 ya Kuzingatia Kabla ya Kubeba Ujauzito

Kabla ya kuanza safari ya ujauzito, ni muhimu mama kujiandaa kiafya ili kuhakikisha mwili wake uko tayari na mtoto atakayebebwa anakuwa na afya njema. Haya ndiyo mambo makuu ya kuzingatia:

1️⃣ Tumia Folic Acid mapema
– Inashauriwa kuanza kabla ya ujauzito kwani huzuia matatizo ya mfumo wa fahamu wa mtoto.

2️⃣ Kula lishe bora
– Hakikisha unapata mboga za majani, matunda, samaki, nafaka zisizokobolewa na vyakula vyenye madini ya chuma ili kuimarisha afya ya damu na homoni.

3️⃣ Fanya uchunguzi wa afya
– Vipimo vya damu, shinikizo la damu na magonjwa ya zinaa husaidia kugundua changamoto mapema kabla hazijaathiri ujauzito.

4️⃣ Epuka vilevi na sigara
– Pombe, sigara na dawa za kulevya hupunguza uwezo wa kushika mimba na pia huathiri afya ya mtoto.

5️⃣ Dhibiti uzito na fanya mazoezi mepesi
– Uzito wa kupita kiasi au mdogo sana unaweza kuathiri uzazi; mazoezi husaidia mwili kujiandaa kubeba mimba salama.

✨ Kumbuka: Afya njema kabla ya ujauzito ni zawadi ya kwanza unayoweza kumpa mtoto wako.

📲 Pakua Mr. Afya App upate elimu zaidi na ushauri wa kitaalamu kwa safari yako ya uzazi.

🌸 Hata giza likiwa zito kiasi gani, mwanga wa tumaini hauzimiki...Muujiza wa kuitwa mama bado una nafasi. Usikate tamaa ...
11/07/2025

🌸 Hata giza likiwa zito kiasi gani, mwanga wa tumaini hauzimiki...
Muujiza wa kuitwa mama bado una nafasi. Usikate tamaa — safari yako haijaisha. 💫

Kwa wanawake wote wanaotafuta ujauzito au wanaopitia changamoto katika safari ya uzazi, Oviplus iko hapa kwa ajili yako:
🩸 Weka sawa hedhi yako
♦️ Balance hormone zako
🌹 Pevusha na kukomaza mayai
🤱 Beba ujauzito haraka bila changamoto
💃 Ongeza hamu ya tendo na ute wa uzazi

💚 Tembea na sisi kwenye safari ya leba.
👉 Like page hii kwa ushauri wa kila siku
👉 Pakua Mr. Afya App leo na uanze safari yako kwa matumaini mapya.
👉Piga 0744 714 710 kuongea na Daktari bure

📥 Pakua hapa: https://bit.ly/44G8vI6

Address

Tabata Aroma
Dar Es Salaam
12103

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Safari ya Leba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Safari ya Leba:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram