ALIHO home healthcare

ALIHO home healthcare ALIHO home healthcare we give the following at your place:-
★ Doctors consultation.
★ Nursing ca

Mazoezi kwa tiba ni mhimu sana kwa wagonjwa wetu, hasa kwa wale wanaohitaji mazoezi tiba kuondoa ugonjwa au madhara yali...
22/07/2019

Mazoezi kwa tiba ni mhimu sana kwa wagonjwa wetu, hasa kwa wale wanaohitaji mazoezi tiba kuondoa ugonjwa au madhara yaliyo sababishwa na ugonjwa mwingine. ALIHO home healthcare tunatoa huduma ya Physiotherapy nyumbani kwako.

Kupima maendeleo ya Afya yako kilamara ni jambo jema, hii hutoa mwanga wa nini kifanyike wakati huh au tahadhali gani ku...
20/07/2019

Kupima maendeleo ya Afya yako kilamara ni jambo jema, hii hutoa mwanga wa nini kifanyike wakati huh au tahadhali gani kuchukua kuepusha madhara memories kiafya.

Kutambua tatizo linalomsumbua mgonjwa ni jukumu la Daktari pamoja na wahudumu wa afya wengineo. Ni haki ya mgonjwa kupat...
18/07/2019

Kutambua tatizo linalomsumbua mgonjwa ni jukumu la Daktari pamoja na wahudumu wa afya wengineo. Ni haki ya mgonjwa kupata matibabu, nijukumu letu watunishi wa afya kutekeleza hili.

Kutumia Dawa kwa usahihi, husaidia mgonjwa kupona kwa haraka. Usimamizi bora wa mtoahuduma ni kitu mhimu sana. ALIHO hom...
17/07/2019

Kutumia Dawa kwa usahihi, husaidia mgonjwa kupona kwa haraka. Usimamizi bora wa mtoahuduma ni kitu mhimu sana. ALIHO home healthcare tunafanikisha hili. +255719764366

16/07/2019

ALIHO home healthcare:
Bring affordable health service at your place

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ALIHO home healthcare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram