AFYA & ELIMU

AFYA & ELIMU Bidhaa za afya na elimu

05/01/2025

TANGAZO LA KAZI.
Uongozi wa hospitali ya Dr. JJ Health Services ya Kibaha Loliondo unatangaza ajira kwa muuguzi-mkunga(MIDWIFE NURSE) mwenye leseni hai.
Kwa mawasiliano zaidi, fika hospitalini hapo Dr. JJ Health Services Kibaha-Loliondo au piga simu namba +255 687815444.
NYOTE MNAKARIBISHWA.

15/06/2024
25/05/2024
Tunafanya uchunguzi wa mifumo ya uzazi kwa jinsi zote kwa kutumia mashine za kisasa kabisa kwa gharama nafuu sana.
25/05/2024

Tunafanya uchunguzi wa mifumo ya uzazi kwa jinsi zote kwa kutumia mashine za kisasa kabisa kwa gharama nafuu sana.

14/05/2024

TANGAZO
Fursa ya Masomo ya ziada wakati wa likizo.
Uongozi wa Fountain International Institute Academy, unakuletea fursa ya masomo ya ziada (tuition) wakati wa likizo Juni 2024.
MASOMO YATAKAYOFUNDISHWA: Shule za sekondari- Biology, Chemistry, English na Geography. Shule za msingi- English na Hisabati.
MUDA WA MASOMO: Masomo yatafundishwa kuanzia tarehe 01/06/2024 mpaka 30/06/2024, kwa awamu mbili tofauti asubuhi na mchana kulingana na muda wako. Asubuhi ni kuanzia saa 02:00 hadi saa 06:00, na Mchana ni kuanzia saa 2:00 hadi saa 12:00 jioni.
MAHALI MASOMO YATAKAPOFUNDISHIWA: Masomo yatafundishwa hapa mtaa wa Mtakuja mkabala na machinjio mapya kwa Mzee Mwasha, Pangani-Kibaha Pwani.
GHARAMA: Masomo yote yatafundishwa kwa gharama nafuu ya Tsh. 30,000/= (elfu thelathini) kwa kipindi chote cha Mwezi mzima.
MAWASILIANO : Fika ofisini hapa Mtakuja mkabala na machinjio mapya kwa Mzee Mwasha au piga simu namba +255 769 521 272.

KARIBUNI NYOTE.

06/05/2024

HUDUMA YA UCHUNGUZI WA AFYA KWA KIPIMO CHA CT SCAN MACHINE NA MATIBABU YA MAGONJWA YASIYO YAKUAMBUKIZA NA NYEMELEZI.
Magonjwa k**a: Sukari, Presha, Moyo,Tumbo na Vidonda vya tumbo, Bawasiri, Kinywa,Mifupa na Meno, Ini,Figo,Mapafu na Pumu, Macho na Ngozi,Changamoto za mifumo ya uzazi kwa jinsi zote na Vichocheo vya mwili (Homoni).
MAHALI: HATC Posta Dar es salaam Tanzania
MAWASILIANO: +255 769 521 272

20/04/2024

TENDO LA NDOA NI WAJIBU SIO STAREHE.
Tendo la ndoa lilikuwa na wajibu wa kuongeza idadi ya watu kupitia uzazi wa watoto toka mwanzo wa uumbaji wa Mwenyezi Mungu. Watu wangefanya tendo la ndoa kwa ajili ya kupata mtoto/watoto tu.
Mara ghafula tendo la ndoa likabadilishwa kuwa jambo la starehe. Lilipogeuzwa kutoka kuwa jukumu tu la kupata mtoto/watoto na kuwa Starehe,ndipo matatizo na changamoto za afya ya uzazi na mifumo ya uzazi zilianza.
Ni katika tendo la ndoa kuwa starehe,watu huwa makahaba, waasherati, wazinzi,malaya,wabakaji na sasahivi mashoga na wasagaji. Pia ni katika starehe hii watu hutumia njia za uzazi wa mpango hasa zisizo sahihi au sahihi lakini zenye madhara baadaye. Ni katika starehe hii ambapo Wanawake huingia katika vitendo vya utoaji mimba na wanaume huangukia katika vitendo vya kujichua.
Matokeo ya tendo la ndoa kugeuzwa kuwa starehe badala ya jukumu la msingi la kuendeleza kizazi(generation) cha Mwenyezi Mungu ni pamoja na magonjwa na changamoto za afya ya uzazi na mifumo ya uzazi inayotutesa leo. Ikiwa tendo la ndoa lingebaki kuwa jukumu la uzazi tu na sio starehe, baadhi ya changamoto hizi tungeziepuka.
Kwakuwa wengi wetu tumeshaangukia na kutumbukia katika matokeo hasi ya kugeuza tendo la ndoa kuwa starehe badala ya jukumu la msingi la kuendeleza uzazi, hatuwezi kubaki kulaumu na kujilaumu maana imeshatokea na muda umeshapita. Jambo la msingi la kuchukuwa ni kutatua haya matokeo hasi tuliyonayo kwasasa na kuandaa kizazi bora kitakachoishi katika matamanio yetu.
Ili kujifunza zaidi juu ya changamoto za afya ya uzazi na mifumo ya uzazi, suruhisho na matibabu yake Ikiwa yatahitajika, tafadhali chukuwa hatua ya kuwasiliana pamoja nasi kwa namba +255 769 521 272.
KUMBUKA:MWENYE AFYA HAITAJI TABIBU.

19/04/2024

HABARI NJEMA KWA WANANDOA PEKEE WENYE CHANGAMOTO ZA KUPATA MTOTO /WATOTO.
Karibu ufanye kipimo cha CT scan kwa bei ya ofa ili uijue changamoto yako na kupata suruhu ya wapi uanzie.
KUMBUKA :ofa hii ni mwezi Aprili na Mei tu.

18/04/2024

This version of Facebook uses less data and works in all network conditions.

12/04/2024

Tiba sahihi ya Bawasiri
Fibers-(bawasiri ya ndani)
Cream -(bawasiri ya nje)
Piga +255 769521272

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255769521272

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA & ELIMU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram