afya chek

afya chek Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from afya chek, Medical and health, Dar es Salaam.

KITUO CHA AFYA - Gcat health care internationalNi taasisi inayomilikiwa na Wachina ambapo ina madktari waliobobea na vif...
13/06/2024

KITUO CHA AFYA - Gcat health care international
Ni taasisi inayomilikiwa na Wachina ambapo ina madktari waliobobea na vifaa vya kisasa wanatoa huduma ya vipimo kwa gharama nafuu sana.20,000tu
Pia wanatibu magonjwa yafuatayo:
✅Matatizo ya hedhi kwa wanawake
✅Kutoshika mimba
✅Mimba kuharibika
✅Chango la uzazi
✅Vimbe aina zote
✅PID & UTI
✅Kuzibua mirija ya uzazi
✅Vidonda vya tumbo
✅Tezi dume
✅Nguvu za kiume
✅Bawasiri
✅Matatizo ya moyo
✅Matatizo ya mifupa
✅Ngiri
✅Matatizo ya kibofu cha mkojo
✅Aleji
✅Bandama
✅Homa ya Ini
✅Kiharusi/Stroke
✅Pumu
✅Miguu Kuwaka Moto
✅Uzito mkubwa
Pia tuna dawa maalum kwa wagonjwa wa
✅Presha
✅Sukari
✅VVU
Tupo banana Dar es salaam, Mwanza,Arusha,Dodoma, Mbeya,tupigie simu utapokelewa
Wasiliana nasi kwa namba za simu:
0750279270

ETERNAL ENERGY  CUP. Hii ni chupa maalum, ya maji ya kunywea majia ambayo imewekwa madini k**a calcium, phorphorus, sulp...
11/06/2024

ETERNAL ENERGY CUP. Hii ni chupa maalum, ya maji ya kunywea majia ambayo imewekwa madini k**a calcium, phorphorus, sulphate, magnesium, potasium, sodium n.k Madini haya ni nuhimu kwa kusaidia kuimarisha mifupa, meno na kuongeza kinga na nguvu ya mwili. Unapo weka na kunywa maji kwa kutumia chupa hizi ni k**a umeyaongezea nguvu na ndio maana tunaziita ENEGY CUP. Mdini yote yanayowekwa humo yanachimbwa ardhini na yanazifanya chpa hizi kuwa na uwezo wa kupunguza kiwango cha asidi yaani tindi kali kwenye maji kupunguza kiwango cha chumvi kwenye maji, na kuyafanya maji yakuywa kuwa bora na salama zaidi.

04/06/2024
04/06/2024
Kuna wanawake wengi hupatwa na tatizo hili la kutokwa na damu ukeni wakati au baada ya kufanya mapenzi au tendo la ndoa,...
27/05/2024

Kuna wanawake wengi hupatwa na tatizo hili la kutokwa na damu ukeni wakati au baada ya kufanya mapenzi au tendo la ndoa,

CHANZO CHA MWANAMKE KUTOKWA NA DAMU WAKATI NA BAADA YA KUFANYA MAPENZI

Kuna sababu mbali mbali ambazo husababisha mwanamke kuvuja damu wakati akifanya mapenzi au baada ya kufanya mapenzi, na sababu hizo ni k**a vile;

– Maambukizi katika via vya uzazi vya mwanamke yaani PELVIC INFLAMMATORY DISEASE(PID)

– Mwanamke kupatwa na magonjwa mbali mbali ya zinaa k**a vile ugonjwa wa Pangusa au CHLAMYDIA

– Mwanamke kuwa na tatizo la ukavu ukeni ambao hupelekea michubuko na kuvuja damu wakati wa tendo la ndoa

Magonjwa hatari kwa mama mjamzito
Magonjwa hatari kwa mama mjamzito
Ujauzito
Magonjwa hatari kwa mama mjamzito Maambukizi hatari sana yanaweza yasitokee mara kwa mara wakati wa
– Mwanamke kuwa na tatizo la Saratani au Kansa ya kizazi au shingo ya kizazi

– Maambukizi ya magonjwa ambayo huweza kusababisha shingo ya kizazi au uke kuvimba yaani Cervicitis and Vaginitis

– Mwanamke kuwa na uvimbe kwenye shingo ya kizazi au kizazi yaani FIBROIDS, ovarian Cysts N.k

– Kufanya mapenzi bila maandalizi ya kutosha hali ambayo huweza kupelekea michubuko na kuvuja damu ukeni

*ASIDI YA TUMBO*👉Asidi inaweza kuelezewa k**a hali ambayo kuna ziada ya utolewaji wa asidi na tezi za tumbo.👉Kiungulia n...
27/05/2024

*ASIDI YA TUMBO*

👉Asidi inaweza kuelezewa k**a hali ambayo kuna ziada ya utolewaji wa asidi na tezi za tumbo.
👉Kiungulia na malezi ya gesi ni dalili kuu za asidi
Kiungulia na malezi ya gesi ni dalili kuu za asidi.

Mwili wetu hutoa asidi ili kusaga chakula tunachokula. Hata hivyo tatizo hutokea pale inapotoa asidi zaidi kuliko inavyotakiwa
Ni, basi, kwamba juisi ya tumbo husogea kutoka kwa tumbo, hadi kwenye umio wa chini na kuifanya isifanye kazi vizuri.
*DALILI ZA ASIDI*
📌maumivu ndani ya tumbo, masaa 1-4 baada au kabla ya mlo
📌maumivu ya kifua
📌Kuvimba kwa kifua
📌kuhisi njaa mara kwa mara
📌maumivu ya mara kwa mara kwenye sehemu ya juu ya tumbo
📌kuhisi k**a unaweza kala umejikunja wakati wa maumivu.
📌kichefuchefu
📌uchungu mdomoni asubuhi au wakati mwingine wowote.
📌kupoteza hamu ya kula
📌matatizo ya kupumua
📌kutapika
📌kukohoa
📌Reflux ya gastro-esophageal
📌kubadilika kwa sauti na kutengeneza kidonda kwenye KOO (mrija unaounganisha mdomo na tumbo)

*SABABU AU VYANZO VYA ASIDI*
👉uvutaji sigara kupita kiasi
👉kunywa pombe kupita kiasi
👉uzalishaji mkubwa wa asidi hidrokloric
👉kutokula chakula
*Maji ni njia bora ya neutralize Acidity tumboni ikiwa umeathirika sana tunapendekeza utumie dawa za asili pia ili upone haraka*
Jaribu kuchukua glasi tatu za maji na maji ya limau kila asubuhi unapoamka tuna dawa za asili kwa watu
wanaosumbuliwa na Asidi ikiwa una nia tafadhali piga simu/SMS /WhatsApp 0750279270

ENDOMETRIOSIS ni ugonjwa ambao huhusisha seli zinazofaa kuwa ndani ya mji wa uzazi kuwa nje ya mji huo.Inawezekana kuwa ...
27/05/2024

ENDOMETRIOSIS ni ugonjwa ambao huhusisha seli zinazofaa kuwa ndani ya mji wa uzazi kuwa nje ya mji huo.

Inawezekana kuwa wakati mwanamke akiwa katika siku zake, ndipo madhara hujitokeza katika mishipa ya ukuta wa mji wa uzazi na damu hiyo ya hedhi kumwagika nje ya mishipa hiyo. Ukali wa dalili huhusiana na mahali pa endometriosisi ilipo.

Dalili za awali unazoweza kujua k**a una changamoto ya Endometriosis ni kupata hedhi zenye maumivu makali,
Kupata maumivu baada ya tendo la ndoa, kupata maumivu ya tumbo, ya mgongo chini na nyonga na
maumivu wakati kwa uzalishaji mayai (Ovulation).
Kwa vipimo na matibabu
Call us/whatsap 0750279270

12/05/2024

YA_KUSAMBAZA_TAARIFA
Wanahitajika watu watakao fanya kazi ya kusambaza taarifa za kampuni ya Gcat International Company Limited

Taarifa za huduma inayotolewa na kampuni kwa kutumia simu yako ya mkononi/ Smart phone.
NOTE:
* Nilazima uwe na simu kubwa/ Smart phone
* Uwe Dar es salaam tu
* Uwe na bidii ya kazi
* Elimu kuanzia kidato cha nne mpaka chuo

MALIPO
* Malipo yapo ya aina mbili (Malipo ya kila siku na kila mwisho wa mwezi) yote utapata.
* Kima cha chini kwa malipo ni (Kwa siku 20,000/= na kwa mwezi ni 350,000/=)

Wote mnakaribishwa, Ofisi ipo Majumba sita ya Airport (Ukonga)
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0658086775 https://call.whatsapp.com/video/Fl0Q0GrkHEVMqdosWkTOHm

Medical & health

*MADHARA YA KUFANYA TENDO LA NDOA WAKATI WA HEDHI*Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi n...
16/04/2024

*MADHARA YA KUFANYA TENDO LA NDOA WAKATI WA HEDHI*

Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana..Kuna madhara mengi yanaweza yakatokea na kwa kawaida si madhuri kwa afya ya wote wawili.Hivyo kwa ushauri huwa tunapenda watu wajari sana afya zao na si kuzidumaza na kuendekeza hisia kwani hiloo ndilo kosa kubwa la vijana wengi wa siku hizi...Zifuatazo ni baadhi ya madhara yanayoweza kutokea endapo wawili hawa wakafanya ngono wakati KE yupo katika siku zake{period}..

*MADHARA KWA MWANAUME*
1.Kupata maambukizi katika njia ya mkojo hadi kwenye kibofu.

2.Maambukizi katika tezi dume(Prostetits) hii inaweza kuathiri mfumo wa uzazi wa mwanaume.

3.Kuziba kwa njia ya mkojo.

4.Utasa au ugumba.

5.Ulegevu wa misuli ya uume na upungufu wa nguvu za kiume.

6.Athari mbaya ya kisaikolojia kwa kuwa anafanya tendo katika mazingira machafu hali itakayompelekea kutolifurahia tendo kutokana na hali ya umaji maji,utelezi, au harufu kali na mbaya na hivyo kuona kuwa mwanamke ni mchafu.Pia hali hii ikizidi inaweza kuathiri hata hufanyaji wa tendo katika siku za kawaida sio za hedhi.

*MADHARA KWA MWANAMKE*
1.Kupatwa na mambukizi viungo vya ndani vya uzazi k**a vile shingo ya kizazi,mirija ya uzazi kwa ujumla wake anaweza kuwa na tatizo la PID( PELVIC INFLAMATORY DISEASES) tatizo ambalo linaweza kuathiri mfumo wake wa uzazi.

2.Maumivu makali ya tumbo hasa kwa wale wanaopatwa na maumivu wakati wa hedhi.(Dysmenorrhea).

3.Utokaji wa damu unaweza ukaongeza kuliko vile inavyotoka kwa kawaida yake.

4.Utasa au Ugumba.

5.Kuvimba kwa kuta za ndani za uke kwa kuwa wakati wa hedhi zenyewe huwa tayari zimevimba au kutanunuka hali pia itamsababishia maumivu kwenye uke wakati wa tendo la ndoa.

6.Athari mbaya ya kisaikolojia:Mwanamke atahisi kuwa mumewe hamjali wala mpendi bali anajali hisia zake za kingono na kwamba yeye anatumika kingono tu.Pia kuona kuwa mumewe ajali afya yake pamoja na maumivu anayoyapata lakini bado huyu mume anataka KU-DO

Kwa ushauri na matibau ya changamoto zote za uzazi kwa mwanamke wasiliana nasi kwa namba

+255 750 279 270

Habari mr/miss/Mrs Tarehe 2/04/2024 ofa za dawa zitakwisha hivyo dawa zote zitapanda bei. Hivyo k**a umepata dawa nusu d...
27/03/2024

Habari mr/miss/Mrs
Tarehe 2/04/2024 ofa za dawa zitakwisha hivyo dawa zote zitapanda bei. Hivyo k**a umepata dawa nusu dozi au hujapata kabisa jitahidi uwahi kumalizia kabla ya tarehe hiyo kufika. Poleni kwa mabadiliko haya karibu sana

**FAIDA 10 ZA MAJANI YA MPERA KUTIBU MAGONJWA MBALI MBALI**1.*majani ya mpera yakichemshwa ni dawa ya kuponyesha tumbo l...
25/03/2024

**FAIDA 10 ZA MAJANI YA MPERA KUTIBU MAGONJWA MBALI MBALI**
1.*majani ya mpera yakichemshwa ni dawa ya kuponyesha tumbo la kuhara.

2.K**a umejikata kidogo unaweza kutumia majani ya mpera yaliyoshwa na kusagwa vizuri kwa kupunguza maumivu na kukulinda na maambukizi ya bakteria.

3.Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri yanatumika kutibu eneo la mwili lililong’atwa na mdudu na kupunguza maumivu.

4.Chai ya majani ya mpera inaaminika kuwa ina uwezo wa kutibu tezi dume.

5.Kutokana na kuwa na vitamini C kwa wingi majani ya mpera yana uwezo mkubwa wa kutibu chunusi.

5.Chai ya majani ya mpera inasaidia kupunguza uzito mwilini na kuzuia uharibifu ndani ya sukari mwilini.

6.Majani ya mpera yanajaza nywele na kurefusha nywele kwa watu wenye tatizo la kukatika kwa nywele, unasaga na kuchemsha kisha acha yapoe ndio upake kichwani kutoka chini ya ngozi ya kichwa hadi kwenye ncha ya nywele zako.

7.Ukiwa na tatizo la vidonda kwenye ufizi, maumivu ya jino na ufizi tafuna majani ya mpera na utaona maajabu ya majani haya
Chukua majani ya mpera saga vizuri mpaka yawe laini kabisa ongeza na maji kidogo kisha tumia kupaka usoni k**a scrub inatibu ngozi inayoanza kuzeeka mapema.

8.Chai ya mpera inasaidia kwa kutibu mvurugiko wa tumbo.

9.Pamoja na majani hayo kuwa msaada wa kutibu maradhi mbalimbali , halikadhalika juisi ya mapera nayo husaidia sana kutibu mgolo au bawasiri, figo na hata kuondoa mafuta katika moyo.

10.Kimsingi mti wa mpera karibu kila sehemu yake ni tiba kwani hata mizizi yake inapochemshwa na kutumia kwa kunywa huenda kuwasaidia wanawake wenye matatizo ya hedhi au wenye matatizo ya kutokwa na maji yenye harufu mbaya sehemu zao za siri.
Sanjari na hayo, watoto wadogo wenye matatizo ya kutopata choo zaidi ya siku mbili, wakinyweshwa maji ya majani hayo baada ya kuchemshwa huwasaidia kuondokana na tatizo hilo
Karibu sana kwa huduma za vipimo kwa 20000/= tu na tiba asili zisizo na madhara tupigie 0750279270

*FAIDA ZA KULA PAPAI* 1.kuzuia cholesterol na kulinda afya ya moyo2.kuondoa gesi tumboni 3.kuzuia saratani  na pia wenye...
24/03/2024

*FAIDA ZA KULA PAPAI*
1.kuzuia cholesterol na kulinda afya ya moyo
2.kuondoa gesi tumboni
3.kuzuia saratani na pia wenye magonjwa ya saratani tumia sana papai
4.nzuri kwa afya ya ngozi na nywele(kuna vitamin A)
5.kuondoa maumivu ya hedhi
6. K**a unachangamoto ya pumu tumia papai mara kwa mara
7.k**a unachangamoto ya mifupa tumia papai mara kwa mara (kuna protin)

*FAIDA 5 ZA KULA BOGA*1. kuboresha afya ya ngozi2. kuboresha afya ya macho3. Inaongeza kinga zaidi kwenye mwili(kuna vit...
19/03/2024

*FAIDA 5 ZA KULA BOGA*

1. kuboresha afya ya ngozi
2. kuboresha afya ya macho
3. Inaongeza kinga zaidi kwenye mwili(kuna vitamin c)
4. Kuondoa shinikizo la damu
5. Kukusaidia kuzuia saratani

Kwa ushauri wa haraka piga 0750270270

*FAIDA 5 ZA KITUNGUU MAJI MWILINI*1. kupambana na bacteria sugu 2. Kuimarisha mifupa 3. Kupunguza athari za kupata magon...
19/03/2024

*FAIDA 5 ZA KITUNGUU MAJI MWILINI*
1. kupambana na bacteria sugu
2. Kuimarisha mifupa
3. Kupunguza athari za kupata magonjwa ya moyo
4.kukulinda zaidi na kupata saratani
5. Kupunguza sumu mwilini

Kwa ushauri wa kiafya karibu sana tupigie 0750279270

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when afya chek posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to afya chek:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram