13/11/2025
Are you curious to understand more on: Mental health awareness; Stress management; and Work life balance?
Mental Health Tanzania (MHT), is organising the workshop to equip you with skills to manage stress in daily basis, at work or business and understanding how to take care of your mental health!
When: 29/11/2025 from 4pm to 6pm
Venue: Rock Beach - Mwanza
Only just pay 20,000Tsh. Limited seats! Pay through Mpesa: 0742501501 Name: Mental Health Tanzania
Karibu
Je, unataka kuelewa zaidi kuhusu Afya ya Akili, Udhibiti wa Msongo wa Mawazo, na uwiano kati ya Kazi na Maisha?
*Mental Health Tanzania (MHT)* inakualika kushiriki *warsha maalum* itakayokupa ujuzi wa kudhibiti msongo wa mawazo katika maisha ya kila siku, kazini au katika biashara, na kuelewa namna bora ya kujitunza kiakili.
🗓 *Tarehe:* 08/11/2025
🕓 *Muda:* Kuanzia saa 10:00 jioni hadi saa 12:00 jioni
📍 *Mahali:* Rock Beach – Mwanza
💰 *Gharama:* Tsh 20,000 tu
(*Nafasi ni 25 tu!*)
Lipa kupitia *M-Pesa:*
📞 0742501501
👤 *Jina:* Mental Health Tanzania
*Karibu sana — Jitunze, Jifunze, na Uwe na Afya Bora ya Akili!*