
10/04/2024
Pelvic inflammatory disease (PID)
Haya ni Maambukizo kwenye via vya uzazi PID imekuwa ikiwasumbua sana wanawake wengi hawajui wamepataje PID
Nikwambie tu ukweli leo ukishatoa mimba yani umefanya (abortion ) tayari haijalishi ni kwa njia ngani ulitumia kutoa mimba mimba na kwa muda gani
Kinachofuaata kwa asilimia kubwa ya wanawake wengi japo siyo wote ni kupata maambukizo kwenye via vya Uzazi PID (pelvic inflammatory disease)
Katika moja ya sababu kubwa kutajwa kusababisha wanawake kuambikizwa PID ni Kutoa mimba na Vimelea aina ya Neisseria Gonorhoere Chlamydia Trachomatis ndivyo vinavyo ongoza kusababisha PID Ukishatoa mimba
Japo kunazo sababu zingine zinazoweza changia kupata PID k**a kufanya
1️⃣ Ngono zembe
2️⃣ Matumizi ya uzazi wa mpango
3️⃣ Kukaa na infection kwa mda mrefu
k**a U.T.I sugu na fangasi
4️⃣ maambukizo mara baada ya kujifungua
5️⃣ matumizi ya s*x toy
Asilimia kubwa ya wanawake wanaogua PID waliwai toa mimba hio ni fact natural (ukweli wa asili)
Nipigie upate suluhisho la tatizo lako
Call/Whatsapp
🤙0775682278
https://wa.me/message/YJYDULAJXG6RF1