Spartial Health Specialized Polyclinic

Spartial Health Specialized Polyclinic SPARTIAL SPECIALIZED POLYCLINIC LOCATION
Spartial Health Service Ltd has its office on the third floor S&F House along the Kinondoni Mwananyamala road.

COMPANY PROFILE
Spartial Health Service Ltd (SHSL) was incorporated in Tanzania under certificate of incorporation number 87908 dated 05 December 2011. SHSL is essentially a health consulting company in areas of Gynaecology, general medicine and research in health associated issues. However, the services can also be delivered at the Tabata General and Cancer clinic at an additional cost. LEGAL STA

TUS
Spartial Health Service Ltd is a company registered in Tanzania under the Company’s Act Cap 212, with certificate of incorporation number 87908 of date 05 December 2011, and certificate of registration for Tax Identification Number (TIN) 115-992-414 of date 09 January 2012 and is licensed with relevant authorities. COMPETENCIES
Spartial Health Service Ltd is endowed with a competent team of consultants which makes it to be among the most competitive in health related issues. Below are profiles of some of the consultants.

SPARTIAL POLYCLINICUCHUNGUZI WA HOMA YA INIKuelekea Siku ya Homa ya Ini Duniani  Julai 28, tunakuletea Uchunguzi wa Homa...
23/07/2025

SPARTIAL POLYCLINIC

UCHUNGUZI WA HOMA YA INI

Kuelekea Siku ya Homa ya Ini Duniani Julai 28, tunakuletea
Uchunguzi wa Homa ya Ini.

Karibu ukutane na daktari BURE, ufanye vipimo vya Homa ya Ini na kupata kwa punguzo la 50%.

Nyote mnakaribishwa!!!

Tunapatikana katika Jengo la Mlimani Tower, Ghorofa ya 3 Mkabala na Mlimani City, Dar es Salaam.
#0756 942 306

SPARTIAL POLYCLINICAsemavyo daktari wetu“Mikono Michafu Huua Kimya Kimya, Osha Mikono yako kwa Sabuni na Maji Safi Tirir...
23/07/2025

SPARTIAL POLYCLINIC

Asemavyo daktari wetu

“Mikono Michafu Huua Kimya Kimya, Osha Mikono yako kwa Sabuni na Maji Safi Tiririka Mara kwa Mara”

Tunapatikana Katika Jengo la Mlimani Tower, Ghorofa ya 3, Makabala na Mlimani City.

Karibu Tukuhudumie

Nafasi ya Kazi
22/07/2025

Nafasi ya Kazi

Tangazo la nafasi ya Kazi
22/07/2025

Tangazo la nafasi ya Kazi

Asemavyo Daktari wetu!!!
18/07/2025

Asemavyo Daktari wetu!!!

SPARTIAL POLYCLINICEmployment Advert👉🏽POSITION: INTERNAL MEDICINE (SPECIALIST)👉🏽POST 2 (1 full time, 1 Part time)How to ...
18/07/2025

SPARTIAL POLYCLINIC

Employment Advert

👉🏽POSITION: INTERNAL MEDICINE (SPECIALIST)
👉🏽POST 2 (1 full time, 1 Part time)

How to apply:

Submit your application letter and CV to

spartialspecializedpolyclinic@gmail.com

or Hardcopy to the Hospital, located at Mlimani Tower Building, 3rd Floor, Opp. Mlimani City Mall, Along Sam Nujoma Road, Dar es Salaam.

SPARTIAL SPECIALIZED POLYCLINIC🌸 JE UNAPATA MAUMIVU WAKATI WA HEDHI? USIYAVUMILIE K**A KAWAIDA!📍 Huduma bora sasa inapat...
17/07/2025

SPARTIAL SPECIALIZED POLYCLINIC

🌸 JE UNAPATA MAUMIVU WAKATI WA HEDHI? USIYAVUMILIE K**A KAWAIDA!

📍 Huduma bora sasa inapatikana katika Hospitali yetu.

🩺 Maumivu ya hedhi (Dysmenorrhea) yanaweza kuwa ishara ya:
✔️ Mzunguko wa hedhi usio wa kawaida
✔️ Homoni kutokuwa sawa
✔️ Magonjwa ya mfumo wa uzazi k**a vile endometriosis
✔️ Matatizo ya kizazi au mirija ya uzazi

🔍 Tunatoa:
✅ Vipimo vya kitaalamu (Ultrasound, Hormonal tests)
✅ Ushauri na matibabu kutoka kwa madaktari wa wanawake
✅ Suluhisho salama na lenye ufanisi
✅ Faragha na heshima kwa kila mteja

👉 Afya ya uzazi ni sehemu ya maisha yako – jali mwili wako leo!

Tunapatikana Katika Jengo la Mlimani Tower, Ghorofa ya 3, Mkabala na Mlimani City Mall.

Karibu, Tukuhudumie!!

SPARTIAL SPECIALIZED POLYCLINIC🩸 HUDUMA MPYA: MASHINE YA HAEMATOLOGY SASA INAPATIKANA!Tunayo furaha kuwajulisha wateja w...
16/07/2025

SPARTIAL SPECIALIZED POLYCLINIC

🩸 HUDUMA MPYA: MASHINE YA HAEMATOLOGY SASA INAPATIKANA!

Tunayo furaha kuwajulisha wateja wetu kuwa sasa tunatumia Haematology Analyzer ya kisasa kwa vipimo vya damu!

🔬 Inafanya uchunguzi wa:
✔️ FBP (Full Blood Picture)
✔️ Hemoglobin
✔️ WBC, RBC, Platelets
✔️ Na vipimo vingine vya damu kwa usahihi wa hali ya juu

✅ Vifaa vya kisasa vya kidijitali
✅ Majibu ya haraka
✅ Usahihi wa hali ya juu
✅ Huduma bora kwa bei nafuu

Tunapatikana Katika Jengo la Mlimani Tower, Ghorofa ya 3, Mkabala na Mlimani City.

Karibu tukuhudumie

SPARTIAL SPECIALIZED POLYCLINIC 🩸 JE, UMECHOKA BILA SABABU?📍 Fanya FBP – Full Blood Picture sasa🔬 FBP ni uchunguzi wa da...
14/07/2025

SPARTIAL SPECIALIZED POLYCLINIC

🩸 JE, UMECHOKA BILA SABABU?
📍 Fanya FBP – Full Blood Picture sasa

🔬 FBP ni uchunguzi wa damu unaosaidia kugundua:
✔️ Upungufu wa damu (Anemia)
✔️ Maambukizi mwilini
✔️ Hali ya seli nyekundu, nyeupe na chembe sahani
✔️ Mabadiliko ya kiafya kabla hayajawa makubwa

✅ Matokeo ya haraka
✅ Vifaa vya kisasa
✅ Huduma bora kwa bei nafuu

Tunapatikana, Katika Jengo la Mlimani Tower, Ghorofa ya 3, Mkabala na Mlimani City. Karibu Tukuhudumie

SPARTIAL SPECIAL POLYCLINIC 📢 HUDUMA MPYA: ECHO (Ultrasound ya Moyo) 🫀Sasa inapatikana katika 🩺 Je, unahisi: • Kizunguzu...
10/07/2025

SPARTIAL SPECIAL POLYCLINIC

📢 HUDUMA MPYA: ECHO (Ultrasound ya Moyo) 🫀
Sasa inapatikana katika

🩺 Je, unahisi:
• Kizunguzungu?
• Mapigo ya moyo kuwa kasi au polepole?
• Maumivu ya kifua au kushindwa kupumua?

Usichelewe! Fanya uchunguzi wa Echo ujue hali ya moyo wako mapema 💓

✅ Madaktari bingwa
✅ Vifaa vya kisasa
✅ Huduma bora kwa bei nafuu

📍 Tunapatikana: Mlimani Tower, Ghorofa ya 3, Mkabala na Mlimani City, DSM
📞 Piga sasa: 0756 942 306

👉 Njoo ujali moyo wako – Afya ni mtaji wako!

SPARTIAL SPECIALIZED POLYCLINIC🩺 TANGAZO MAALUM – HUDUMA YA ECHO (ULTRASOUND YA MOYO) SASA INAPATIKANA! 🩺Tunayo furaha k...
10/07/2025

SPARTIAL SPECIALIZED POLYCLINIC

🩺 TANGAZO MAALUM – HUDUMA YA ECHO (ULTRASOUND YA MOYO) SASA INAPATIKANA! 🩺

Tunayo furaha kuwataarifu wateja wetu kwamba huduma ya Echocardiography (ECHO) sasa inapatikana katika kituo chetu!

🔍 Huduma hii ni muhimu kwa:
• Kugundua matatizo ya moyo mapema
• Kupima ukubwa wa moyo na uwezo wake wa kusukuma damu
• Kuchunguza magonjwa ya valve za moyo
• Kufuatilia maendeleo ya matibabu ya moyo

💡 Faida ya kufanya Echo kwetu:
✅ Vifaa vya kisasa na vya uhakika
✅ Madaktari bingwa wa moyo
✅ Huduma ya haraka na kwa wakati
✅ Gharama nafuu na rafiki

📞 Wasiliana nasi kwa miadi au maelezo zaidi:
📱 Simu: 0756 942 306
📍 Tunapatikana: Mlimani Tower, Ghorofa ya Tatu Mkabala na Mlimani City, DSM

SPARTIAL SPECIALIZED POLYCLINICTatizo la Afya ya Akili halina Taarifa na ni Sehemu ya afya yako kwa ujumla, Katu usilipu...
09/07/2025

SPARTIAL SPECIALIZED POLYCLINIC

Tatizo la Afya ya Akili halina Taarifa na ni Sehemu ya afya yako kwa ujumla, Katu usilipuuzie Onana na Mtaalamu wa Saikolojia kwa Ushauri Tiba”

Tunapatikana katika Jengo la Mlimani Tower, Ghorofa ya Tatu Mkabala na Mlimani City.

Njoo ukutane na Daktari Bingwa wa ushauri Nasaha na Saikolojia.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 08:00 - 20:00
Sunday 08:00 - 20:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Spartial Health Specialized Polyclinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Spartial Health Specialized Polyclinic:

Share

Our Story

COMPANY PROFILE Spartial Health Service Ltd (SHSL) was incorporated in Tanzania under certificate of incorporation number 87908 dated 05 December 2011. SHSL is essentially a health consulting company in areas of Gynaecology, general medicine and research in health associated issues. The company owns and operated SPARTIAL HEALTH SPECIALIZED POLYCLINIC LOCATION SPARTIAL SPECIALIZED POLYCLINIC is located at 3rd FLOOR, MLIMANI TOWER ALONG SAM NUJOMA ROAD; OPPOSITE MLIMANI CITY MALL LEGAL STATUS Spartial Health Service Ltd is a company registered in Tanzania under the Company’s Act Cap 212, with certificate of incorporation number 87908 of date 05 December 2011, and certificate of registration for Tax Identification Number (TIN) 115-992-414 of date 09 January 2012 and is licensed with relevant authorities.

SPARTIAL SPECIALIZED POLYCLINIC is registered by Private Health facilities Advisory Board. COMPETENCIES Spartial Health Service Ltd is endowed with a competent team of consultants which makes it to be among the most competitive in health related issues. Below are profiles of some of the consultants.