TIBA MBADALA.Tz

TIBA MBADALA.Tz TIBA MBADALA.Tz ni Ukurasa wa Afya Unaolenga kusaidia Jamii dhidi ya changamoto mbali mbali za Afya

Unasumbuliwa na Ge***al warts?Njoo SASA kituoni Kupata Matibabu na Vipimo Zaidi ili kujikinga Na Saratani
25/04/2024

Unasumbuliwa na Ge***al warts?
Njoo SASA kituoni Kupata Matibabu na Vipimo Zaidi ili kujikinga Na Saratani

OFA ndani ya OFA Dawa ya kusafisha Na Kulinda Kinywa dhidi ya Maradhi inapatikana kwa 10,000/=tsh.Dawa ni ya Kisasa yeny...
25/04/2024

OFA ndani ya OFA
Dawa ya kusafisha Na Kulinda Kinywa dhidi ya Maradhi inapatikana kwa 10,000/=tsh.

Dawa ni ya Kisasa yenye viambata Vya Asilia, kuipata Dar es salaam na Mikoani
Usafiri Juu yako

🧑‍⚕️Ili Kuwa Na Afya NjemaUnahitaji:-¹Huduma Bora Ya Vipimo Kujua Afya Yako,²Huduma Bora za Matibabu Kutibu Matatizo Yak...
23/04/2024

🧑‍⚕️Ili Kuwa Na Afya Njema
Unahitaji:-
¹Huduma Bora Ya Vipimo Kujua Afya Yako,
²Huduma Bora za Matibabu Kutibu Matatizo Yako Ya Afya.

TIBA MBADALA.Tz kwa Kujali Hilo Imekuletea OFA Ya Huduma Ya Vipimo Na Matibabu Karibu Yako.
Vipimo Ni Vya Mwili Mzima kwa 20,000/= Tu.
Ambapo Hautokaa Foleni Wala Kuzungushwa Kupata Huduma, Kukuona Daktari, Kusomewa Vipimo Na Kupata Matibabu.
Hii Utakipata Kwenye Kituo Cha Jirani Yako,
Magonjwa K**a:
¹Magonjwa Sugu
²Magonjwa Ya Mlipuko
³Magonjwa Ambukizi
⁴Magonjwa Ya Kimfumo
Jinsia zote.
Majibu Ndani Ya Dakika 30 Baada Ya Vipimo.

OFA Ya Huduma Hii Ni Kwa Siku 30 Tu.
Ili Kupata Huduma Hii Kokote Nchini Tanzania....👇
📞+255 61347 1877
✍️ tibambadala.tz@gmail.com

👋 Wewe NI Muanga Wa Afya Ya Uzazi?¹Unashindwa Kupata Mtoto,²Unashindwa Kufurahia Tendo na Unapata Maumivu Wakati Wa Tend...
22/04/2024

👋 Wewe NI Muanga Wa Afya Ya Uzazi?
¹Unashindwa Kupata Mtoto,
²Unashindwa Kufurahia Tendo na Unapata Maumivu Wakati Wa Tendo,
³Utokwa Na Ute Mchafu Na Hafuru Mbaya Ukeni,
⁴Unapitia Maumivu Ya Tumbo, Wakati Wa Hedhi Na Nje Ya Wakati Wa Hedhi,
⁵Unashindwa Kumpa Mwanza Wako, Ujauzito,
⁶Unashindwa Kuendelea Tendo, Baada Ya Kufika Mshindo,
⁷Unaupungufu Wa Hamu Ya Tendo,
⁸Unauvimbe Wa Kizazi,

Usijali TIBA MBADALA.Tz ni suluhisho lako,
Tunakufanyia Vipimo Vya Kiutafiti ili kujua Tatizo Lako Na Kiasi Cha Madhara Yake, Kisha Tutakutibiq Kwa Dawa Bila Upasuaji, Kuondoa Tatizo Lako Kwa Kuanzia Chanzo Cha Tatizo Kabisa.

UTI na PID kwetu Unapona kabisa.

Kupata Huduma Hii Dar es salaam na Mikoani:-
📞+255-613-471-877
✍️ tibambadala.tz@gmail.com

Huduma ni Ya Haraka Na Uhakika
Karibu 🤝

🫵 Baada Ya Kuamka: 1. Kunywa Maji, Angalau Glass Moja. Hakikisha Maji Ni Safi Na Salama. 2. Nenda Haja, Ikiwezekana kubw...
17/04/2024

🫵
Baada Ya Kuamka:
1. Kunywa Maji, Angalau Glass Moja. Hakikisha Maji Ni Safi Na Salama.
2. Nenda Haja, Ikiwezekana kubwa na Ndogo.
3. Fanya Mazoezi,Siyo Lazima Yawe Magumu.
4. Tazama Jua, Linavyo Chomoza, Dakika Tano Zinatosha.
5. Safisha KinywaOndoa Mabaki Ya Vyakula Na Safisha Kwa Uangalifu,Bila Kuumiza Fizi, Hakikisha Ulimi Unakuwa Safi.
Tumia Dawa Na Maji Yasiyo Na Fluoride
6. Safisha Mwili,Tumia Maji Safi, Ya Baridi Ni Bora Zaidi.
7. Kunywa Chai,Weka kitu Chamoto Tumboni
8.Nenda kwenye Majukumu Yako 🤗

👨🏽‍⚕ TIBA MBADALA Tz

Kwa Zaidi Ya Asilimia 80 Ya Matatizo Ya Afya Africa Utibiwa Bila Kuzingatia Matokeo Hasi Yanayoweza Kujitokeza,Asilimia ...
16/04/2024

Kwa Zaidi Ya Asilimia 80 Ya Matatizo Ya Afya Africa Utibiwa Bila Kuzingatia Matokeo Hasi Yanayoweza Kujitokeza,
Asilimia Kubwa Ya Watanzania Ni Waanga Wa Tatizo Hili Sugu.

Kuwa Na Afya Bora Ni Muhimu Binafsi Na Kwa Taifa Pia, Hivyo Ni Muhimu Kuelekezana Na Kushauriana Njia Sahihi Za Kuwa Na Afya Kupitia Njia Mbali mbali Kutumia Wataalamu Wa Sekta Husika.

1.K**a Unapitia Maradhi Fulani Fulani Na Unahitaji Suluhisho La Kudumu,
2. K**a Unapitia Changamoto Ya Maradhi Yanayo Jirudia rudia,
3. K**a Unahitaji Huduma Bora Ya Uhakika Na Haraka Ya Matibabu,
👇
📞+255-61374-1877
✍️ tibambadala.tz@gmail.com
Leo
TIBA MBADALA.Tz suluhisho la Afya Yako na Jamaa zako

Karibu TIBA MBADALA.Tz kwa Huduma Bora na Nafuu za Afya
16/04/2024

Karibu TIBA MBADALA.Tz kwa Huduma Bora na Nafuu za Afya

Address

Dar Es Salaam
16113

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TIBA MBADALA.Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to TIBA MBADALA.Tz:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram