
09/03/2024
πππ( ππππππ πππ
πππππππππ πππππππ)
πHaya ni maambukizi ya bakteria wabaya kwenye mfumo wa uzazi wa mwanamke.
πMaambukizi haya hupelekea uharibifu mkubwa kwenye mfuko wa uzazi wa uzazi, mirija ya uzazi au sehemu nyingine za uzazi wa mwanamke pia ni chanzo cha ugumba.
ππππππ ππ ππππππππππ ππππππ ππ
πππ ππ πππππ ππ ππππππππ( PID)
βMaumivu makali ya nyonga, tumbo au chini ya kitovu.
βKutoka maji maji yasiyo ya kawaida yenye harufu mbaya.
βKutoka maji maji yasiyo ya kawaida baada ya kufanya tendo la ndoa au baada ya kuingia hedhi.
βMaumivu makali wakati wa kufanya tendo la ndoa.
β Homa kali
β Maumivu kipindi cha kukojoa, kukojoa mara kwa mara, kukojoa kwa shida.
βMaumivu makali chini ya kitovu, kichefuchefu, kutapika, homa kali kupita kiasi.
β Kutokwa na uchafu sehemu ya siri wa rangi ya maziwa mtindi, kijani au mweupe unaoambatana na harufu kali.
πππππππ ππ πππ
βKupata ugumba na kupata utasa.
β Kukosa kujiamini.
β Mimba kutoka.
βkuharibu mfumo wa uzazi.
β Kuvurugika kwa homoni na mtu huanza kupata hedhi isiyo na mpangilio.
βKati ya wanawake 10 waliathiriwa na PID, Mmoja anakuwa tasa kwasababu ya PID hupelekea makovu kwenye mirija ya uzazi.
βKutofurahia tendo la ndoa.
KWA USHAURI NA TIBA
πΉπΏ 0686 071 911