Chakula Ni Dawa

Chakula Ni Dawa Niulize kuhusu Bidhaa za Mirracell, Afya, Tiba na Lishe.

Shirika la Afya  duniani wanasemaIli uwe  na Afya njema  ukizingatia haya70% Lishe Bora20% Mazoezi10% Daktari
12/12/2024

Shirika la Afya duniani wanasema
Ili uwe na Afya njema ukizingatia haya
70% Lishe Bora
20% Mazoezi
10% Daktari

Maambukizi kwenye via vya uzazi,Bacteria wabaya,Fungus,Virus.Uchafu Husababisha mtu kutokwa na harufu mbaya. Tuna suluhi...
10/12/2024

Maambukizi kwenye via vya uzazi,
Bacteria wabaya,
Fungus,
Virus.
Uchafu
Husababisha mtu kutokwa na harufu mbaya.
Tuna suluhisho kabisa kwa changamoto hizi.

09/12/2024

Je, unasumbuliwa na uvimbe usio wa kawaida mwilini? Usipuuzie! Uvimbe unaweza kuwa hatari kwa afya yako, na madhara yake ni makubwa:

Maumivu makali: Uvimbe huchangia maumivu ya muda mrefu yanayodhoofisha maisha yako ya kila siku.

Kuzuia mzunguko wa damu: Uvimbe unaweza kuzuia mtiririko wa damu kwenye viungo muhimu vya mwili.

Kudhoofisha viungo: Uvimbe unaweza kuathiri utendaji wa viungo k**a ini, figo, au mapafu.

Hatari ya magonjwa sugu: Ikiwa hautapata suluhisho mapema, uvimbe unaweza kusababisha matatizo makubwa zaidi k**a saratani au maambukizi.

USISUBIRI HALI IZIDI KUWA MBAYA!
Pata Tiba na Lishe bora kutoka kwa wataalamu wenye uzoefu. Tunatoa njia salama na za uhakika za kuondoa uvimbe na kurejesha afya yako. Afya yako ni kipaumbele chetu!

Tutafute tukuhudumie hili tatizo limalizike.Tunao mpango madhubuti kuhudumia  changamoto hii.
09/12/2024

Tutafute tukuhudumie hili tatizo limalizike.
Tunao mpango madhubuti kuhudumia changamoto hii.

Ulaji vyakula visivyo sahihi Visivyokuwa vya nyuzinyuziNa kukosa mpangilio wa kula na unywaji wa maji ya kutosha,Husabab...
09/12/2024

Ulaji vyakula visivyo sahihi
Visivyokuwa vya nyuzinyuzi
Na kukosa mpangilio wa kula na unywaji wa maji ya kutosha,
Husababisha kutopata mmeng'enyo wa chakula na kukosa choo.

Madhara yake kujaa kwa tumbo, kukosa raha,
Utumbo kujisokota ,harufu mbaya mwilili na mdomoni.

Suluhisho la Halifax hii limepatikana
Usitaabike tena.
Chakula ni dawa kutakumalizia tatizo lako tutafute sasa tukupe tiba bora, lishe bora na ushauri wa kitaalamu ili kutatua tatizo lako.

Kukosa choo kwa siku moja au zaidi ni hatari kubwa kwa afya yako! Usipuuzie, madhara ni makubwa:Sumu mwilini kuongezeka:...
09/12/2024

Kukosa choo kwa siku moja au zaidi ni hatari kubwa kwa afya yako! Usipuuzie, madhara ni makubwa:

Sumu mwilini kuongezeka: Huathiri viungo muhimu k**a ini na figo.

Tumbo kujaa na maumivu makali: Hukufanya usistarehe na kupunguza ubora wa maisha yako.

Hatari ya majeraha: Vidonda na kupasuka kwa njia ya haja kubwa ni matokeo ya kukosa choo mara kwa mara.

Saratani ya utumbo: Uchafu ukikaa muda mrefu mwilini, huongeza hatari ya magonjwa makubwa.

USIRUHUSU HALI HII IENDELEE!
Kampuni ya CHAKULA NI DAWA inakuletea suluhisho la kiafya kwa kutumia lishe bora inayosaidia mwili kufanya kazi zake kikamilifu. Tunahakikisha unapata choo kwa urahisi na kuboresha mfumo wako wa mmeng'enyo wa chakula.

🌱 Jali afya yako leo – chakula ni tiba yako ya kwanza!

14/09/2024

*ZABURI 18:31*

ZIJUE KAZI ZA FIGO MWILININi kiungo muhimu sana mwilini kazi yake  ni k**a Giabox ya kwenye gari Inachuja Damu na kutoa ...
22/08/2024

ZIJUE KAZI ZA FIGO MWILINI

Ni kiungo muhimu sana mwilini kazi yake ni k**a Giabox ya kwenye gari

Inachuja Damu na kutoa taka zote na sumu kwenye Damu

Figo inachuja Damu Lita 185 kwa siku

Kila dakika inachuja nusu kikombe.

Inatoa taka kwa njia ya mkojo

Inasawazisha presha ya damu inayosafirishwa kwenda kwenye Ingini ya mwanadamu ambayo ni moyo.

Endelea kufuatilia page hii kupata mwendelezo wa hii elimu.

PONYA NA UIMARISHE FIGO ZAKO Figo ni chujio lenye muunganiko wa mamilioni ya vichujio vingi vidogo vidogo. Matatizo na m...
17/08/2024

PONYA NA UIMARISHE FIGO ZAKO

Figo ni chujio lenye muunganiko wa mamilioni ya vichujio vingi vidogo vidogo. Matatizo na magonjwa huanza pale figo zinaposhindwa kuchuja. Ukisafisha chujio zote za figo, magonjwa na matatizo yote yanaondoka mwilini mwako.
Ugonjwa wa figo ni biashara kubwa sana duniani, usitegemee tangazo kutoka kwenye vyombo husika kuhusu dawa ya kuponya figo.

SULUHISHO LA KUDUMU

Kwa yeyote yule mwenye matatizo ya figo na magonjwa mengine...tumekuandalia mpangilio wa vyakula (Meal Plan) na bidha za kukusaidia kuondokana na ugonjwa wa figo na maradhi mengine yaliyopo mwilini mwako. Bidha hizo ni mjumuiko wa mimea, vyakula na matunda, vyote kwa pamoja ni zaidi ya 78. Siyo chungu ni tamu, utamu wake umetokana na matunda.

Katika mpangilio wa vyakula, tumeorodhesha vyakula vyote unatakiwa kula kutokana na group lako la damu, kazi yako kubwa ni kwenda sokoni kuvinunua na kupika. Mungu aliuumba mwili wako na uwezo wa Kujikarabati, Kujiponya na Kujiimarisha. Unaumwa kwasababu uwezo huo umepungua. Unapona maradhi yote yaliyopo mwilini mwako kwa sababu uwezo huo umerejea. Uwezo huo unadhohofika au unarejea kutokana na vyakula, unavyokula kila siku.

Mpangilio wa vyakula ukiambatana na bidha hizo tulizotengeneza kwa kuzingatia ubora na usalama wa afya yako: zinaamsha na kurejesha uwezo wa mwili Kujikarabati, Kujiponya, Kujiimarisha na Kuondoa matatizo, maradhi na magonjwa yaliyopo mwilini mwako. Mwili wako unarejeshwa kwenye hali yake ya kawaida, na kuishi bila magonjwa. Inauwezesha mwili Kupunguza kasi ya Kuzeeka, Kufanya ngozi yako ionekane Safi, Maridadi na Changa zaidi. Unazeeka bila magonjwa. Unakaa kwenye utuuzima wako bila magonjwa, ukifurahia uumbaji wa Mungu.

Njia pekee sahihi ya kuondokana na magonjwa yote yasiyo ambukiza mwilini mwako, ni kula vyakula vinavyoendana na kundi lako la damu. Hiyo ndo tiba imara na suluhisho la kudumu dhidi ya magonjwa yote mwilini mwako.

LOCATION
Tunapatikana maeneo ya Mbezi Beach kwa Zena, karibu na Shoppers Plaza, Jengo letu ni Mbezi Beach Plaza, Ghorofa ya Pili. Kwa mawasiliano zaidi : 0686 766 154

karibu tujifunze kuhusu kile tunakula ndiyo kinatufanya tuwe tulivyo sasa.Je wajua kwanini sasa hivi kuna ongezeko kubwa...
17/08/2024

karibu tujifunze kuhusu kile tunakula ndiyo kinatufanya tuwe tulivyo sasa.

Je wajua kwanini sasa hivi kuna ongezeko kubwa la tatizo la ugonjwa wa Figo?

karibu tujifunze kwa pamoja vile chakula chaweza kuwa ni dawa.

Address

Mbezi Beach Plaza
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:30
Tuesday 08:00 - 18:30
Wednesday 08:00 - 18:30
Thursday 08:00 - 18:30
Friday 08:00 - 18:30
Saturday 08:00 - 18:30

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chakula Ni Dawa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share