
11/03/2025
𝗝𝗘,𝗪𝗔𝗝𝗨𝗔 𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗨𝗡𝗔𝗪𝗘𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗧𝗜𝗕𝗨 𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗟𝗔 𝗩𝗜𝗨𝗡𝗚𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗜𝗙𝗨𝗣𝗔 𝗕𝗜𝗟𝗔 𝗨𝗣𝗔𝗦𝗨𝗔𝗝𝗜...????
Leo Nina habari njema kwako.
𝗧𝗨𝗠𝗜𝗔 𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜𝗔 𝗜𝗦𝗜𝗬𝗢 𝗡𝗔 𝗞𝗘𝗠𝗜𝗞𝗔𝗟𝗜 𝗞𝗨𝗠𝗔𝗟𝗜𝗭𝗔 𝗞𝗔𝗕𝗜𝗦𝗔 𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗟𝗔𝗞𝗢.
𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 𝗭𝗔 𝗩𝗜𝗨𝗡𝗚𝗢 𝗞𝗨𝗦𝗔𝗚𝗔𝗡𝗔
1 . 𝗠𝗔𝗚𝗢𝗧𝗜 maumivu kwenye magoti magoti kushindwa kujikunja kusikia milio ya mifupa kugusana kwenye magoti kushindwa kupanda ngazi Kwa urahisi.
𝟮 .𝗠𝗚𝗢𝗡𝗚𝗢/𝗨𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗚𝗢𝗡𝗚𝗢 maumivu kwenye MGONGO kushindwa kuinama kusikia maumivu makali wakati wa kuinama kusikia Ganzi kwenye mapaja au miguuni.
𝟯.𝗕𝗘𝗚𝗔 kushindwa kunyanyua mkono na kusikia maumivu makali kwenye bega .
𝗩𝗜𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗜𝗦𝗛𝗜 𝗩𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗨𝗠𝗜𝗩𝗨 𝗬𝗔 𝗩𝗜𝗨𝗡𝗚𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗜𝗙𝗨𝗣𝗔
Uzito uliopindukia Ajali Historia ya familia kutumikisha viungo kupita kiasi mfano wanamichezo,wanamazoezi n.k
𝗠𝗔𝗗𝗛𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗩𝗜𝗨𝗡𝗚𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗜𝗙𝗨𝗣𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗔𝗚𝗔𝗡𝗔
1 .Kupata maumivu makali sana kwenye viungo (magoti,bega,kiuno,nyonga,mgongo )
2 .kupoteza viungo mfano mguu na mkono
3. kufanyiwa upasuaji
𝗪𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗜𝗠𝗜 𝗟𝗘𝗢 𝗨𝗣𝗔𝗧𝗘 𝗦𝗨𝗥𝗨𝗛𝗜𝗦𝗛𝗢...
0754444428