TIBA Ninatoa huduma ya Vipimo&Tiba mbadala

Kwa muda mrefu Sasa nimekuwa nikisaidia wanaume wenye changamoto ya Uzazi pamoja na Wanawake Matatizo k**a vile,Upungufu...
24/03/2024

Kwa muda mrefu Sasa nimekuwa nikisaidia wanaume wenye changamoto ya Uzazi pamoja na Wanawake

Matatizo k**a vile,Upungufu wa nguvu za Kiume,Tezi Dume,Mbegu kukosa huwezo wa kutungisha mimba nk.

Vilevile wanawake wenye matatizo k**a vile Uvimbe kwenye kizazi,Uti sugu,pid sugu,Fangasi,Ugumba nk

Natibu kwa kutumia tu Herbals ambazo zimeleta matokea makubwa sana kwa jamiii inayotuzunguka .Kabla ya Huduma za matibabu nafanya huduma ya vipimo vya mfumo wa Uzazi

Nipigie simu tuongee,nitakusikiliza nitakushauri vizuri zaidi ndg ikibidi nikupe suluhisho sahihi la Tatizo lako Nina vituo Tanzania nzima. Call me/whtsap
0693300891

No:0693300891

*UGONJWA WA PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE AU MAAMBUKIZI KATIKA VIA VYA UZAZI)na jinsi ya kupata tiba sahihi**MAELEZO ...
24/03/2024

*UGONJWA WA PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE AU MAAMBUKIZI KATIKA VIA VYA UZAZI)na jinsi ya kupata tiba sahihi*
*MAELEZO YA AWALI YA UGONJWA WA PID*

Habari za siku ndugu zangu ni matumaini yangu mnaendea vizuri. Kutokana na kundi kubwa la wanawake wamekuwa wakiteseka na tatizo hili, bila kupata msaada wa tiba huku wakibaki na madhara makubwa k**a ugumba, , basi leo hii napenda nianze na ugonjwa wa PID(PELVIC INFLAMMATORY DISEASE AU MAAMBUKIZI KATIKA VIA VYA UZAZI )

UGONJWA WA PID NI NINI??
~ni ugonjwa wa maambukizi unaotokea katika via vya uzazi wa mwanamke ambapo huhusisha maambukizi katika shingo ya kizazi (CERVICITIS),nyama katika mfuko wa uzazi (ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi (SALPINGITIS)

*VYANZO NA VIHATARISHI VYA KUPATA UGONJWA WA PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)*

Vimelea aina ya NEISSERIA GONORHOEAE pamoja na CHLAMYDIA TRACHOMATIS ndio chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa PID ingawaje kuna aina kadhaa za vimelea vinahusishwa kusababisha ugonjwa wa PID hivyo nilivyotaja ndio vinaongoza Kwa umaarufu kusababisha ugonjwa wa PID
~pamoja na vimelea hao kuwa chanzo kikuu cha ugonjwa wa PID zipo njia KADHAA HATARISHI KUSABABISHA MAAMBUKIZI HAYA NAZO NI รท

*kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi(IUCD) k**a njia mojawapo ya uzazi wa mpango
*Kufanya ngono isiyo salama
*Maambukizi ya njia za uzazi mara baada ya kujifungua au mimba kuharibika
*Kuambukizwa kupitia damu yenye vimelea wa PID
*Kupata maambukizi wakati wa kutoa mimba kwa njia isiyo salama

*DALILI/VIASHIRIA VYA UGONJWA WA PID*

Kuna dalili mbalimbali zinazoweza kuashiria ugonjwa huu wa PID miongoni mwa dalili hizo ni,

*Mwanamke kupata maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu
*Kupata maumivu wakati wa kukojoa
*Kupata homa na kuhisi kichefuchefu
*Kupata maumivu ya mgongo na kutapika
*Kutokwa na hedhi bila mpangilio
*kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa
*Kutokwa na uchafu(utoko)mweupe ukeni unaotoa harufu mbaya

NAMNA YA KUJIEPUSHA NA UGONJWA WA PID
Pamoja na kuwepo kwa dawa za kutibu tatizo hili ni vyema ukajiepusha na vihatarishi vya kupata tatizo hili kwa kuzingatia yafuatayo,
*Epuka kufanya ngono isiyo salama.
*Jiwekee tabia ya kufanya vipimo mara kwa mara hasa kizazi
*Usifanye mapenzi mara baada ya kujifungua au mimba kutoka mpaka utakapohakikisha shingo ya uzazi imefunga vema
*Kuwahi kuonana na daktari unapoona dalili za ugonjwa
*Kuwa msafi na kula lishe bora

Note:
Uonapo dalili za ugonjwa huu wahi kupata matibabu kwani ugonjwa huu ni mkubwa huweza kusababisha ugumba ikiwa hautapata tiba vizuri

asante kwa kuwa nami kusoma ujumbe huu rafiki k**a una MAONI/MASWALI NIANDIKIE KUPITIA PAGE YANGU NA TAFADHALI NISAIDIE KUIFIKISHA ELIMU HII KWA WENGINE KWA KUSHARE.

MATIBABU
Ugonjwa huu unatibika vizuri kwenye tiba asili hivo k**a Tayar unaumwa na umezunguka mahospitali bila msaada basi tunaweza kukusaidia,
WASILIANA NASI,

Address

Majumbasita
Dar Es Salaam

Telephone

+255693300891

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TIBA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram