Afya Bora Pharma Ltd

Afya Bora Pharma Ltd Leading Importer and Distributor of Pharmaceuticals, Surgicals & Antiseptic-Disinfectants in Tanzania

Available at Afya Bora Pharma Limited.
25/11/2023

Available at Afya Bora Pharma Limited.

13/07/2023

Baada ya shughuli za muda mrefu nje, wakati mwingine unaweza kuhisi maumivu ya kichwa, au kuhisi joto lote likikimbilia kichwani mwako na unaweza kupata kiharusi kinachotokana na joto.

Bandika plasta yenye jeli ya kutuliza maumivu kwenye paji la uso wako. Hutuliza maumivu kwa haraka na kukuacha na hisia ya ubaridi kwa hadi saa 8.

Zinapatikana katika maduka yote ya dawa yaliyo karibu nawe.
Kwa maulizo ya kununua kwa bei ya jumla wasiliana nasi kwa +255 699 477 243

Ondokana na maumivu ya kichwa na misuli ukitumia afya Bora ya Capsicum Plaster, plasta zenye dawa ya kutibu maumivu ya h...
28/12/2022

Ondokana na maumivu ya kichwa na misuli ukitumia afya Bora ya Capsicum Plaster, plasta zenye dawa ya kutibu maumivu ya hapa na pale ya misuli na viungo.

Zina gundi imara inayowezesha kuitumia kwa urahisi kila siku.

Zinapatikana katika maduka yote ya dawa yaliyo karibu nawe.
Kwa maulizo ya kununua kwa bei ya jumla wasiliana nasi kwa +255 699 477 243

๐—”๐—ณ๐˜†๐—ฎ ๐—•๐—ผ๐—ฟ๐—ฎ team wishes you a ๐— ๐—ฒ๐—ฟ๐—ฟ๐˜† ๐—–๐—ต๐—ฟ๐—ถ๐˜€๐˜๐—บ๐—ฎ๐˜€.May this day be full of light and laughter.
25/12/2022

๐—”๐—ณ๐˜†๐—ฎ ๐—•๐—ผ๐—ฟ๐—ฎ team wishes you a ๐— ๐—ฒ๐—ฟ๐—ฟ๐˜† ๐—–๐—ต๐—ฟ๐—ถ๐˜€๐˜๐—บ๐—ฎ๐˜€.
May this day be full of light and laughter.

Saidia kuboresha mfumo wako wa kinga utakaokuwezesha uwe na afya bora ukitumia Turmgel kutoka Afya Bora.Turmgel imetenge...
23/12/2022

Saidia kuboresha mfumo wako wa kinga utakaokuwezesha uwe na afya bora ukitumia Turmgel kutoka Afya Bora.

Turmgel imetengenezwa kwa vidonge vya binzari manjano vya asili, visivyo na sukari, ambavyo ni salama kuliwa kila siku. Pia ina mentha ambayo inaweza kupunguza maumivu kwenye koo na kuboresha usafi wa kinywa.

Zinapatikana katika maduka yote ya dawa yaliyo karibu nawe.
Kwa maulizo ya kununua kwa bei ya jumla wasiliana nasi kwa +255 699 477 243

Miongoni mwa plasta zote zinazouzwa madukani, plasta zisizolowana na maji ndilo chaguo pekee linalofaa kwa ulinzi wa maj...
21/12/2022

Miongoni mwa plasta zote zinazouzwa madukani, plasta zisizolowana na maji ndilo chaguo pekee linalofaa kwa ulinzi wa majeraha. Si tu haziwezi kulowana lakini pia zinazuia uchafu na vijidudu hivyo kupunguza uwezekano wa kupata maambukizi.

Plasta Mpya Zisizoweza kulowana na maji kutoka Advasafe zimetengenezwa na teknolojia maalum inayoziwezesha zizuie maji kupenya na kuiwezesha kudumu kwa muda mrefu kwa hadi saa 24.

Zinapatikana katika maduka yote ya dawa yaliyo karibu nawe.
Kwa maulizo ya kununua kwa bei ya jumla wasiliana nasi kwa +255 699 477 243

16/12/2022

Your hair says a lot about you and could influence peopleโ€™s impression on you. Thus, it is important to keep your hair clean from dandruff and healthy.

๐—Ÿโ€™๐—ผ๐—ฝ๐—ฒ๐—ฟ๐—น๐—ฒ ๐—”๐—ป๐˜๐—ถ ๐——๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฟ๐˜‚๐—ณ๐—ณ ๐—ฆ๐—ต๐—ฎ๐—บ๐—ฝ๐—ผ๐—ผ enriched with Neem, Tea Tree, Shikakai & Reetha provides deep yet gentle cleansing, promoting strength, thickness, shine & bounce with moisturizing effect. It is specially formulated to effectively remove dandruff and restore optimum hair and scalp vitality.

Available in all pharmacies near you.
Contact us on +255 699 477 243 for wholesale prices.

Capsicum pepper is used as a medication to treat minor muscle aches and pains. It comes in cream, gel and lotion forms b...
14/12/2022

Capsicum pepper is used as a medication to treat minor muscle aches and pains. It comes in cream, gel and lotion forms but they are messy and can easily get on your clothing.

๐—”๐—ณ๐˜†๐—ฎ ๐—•๐—ผ๐—ฟ๐—ฎ ๐—–๐—ฎ๐—ฝ๐˜€๐—ถ๐—ฐ๐˜‚๐—บ ๐—ฃ๐—น๐—ฎ๐˜€๐˜๐—ฒ๐—ฟ is easy to apply and can be used under clothing. They provide relief using heat from the chilli pepper. They can be cut to desired size if the treating area is small.

Available in all pharmacies near you.
Contact us on +255 699 477 243 for wholesale prices.

Foot corns are uncomfortable and can be very painful. The best way to prevent corns is to keep your feet in good conditi...
09/12/2022

Foot corns are uncomfortable and can be very painful. The best way to prevent corns is to keep your feet in good condition. Choose shoes that fit well and are comfortable to walk in to prevent pressure build up.

If your feet are under pressure, and prone to corns, consider using products specially designed to gently remove them.

We recommended ๐—”๐—ณ๐˜†๐—ฎ ๐—•๐—ผ๐—ฟ๐—ฎ ๐—–๐—ผ๐—ฟ๐—ป ๐—ฃ๐—น๐—ฎ๐˜€๐˜๐—ฒ๐—ฟ, soft adhesive plaster that relieve skin from pressure and soften the skin to gently remove corns.

Available in all pharmacies near you.
Contact us on +255 699 477 243 for wholesale prices.

Address

Plot 002, Mkunguni Street, Kariakoo
Dar Es Salaam
11000

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:30 - 17:00
Sunday 09:30 - 14:00

Telephone

+255699477245

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Bora Pharma Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Bora Pharma Ltd:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram