
03/04/2024
TATIZO LA MWANAMKE KUBLEED KWA MDA MREFU.
Tatizo hili la Mwanamke kubleed kwa muda mrefu limekuwa likiwasumbua wanawake wengi sana kwa hivi sasa na huku wengine mbali na kubleed muda mrefu pia wanapata matatizo mengine k**a vile;
Kupata maumivu makali ya tumbo
mzunguko mzima wa hedhi kutokueleweka kabsa. Mfano; mara apitishe miezi miwili bila kuona siku zake, mara aone mara mbili ndani ya mwezi Mmoja N.k
Ni Muda gani tunasema Mwanamke ana tatizo la kubleed kwa muda mrefu
Tunasema mwanamke ana tatizo la kubleed kwa muda mrefu, hasa pale period inapotoka kwa zaidi ya Siku Saba Mfululizo. Hilo ni tatizo…
SABABU ZA MWANAMKE KUBLEED KWA MUDA MREFU NI PAMOJA NA;
1. Matumizi ya Njia mbali mbali za Uzazi wa mpango k**a Sindano au Vipandikizi, ambapo huchangia shida ya Mvurugiko wa Vichocheo vya mwili,ndipo mwanamke hupata matokeo mbali mbali k**a vile;
kwa Muda mrefu mfululizo,
period isiyoeleweka(Irregular menstrual period),
muda mrefu pasipo kuona siku zake, N.K
2. Tatizo la Damu kushindwa kuganda ambapo kwa kitaalam hujulikana k**a Coagulopathy,
Hali hii ya damu kushindwa kuganda husababisha damu kutoka Mfululizo bila kukata.
3. Kupatwa na shida ya Uvimbe ndani ya kizazi ambapo mbali na kupata dalili za kublid kwa Muda mrefu pia mwanamke huweza kupata bleed au kuona siku zake mara mbili ndani ya mwezi mmoja.
4. Mvurugiko wa vichocheo vya mwili ambao huchangiwa na Sababu mbali mbali k**a vile;
ya baadhi ya njia za uzazi mpango,
ya baadhi ya Dawa ambazo huhusisha kurekebisha vichocheo vya mwili au Hormones,N.K.
Shida hii ya Mwanamke kubleed kwa muda mrefu inatibika kabisa k**a ukipata tiba sahihi.
Je! Wewe ni muhanga wa TATIZO HILI???
Call/Whatsap no, 0658169506