Acid reflux solutions

Acid reflux solutions Tunawasaidia wahanga wa magonjwa sugu yasiyo ambukizwa kupitia mimea lishe NA ushauri nasaha

27/04/2024

Pandex Herbal Clinic: TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD)

Gastroesophageal reflux disease (GERD).
-Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na kupelekea kudhurika kwa mfumo wa chakula upande wa juu ambao unahusisha koo la chakula na mdomo pia.

Watu wengi sana wanasumbuliwa na tatzo hili bila wao kujua wanasumbuliwa na tatzo hili na hufikia hatua wengine kudhani wamerogwa kutokana na dalili ya tatzo hili. Tutaangalia dalili ambazo mtu anaweza kugundua kuwa anasumbuliwa na tatzo hili.

DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux
-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:‡️‡️

1.πŸ–‡οΈ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.πŸ–‡οΈ Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.πŸ–‡οΈ Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.πŸ–‡οΈ Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.πŸ–‡οΈ Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.πŸ–‡οΈ Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.πŸ–‡οΈ Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.πŸ–‡οΈ Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.πŸ–‡οΈ Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.πŸ–‡οΈ Kupata kikokozi kisichoisha
11.πŸ–‡οΈ Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.
12.πŸ–‡οΈ Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.πŸ–‡οΈ Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.πŸ–‡οΈ Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.πŸ–‡οΈ Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16.πŸ–‡οΈ Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.πŸ–‡οΈ Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18.πŸ–‡οΈ Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
19.πŸ–‡οΈ Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
20.πŸ–‡οΈ Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
21.πŸ–‡οΈ Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
22.πŸ–‡οΈKichefuchefu na kutapika.

MAMBO YANAYOWEZA KUCHOCHEA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI
1.πŸ–‡οΈ Uvutaji wa sigara
2.πŸ–‡οΈ Unywaji wa pombe
3.πŸ–‡οΈ Utumiaji wa vyakula au vinywaji vywenye Caffeine k**a vile Kahawa,Chocolate, Soda nk
4.πŸ–‡οΈ Kula vyakula vyenye mafuta mengi/vyakula vilivyokaangwa
5.πŸ–‡οΈ Kula chakula kingi kupita kiasi ama kula usiku sana.
6.πŸ–‡ Kutumia baadhi ya Madawa k**a vile ASPIRIN
7.πŸ–‡οΈ Ngiri ya kifua pia husababisha GERD lakin pia GERD huweza kisababisha Ngiri ya Kifua(Huatal hernia)
8.πŸ–‡οΈ Kuwa Mjamzito
9.πŸ–‡οΈ Uzito kupita kiasi (Obesity)
10.πŸ–‡οΈ Matatzo ya mmeng'enyo wa chakula au kuchewa Kujisaidia pindi uhisipo haja kubwa.

MATIBABU YA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI-GERD
-Matibabu ya KUZIDI kwa Acid tumbon yamegawanyika katika aina mbili k**a ifuatavyo:‡️‡️

1️⃣ MATIBABU YA KISASA
-Matibabu haya yanahusisha utumiaji ya njia za hospital katika matibabu ikiwemo utumiaji wa PPIs(Proton pump inhibitors),Antacids,Histamine, H-2 Blockers k**a vile Cimetidine (tagament HB),famotidine (Pepcid AC),Nizatidine (Axid AR)
-esomeprazole (Nexium), lansoprazole (Prevacid), omeprazole (Prilosec), pantoprazole (Protonix), rabeprazole (Aciphex) and dexlansoprazole (Dexilant) .Magnesium nk.
Dawa hizi zimekuwa zikitumiwa sana na watu wenye changamoto za Acid nying tumboni na miongoni mwa changamoto ni kwamba dawa hizi zimekuwa zikionesha msaada mdogo sana kwa asilimia kubwa ya wagonjwa na hutoa naafuu ya muda tu.

2️⃣ MATIBABU KWA TIBA ASILI/TIBA MBADALA.
-Njia hii inahusisha matibabu kwa kutumia mimea tiba na imeonekana kuwa na ufanisi mkubwa kutokana na uwezo mkubwa wa mimea mingi katika kupambana na magonjwa mbalimbali kwasababu mimea kutibu kiini cha tatzo kwa kuzifanya kuwa mpya seli za mwili hivyo kuufanya mwili kuwa na uwezo mpya katika kufanyakazi zake.

-Ziko dawa nyingi asilia zenye uwezo mkubwa wa kupambana na matatzo ya ACID nying tumboni,mfano wa dawa hizo ni PEPTICOL POWDER Nk.

Wasiliana nami kwa msaada zaidi wa kitaalamu katika kupambana na tatizo hili na mengine.

PANDEX HERBAL CLINIC
ILALA-DAR ES SALAAM
PANGANI-STREET
0755868688

Tunawasaidia wahanga wa magonjwa sugu yasiyo ambukizwa kupitia mimea lishe NA ushauri nasaha

Pandex Herbal Clinic: TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD)Gastroesophageal reflux disease (GE...
25/03/2024

Wasillana nami0755868688
12/03/2024

Wasillana nami
0755868688

Contact us0755868688
11/03/2024

Contact us
0755868688

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255755868688

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Acid reflux solutions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram