07/03/2025
IKIWA HUWEZI KUPATA MIMBA, JIULIZE MASWALI YAFUATAYO.👉Je mzunguko wa siku zako upo sawa?👉Je unapata miwasho baada ya tendo k**a moto 👉Je unapata maumivu makali ya tumbo wakati wako wa hedhi?👉Je una saratani ya shingo ya kizazi?👉Je unasikia maumivu ya tumbo chini ya kitovu upande wa kulia na kushoto?👉Je unatokwa na uchafu ukeni?👉Je, siku zako ndivyo zinavyopaswa kuwa? Kwa maneno mengine, mzunguko wa siku zako ni sahihi?👉Je unasikia maumivu wakati wa tendo la ndoa?👉Je unapata ukavu wakati wa kufanya mapenzi?👉Unakosa hisia za ndoa?👉Je unatokwa na uchafu ukeni siku zisizo salama (ovulation days)?👉Je, tayari umejifungua?👉Je, umewahi kuugua P.I.D (maambukizi ya bakteria kwenye shingo ya kizazi)?Ikiwa jibu ni ndiyo kwa sababu yoyote kati ya zilizotajwa hapo juu, hiyo ndiyo sababu inayokuzuia kupata mimba.Una tatizo gani linalokusumbua? Niambie sasa!