AFYA FIRST

AFYA FIRST Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AFYA FIRST, Medical and health, dar es salamu, .

Karibu *afya* *kwanza* tunatoa huduma nyingi san na ushauri wa afya kwa wanaume na wanawake je unachangamoto ipi kati ya hizi ?

1 bawasiri
2 nguvu za kiume
3 kutokwa na uchafu ukeni
4 uvimbe kwenye kizazi
5 kupunguza kitambi na uzito
6 mifupa na viungo

12/07/2024
MADHARA AMBAYO UTAWEZA KUYAPATA KWA KUNYONYA SEHEMU ZA SIRI.Kutokana na kukua kwa teknolojia kunyonya sehemu za siri kum...
04/06/2024

MADHARA AMBAYO UTAWEZA KUYAPATA KWA KUNYONYA SEHEMU ZA SIRI.

Kutokana na kukua kwa teknolojia kunyonya sehemu za siri kumekua jambo la kawaida leo nitazungumzia madhara ambayo unaweza kuyapata kwa kufanya hivyo.

Yapo madhara ambayo unawezat kuyapata kwa muda mmfupi na kuna madhara ambayo unaweza kuyapata baada ya muda
Magonjwa ambayo unaweza kuyapata ni yafuatayo:

1.HPV hawa ni virusi ambao husababisha kansa mbalimbali ikiwa ni pamoja na kansa ya koo,kansa ya shingo kizazi ,kansa ya uume,kwa kufanya hivyo hurahisisha kuambukizwa virusi hivyo aina ya HPV.

2.Kisonono na kaswende:Kwa hali ya kawaida magonjwa haya hua ni ya sehem za siri tu lakini kwa kunyonya sehemu za siri waweza sababisha kuhamisha wadudu wasabishao magonjwa hayo

3.Magonjwa ambayo pia yaweza kuambukizwa kwa kunyonya sehemu za siri ni k**a:
1.VVU
2.Virusi vya homa ya ini
3.Klamidia

0753737167

TATIZO LA GOTI. Maumivu, kuvimba kwa Goti, kutoa sauti katika maungio ya goti husababishwa na vyanzo mbalimbali. 🍂Uwepo ...
21/05/2024

TATIZO LA GOTI.
Maumivu, kuvimba kwa Goti, kutoa sauti katika maungio ya goti husababishwa na vyanzo mbalimbali.
🍂Uwepo wa uric acid kwenye MWILI na kujijaza gotini.

🍂Kuisha Kwa UTE.

🍂KUSAGIKA na KULIKA Kwa gegedu.

🍂Kupungua Kwa madini na vitamini muhimu yanayoimarisha na kujenga mifupa ikiwemo Vitamin D.

🍂Uzito kupitia kiasi.

🍂Uambukizo kwenye maungio ya Goti. n.k

MADHARA YA TATIZO.
🔥Goti kutoa sauti.

🔥Kuvimba na kuleta maumivu MAKALI.

🔥Kushindwa kukunja na kunyoosha mguu.

🔥Kushindwa kutembea Kabisa.

🔥Kukosa usingizi kutokana na maumivu na mawazo.

🔥Kushindwa kufanya KAZI yeyote.

💦SULUHISHO LIPO.

🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺MAUMIVU YA KICHWA YA KIPANDA USO (Migraine)Haya ni maumivu ya kichwa ambayo hutokea upande mmoja wa kichwa na ma...
20/05/2024

🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
MAUMIVU YA KICHWA YA KIPANDA USO (Migraine)
Haya ni maumivu ya kichwa ambayo hutokea upande mmoja wa kichwa na mara nyingi
sehemu ya mbele ya kichwa na maumivu haya huweza kusambaa hadi maeneo ya usoni.

🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
Maumivu haya huambatana na mtu kushindwa kufumbua macho (kutazama),
Kichefuchefu, na kupoteza fahamu.
🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
Maumivu hayahuweza kuwa makali kiasi cha
kuhatarisha uhai wa mtu.
🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺

Aina hii ya maumivu ya kichwa mara nyingi hudumu kati ya
dakika, masaa hadi siku 2 au 3, ni mara chache huweza kutokea zaidi ya siku
🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺 0753737167

UHUSIANO KATI YA PRESHA NA KISUKARI.➡️Karibu nusu ya watu wote wanaogunduliwa na ugonjwa wa kisukari wa aina 2 wana shin...
19/05/2024

UHUSIANO KATI YA PRESHA NA KISUKARI.

➡️Karibu nusu ya watu wote wanaogunduliwa na ugonjwa wa kisukari wa aina 2 wana shinikizo la damu. Hali hiyo hutokea kwa 50% ya watu wenye ugonjwa wa sukari na huwaweka watu hawa katika hatari ya ugonjwa wa moyo mara mbili kuliko mtu mwenye Shinikizo la juu la damu (presha) peke yake.

✅Ni Vipi Kisukari Husababisha Presha?

Watu wengi walio na ugonjwa wa sukari mwishowe watakuwa na shinikizo la damu, pamoja na shida zingine za moyo na mishipa ya damu.

✅Kisukari husababisha presha kwa namna mbili zifuatazo.

⏩Aina ya 2 ya kisukari husababishwa na upinzani wa insulini, homoni ambayo mwili wako unahitaji ili kuweza kutumia sukari ya damu k**a chanzo cha nguvu. Kwa kuwa miili ya wale walio na ugonjwa wa kisukari hupinga insulini, sukari huzidi katika damu yao.
Hiyo inasababisha mwili wako utengeneze insulini zaidi, na insulini husababisha mwili wako kubakiza chumvi na maji. Kuongezeka kwa chumvi na maji katika mfumo wa damu huongeza hatari yako ya kupata presha.
Baada ya muda, ugonjwa wa kisukari huharibu mishipa midogo ya damu mwilini mwako, na kusababisha kuta za mishipa ya damu kukak**aa. Hii huongeza shinikizo, ambalo husababisha presha.

⏩Namna ya Kujikinga
Anza matibabu na ufuatiliaji ikiwamo kufanya vipimo MUHIMU kwa;
✅Punguza yale yote yanayosbabisha kuongezeka kwa sukari kwenye damu – vyakula vya wanga, vinywaji vya sukari nk.

✅Ongeza kufanya mambo yanayopunguza Sukari kwenye damu – mazoezi, kuongeza vyakula vyenye faiba nk.

✅Epuka tabia hatarishi k**a kuvuta sigara

✅Vyakula kwa mgonjwa wa presha-kudhibiti shinikizo la damu-presha na kisukari. Ni muhimu kuweka uwiano wa aina ya vyakula ili uweze kudhibiti magonjwa haya.
✅reduce weight( punguza uzito)
✅exercise(fanya mazoezi)

WASILIANA NAMI KWA USHAURI MZURI.
0753737168

18/05/2024

Tatizo la tezi dume kupanuka

Tezi dume hupatikana kwa wanaume tu.Tezi hili likiongezeka kwa ukubwa yaani inapopanuka,hasa kwa wanaume wenye umri wa zaidi ya miaka sitini, hutatiza kukojoa.Ugonjwa huu unazidi kuongezeka duniani kwani watu wanaishi maisha marefu zaidi siku hizi.

Tezi dume ni nini na kazi yake ni nini?

Tezi dumeni kiungo kidogo na ni sehemu moja ya uzazi wa wanaume.Hupatikana chini ya kibofu na mbele ya mwanzo cha njia itoayo mkojo hupitia ndani ya tezi dume.Tezi dume ndiyo hutoa maji yabebayo mbegu (manii)ya mwanaume.

Tezi dume kupanuka

Kupanuka kwa tezi dume ni tatizo la kawaida ambalo halisababishwi na ugonjwa wa saratani(kansa).Huwa ni jambo la kawaida kwa karibu kila mwanaume mzee.Miaka inavyoenda,ndivyo tezi dume huzidi kuwa kubwa; na hufinya njia ya mkojo na kuziba mkojo.Hivyo mkojo hutoka polepole .

Ugonjwa wa kutanuka kwa tezi dume ni ugonjwa wa wanaume wazee.
Dalili za kupanuka kwa tezi dume

Dalili huonekana baada ya umri wa miaka ya hamsini . Karibu wanaume wote wenye umri wa sabini na themanini huwa na tatizo hili.Dalili huanza polepole na kuzidi jinsi miaka inavyoongezeka.Dalili hizi ni k**a zifuatazo:

Kukojoa mara nyingi hasa nyakati za usiku.Hii ni dalili ya mapema sana.
Kulazimika, mara nyingi hasa nyakati za usiku, kutumia nguvu kuanzisha mkojo kutoka. Hata pale mgonjwa anahisi kibofu kimejaa. Hii ni dalili ya mapema sana.
Mkojo kutiririka polepole, hukatikakatika na hutumia nguvu kutoka.
Mkojo kushidwa kutoka hata wakati mtu anapohisi kukojoa.
Mkojo kuendelea kutoka kidogokidogo baada ya kukojoa, matone ya mkojo huendelea kutoka hata baada ya kukojoa hivyo nguo za ndani hulowa.
Kibofu hakiishi mkojo.
Matatizo ya tezi dume iliyotanuka

Tezi dume ikitanuka sana huleta matatizo mengi kwa wagonjwa wengine hali hii isipotibiwa. Matatizo hayo ni k**a yafuatayo:

Mkojo kukosa kutoka kabisa
Wagonjwa wenye tatizo hili lazima wawekewe katheta ili kumimina mkojo.
Madhara kwenye kibofu na figo
Kwa sababu ya kibofu kuwa na mkojo wakati wote, ukuta na misuli yake hupanuka na mwishowe hudhoofika hivi kwamba haiwezi kuzuia mkojo.
Kwa sababu ya kibofu kujaa
mkojo hurudi kwenye figo na mwishowe huharibu figo.
Ugonjwa wa tezi dume husababisha mkojo kutiririka polepole na mtu kukojoa mara nyingi hasa usiku.
Maambukizi na mawe
Kwa sababu kibofu hakimimini mkojo wote kuna hatari kubwa ya maambukizi kwenye njia ya mkojo nakuwa na mawe kwenye kibofu.
Kumbuka
Kutanuka kwa tezi dumehakusababishi ugonjwa wa saratani.
Utambuzi wa kupanuka kwa tezi dume
Historia na dalili zikiashiria uwepo wa hali hii, basi uchunguzi ufuatao hufanywe.https://wa.me/message/7ED3GPEHHWW2L1

AFYA YA UZAZI KWA WANAUMEWanaume wengi wamekumbwa na changamoto hii, sasa hunabudi kuchukua hatua.Fuatana na Mimi asubuh...
09/05/2024

AFYA YA UZAZI KWA WANAUME

Wanaume wengi wamekumbwa na changamoto hii, sasa hunabudi kuchukua hatua.

Fuatana na Mimi asubuhi hii yawezekana hii ikwa suruhisho lako hata ikawa ukombozi wa rafiki na jamaa zako.

*TATIZO LA AFYA YA UZAZI NA UTENDAJI WAKE & TATIZO KATIKA UZALISHAJI BORA KWA AFYA YA UZAZI KWA WAUME*

*MBEGU ZA KIUME DHAIFU*

Mbegu za kiume dhaifu au chache, hizi Ni mbegu ambazo huwa nyepesi na mala nyingi huwa Zina maji mengi na haziwezi kutungisha Mimba.

VISABABISHI VYA MBEGU ZA KIUME KUWA DHAIFU AU CHACHE
👉Ulaji mbovu wa chakula ambavyo havina madini muhimu hasa ya Zink, Selenium, Vitamin E, Folic Acid, Vitamin B12, Vitamin C
👉Kuwepo kwa sumu Mwilini
👉Kujichua(punyeto)
👉Joto kali kupita kiasi
👉Mafadhaiko(Stress)
👉Unywaji wa pombe uliokithiri
👉Vinywaji vyenye sumu au kemikali na homones

DALILI ZA MBEGU ZA KIUME KUWA DHAIFU AU CHACHE
👉Mbegu kuwa nyepesi
👉Mbegu zikiingia ukeni hazikai, baada ya dakika chache mwanamke anaanza kuhisi mbegu kutokana kwa Njia ya kuchurizika K**a maji
👉Mwanamke hashiki mimba kwa haraka
👉Hazina uwezo wa kuogelea ukeni hufia njiani
👉Hutoka chache na nyepesi K**a maji
👉Huwa na rangi nyeupee

UTAZIJUAJE MBEGU ZA KIUME ZILIZO BORA
👉Hutoka nyingi
👉Huwa nzito na kuchelewa kuyeyuka
👉Hutungisha mimba kwa haraka zaidi
👉Zina uwezo wa kuogelea kwa haraka zaidi
👉Huwa na rangi ya gray K**a Maziwa

TAHADHARI
👉Jiepushe na ulaji wa vyakula vya wanga na sukari nyingi Mara kwa Mara
👉Punguza Matumizi ya soda
👉Acha unywaji wa pombe
👉Jiepushe mazoea ya ulaji wa keki na vyakula vya kwenye makopo
👉Jiepushe Kujichua au punyeto

MWANAMKE KUTOSHIKA MIMBA SIO TATIZO LA MWANAMKE, INAWEZEKANA MWANAUME MWENZANGU TATIZO LIPO KWAKO, KWA USHAURI ZAIDI NA TIBA KARIBU TUZUNGUMZE ZAIDI

Tuwasiluane:0753737167

*NYAKATI ZIMEBADILIKA: HAKUNA TENA HAJA YA KUFANYIWA UPASUAJI WA TEZI DUME!*Wale Mabwigwa Wakutibu Tezi Dume Bila Kufany...
04/05/2024

*NYAKATI ZIMEBADILIKA: HAKUNA TENA HAJA YA KUFANYIWA UPASUAJI WA TEZI DUME!*

Wale Mabwigwa Wakutibu Tezi Dume Bila Kufanya Upasuaji, Wamekuandalia Makala Maalum Ya Bure, Itakayokuelekeza Namna Rahisi Ya Kuondokana Na Tatizo La Tezi Dume Bila Kufanyiwa Upasuaji.

Miongoni mwa ishara za mapema kabisa zinazoashiria uwepo wa tatizo la tezi dume ni k**a ifuatavyo …
1. Kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku
2. Upungufu wa nguvu za kiume
3. Maumivu makali wakati wa kukojoa.
4. Kubakiza mkojo kwenye kibofu,
5. Mawe kwenye kibofu, hii ni kutokana na mlundikano wamkojo
6. Figo kujaa maji na kushindwa kufanya kazi vizuri
7. Maumivu Makali ya kiuno na mgongo
8. Pamoja na kushindwa kuuzuia mkojo.

Habari Njema ni kwamba Ndani ya Makala hiyo maalum, utapata ufahamu wa kina kuhusu tatizo la tezi dume, pamoja na maelezo kamili ya namna ya kutumia programu yetu maalum iliyosaidia zaidi ya asilimia 99 ya wanaume ndani na je ya nchi ya Tanzania kupona kabisa matatizo ya tezi dume bila hata kugusa kisu.

Na Kitu kizuri Zaidi, Makala hii utaipata Bure kabisa bila kulipia gharama yeyote,

Ili kuipata makala hii asasahivi, wasiliana nasi kupitia namba 0753737167 na tutakutumia makala hiyo mara moja.

P.S: Usikose fursa hii ya kipekee ya kujiunga na kundi la wanaume waliopona tezi dume bila kufanyiwa upasuaji.

(BP 120/80mmhg normal)*UGONJWA WA PRESSURE (SHINIKIZO LA DAMU ) NA MATIBABU YAKE**Nini maana ya shinikizo la damu*?👉 Ni ...
30/04/2024

(BP 120/80mmhg normal)
*UGONJWA WA PRESSURE (SHINIKIZO LA DAMU ) NA MATIBABU YAKE*

*Nini maana ya shinikizo la damu*?

👉 Ni msukumo wa damu ulio juu kuliko inavyotakiwa kwa muda mrefu. Msukumo wa damu huhitajika mwilini ili kusambaza chakula, oksijeni na kutoa uchafu.

*Shinikizo la damu husababishwa na nini?*

*Vitu vifuatavyo vinaweza kusababisha shinikizo la juu la damu*

- Uvutaji sigara
- Unene na uzito kupita kiasi
- Unywaji wa pombe
- Upungufu wa madini ya potassium
- Upungufu wa vitamin D
- Umri mkubwa
- Ongezeko la kemikali kwenye figo (renin)
- Kushindwa kufanyakazi kwa kichocheo kiitwacho insulin

*Uanishaji wa shinikizo la damu

- Presha ya kawaida

TIBA YA NGUVU ZA KIUME   Upungufu wa Nguvu za kiume ni nini?      Ni muunganiko wa vitu vingi saana ndani yake, ikiwa ni...
26/04/2024

TIBA YA NGUVU ZA KIUME

Upungufu wa Nguvu za kiume ni nini?
Ni muunganiko wa vitu vingi saana ndani yake, ikiwa ni pamoja na kupoteza hamu ya mapenzi , kutosimama kwa uume barabara na kuchelewa kufika kileleni ilikufurahia tendo landoa ,kupoteza wepesi na uchangamfu wa mwili wakati wa tendo la ndoa.

VISABABISHI VYA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
1.magonjwa K**a kisukari na pressure.
2.punyeto(masturbation)
3.uvutaji wa sigara
4.unywaji wa pombe
5.madawa ya kulevya
6.kufanya kazi kupitakiasi
7.msongo wa mawazo
8.kutokunywa maji ya kutosha
9.kutokufanya mazoezi
10.kukosa mumda wa kupumzika

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
1.Uume kuwahi kulegea
2.Kuwahi kufika kileleni mapema baada ya kugusa mlangoni mwa uke
3.mwili kuchoka Sana baada ya tendo la ndoa huambatana na usingizi mzito
4.Kuhisi maumivu makali kwenye korodani baada ya tendo la ndoa.
5.kutokuwa na hisia za kimapenzi na mwenzi wako

MADHARA YA TOKANAYO NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

1.kuogopa kufanya tendo la ndoa na mwenzi wako kwa kuogopa kuaibika
2.msongo wa mawazo
3.Kuugua Tezidume
4.kutokuwa na amani katika Maisha yako yakimahusiano

KARIBUNI INBOX kwa maelezo ya kupata Tiba lishe kwa utatuzi wa tatizo lako
TIBA YA NGUVU ZA KIUME

Upungufu wa Nguvu za kiume ni nini?
Ni muunganiko wa vitu vingi saana ndani yake, ikiwa ni pamoja na kupoteza hamu ya mapenzi , kutosimama kwa uume barabara na kuchelewa kufika kileleni ilikufurahia tendo landoa ,kupoteza wepesi na uchangamfu wa mwili wakati wa tendo la ndoa.

VISABABISHI VYA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
1.magonjwa K**a kisukari na pressure.
2.punyeto(masturbation)
3.uvutaji wa sigara
4.unywaji wa pombe
5.madawa ya kulevya
6.kufanya kazi kupitakiasi
7.msongo wa mawazo
8.kutokunywa maji ya kutosha
9.kutokufanya mazoezi
10.kukosa mumda wa kupumzika

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
1.Uume kuwahi kulegea
2.Kuwahi kufika kileleni mapema baada ya kugusa mlangoni mwa uke
3.mwili kuchoka Sana baada ya tendo la ndoa huambatana na usingizi mzito
4.Kuhisi maumivu makali kwenye korodani baada ya tendo la ndoa.
5.kutokuwa na hisia za kimapenzi na mwenzi wako

MADHARA YA TOKANAYO NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

1.kuogopa kufanya tendo la ndoa na mwenzi wako kwa kuogopa kuaibika
2.msongo wa mawazo
3.Kuugua Tezidume
4.kutokuwa na amani katika Maisha yako yakimahusiano

KARIBUNI INBOX kwa maelezo ya kupata Tiba lishe kwa utatuzi wa tatizo lako

Piga simu sasaTIBA YA NGUVU ZA KIUME

Upungufu wa Nguvu za kiume ni nini?
Ni muunganiko wa vitu vingi saana ndani yake, ikiwa ni pamoja na kupoteza hamu ya mapenzi , kutosimama kwa uume barabara na kuchelewa kufika kileleni ilikufurahia tendo landoa ,kupoteza wepesi na uchangamfu wa mwili wakati wa tendo la ndoa.

VISABABISHI VYA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
1.magonjwa K**a kisukari na pressure.
2.punyeto(masturbation)
3.uvutaji wa sigara
4.unywaji wa pombe
5.madawa ya kulevya
6.kufanya kazi kupitakiasi
7.msongo wa mawazo
8.kutokunywa maji ya kutosha
9.kutokufanya mazoezi
10.kukosa mumda wa kupumzika

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
1.Uume kuwahi kulegea
2.Kuwahi kufika kileleni mapema baada ya kugusa mlangoni mwa uke
3.mwili kuchoka Sana baada ya tendo la ndoa huambatana na usingizi mzito
4.Kuhisi maumivu makali kwenye korodani baada ya tendo la ndoa.
5.kutokuwa na hisia za kimapenzi na mwenzi wako

MADHARA YA TOKANAYO NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

1.kuogopa kufanya tendo la ndoa na mwenzi wako kwa kuogopa kuaibika
2.msongo wa mawazo
3.Kuugua Tezidume
4.kutokuwa na amani katika Maisha yako yakimahusiano

KARIBUNI INBOX kwa maelezo ya kupata Tiba lishe kwa utatuzi wa tatizo lako

Piga simu sasa
Piga simu sasa
TIBA YA NGUVU ZA KIUME

Upungufu wa Nguvu za kiume ni nini?
Ni muunganiko wa vitu vingi saana ndani yake, ikiwa ni pamoja na kupoteza hamu ya mapenzi , kutosimama kwa uume barabara na kuchelewa kufika kileleni ilikufurahia tendo landoa ,kupoteza wepesi na uchangamfu wa mwili wakati wa tendo la ndoa.

VISABABISHI VYA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
1.magonjwa K**a kisukari na pressure.
2.punyeto(masturbation)
3.uvutaji wa sigara
4.unywaji wa pombe
5.madawa ya kulevya
6.kufanya kazi kupitakiasi
7.msongo wa mawazo
8.kutokunywa maji ya kutosha
9.kutokufanya mazoezi
10.kukosa mumda wa kupumzika

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
1.Uume kuwahi kulegea
2.Kuwahi kufika kileleni mapema baada ya kugusa mlangoni mwa uke
3.mwili kuchoka Sana baada ya tendo la ndoa huambatana na usingizi mzito
4.Kuhisi maumivu makali kwenye korodani baada ya tendo la ndoa.
5.kutokuwa na hisia za kimapenzi na mwenzi wako

MADHARA YA TOKANAYO NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

1.kuogopa kufanya tendo la ndoa na mwenzi wako kwa kuogopa kuaibika
2.msongo wa mawazo
3.Kuugua Tezidume
4.kutokuwa na amani katika Maisha yako yakimahusiano

KARIBUNI INBOX kwa maelezo ya kupata Tiba lishe kwa utatuzi wa tatizo lako

Piga simu sasa
https://wa.me/message/7ED3GPEHHWW2L1

24/04/2024

VITAMIN C Chewable Tablets from Bf Pharmaceutical 🇱🇷🇹🇿

Ni kirutubisho kilichotengenezwa katika mfumo wa p**i ndani yake kina MCHANGANYIKO WA VITAMINI C, kwa matumizi ya watoto

KAZI ZAKE:
1).INAONGEZA HAMU YA KULA.

2). INASAIDIA KATIKA UKUAJI WA MIFUPA NA UBONGO.

3). INASAIDIA WATU WENYE MATATIZO YA MACHO KUTOKANA NA VITAMIN C KWA WINGI ILIYO NDANI YAKE.

4).INAONGEZA MADINI YA CHUMA.

5).INASAIDIA UKUAJI WA MIFUPA NA KUONDOA CHANGAMOTO ZA ULEMAVU KWA MTOTO.

6). INAMSAIDIA MAMA MJAMZITO KUKUZA VIZURI KIUMBE TUMBONI KUTOKANA NA WINGI WA MADINI YA CHUMA.

7).INASAIDIA KUSHIKIRIA MJI WA MIMBA MAMA ASIWEZE KUJIFUNGUA KABLA YA WAKATI( MISCARRIAGE)

8).HUSAIDIA watoto ambao viungo vyao VEMEKAKAMAA au KULEGEA sana isivyo kawaida

9).Husaidia Kuimarisha KINGA YA MWILI ya MTOTO na kufanya asishambuliwe na MARADHI ya Mara kwa mara

10).Husaidia watoto ambao UKUAJI WAO sio Mzuri,HAWAONGEZEKI UZITO kulingana na Umri wao

NOTE: Ni bidhaa Bora ya ASILI kwajiri ya watoto imekuja na radha tamu ya machungwa
0763737167

23/04/2024

◾ARTHRITIS

Ni maumivu makali ya maungio ya mwili(joint).Maumivu haya huathiri joint za mikono,magoti enka UTI wa mgongo na macho.maumivu haya huathiri sehemu za maungio 200 na tishu zinazounganisha Mfupa wa juu na chini(cartilage).Ugonjwa huu huwaathiri sana wazee,wanawake wafanya mazoezi,watu wenye uzito mkubwa/unene pia huweza kuwaathiri watoto.

◾Aina za Arthritis ni osteoarthritis, rheomatoid, psoriasis, spondylitis na gout.

◾DALILI ZA ARTHRITIS
1.Maumivu makali sana .hutoke katikati ya Mfupa ambapo uroto(cartilage) huisha na kusababisha Mfupa wa juu na chini kuzuguana.
2.kuvimba ,kuwaka moto na kuwa na rangi nyekundu kwenye maungio.
3.Mwili kufa ganzi
4.Maungio(joint) kutoa sauti sababu ya kuisha uroto(cartilage).
5.kupata shida kukunja na kukunjua joint pia kupata tabu wakati wa kutembea .
6.kuchoka Muda mwingi na homa inayokuja na kuondoka.
7.Vidole kukak**aa na kuwa na muundo wa Z hii huwa hatua ya mwisho wa ugonjwa huu
8.Macho kuwasha ,kuwa mekundu na kuwa makavu.
9.Matatizo ya kutopata usingizi .
10.pingiri za uti wa mgongo kusagika .
◾Tahadhari:ugonjwa wa Arthritis ukifika hatua ya mwisho MTU hukak**aa vidole na magoti yake huwekewa vyuma ili kusaidia magoti kukunja na macho huwasha,kuwa mekundu na kukauka maji.

◾Je una changamoto hii piga namba

0753737167

22/04/2024

Kitaalamu hii inajulikana k**a post-coital bleeding.

Tatizo hili linawakumba wanawake hasa ambao wana matatizo ya mvurugiko wa hormone,

Hasa hasa hormone ya estrogen na pia wanawake waliofikia ukomo wa hedhi.

Hali hii inaweza kuambatana na maumivu na kwa wengine isiwe na maumivu kulingana na chanzo chake.

VISABABISHI VYA TATIZO HILI:-

📌 Ukavu au uke kuwa mwembamba sana hivyo kupelekea kupata michubuko wakati wa tendo la ndoa.

Pia hali hii inaweza kuwa dalili ya tatizo la kiafya hivyo sio ya kubeza.

Yafuatayo ni magonjwa yanayoweza kusababisha kutoka damu wakati wa tendo la ndoa

1. MAGONJWA YA ZINAA

Magonjwa k**a Kisonono na Chylamidia yanaambata na dalili k**a maumivu ya kiuno, muwasho ukeni, kutokwa uchafu ukeni wenye harufu mbaya.

Pia magonjwa haya hupelekea mishipa midogo ya damu iliyo sehemu ya juu karibia na kuta za uke kuvimba hivyo kupasuka wakati wa tendo la ndoa.

2: VIMBE ZISIZOKUWA SARATANI.
Vimbe zisizokuwa saratani kwenye shingo ya kizazi na mji wa mimba zinasababisha sana hali hii.

Vimbe hizi huisha zenyewe ila zilizo kubwa sana huhitaji kuondolewa kwa upasuaji.

3: CERVICAL ECTROPION.

Hili ni tatizo la shingo ya kizazi ambapo mishipa ya damu ya shingo ya kizazi inakua kwa juu sana kwenye kuta za ndani za shingo ya kizazi hivyo inakuwa rahisi mishipa hii kupasuka na kuvuja damu wakati wa tendo la ndoa.

Hali hii inawakumba sana wanawake walio katika umri wa miaka 20 hadi 35 na wanawake wanaotumia dawa za uzazi wa mpango na wajawazito.

4: MAAMBUKIZI KWENYE UKE (VAGINITIS)

Maambukizi kwenye uke mfano fangasi za ukeni hupelekea kuta za uke kuwa laini sana na kuvimba.

Hali hii inapelekea kuwa rahisi kupata michubuko na kuvuja damu wakati wa tendo la ndoa.

Tatizo hili linaambatana na muwasho pia harufu mbaya ukeni.

Kutokwa na damu ukeni wakati wa tendo la ndoa sio hali ya kawaida kwa wanawake ambao si bikra.

Sio kitu cha kuchukulia poa kwani inaweza kuwa dalili ya tatizo katika mwili wako.

Hivyo basi unapopatwa na hali hii usikae kimya fika hospitalini ili kupata ushauri na tiba mapema.

Usiache kuniandikia changamoto yako ya uzazi unayotaka kuitatua.

Nitumie sms/ Ujumbe whatsapp

0753737167

22/04/2024

REJESHA AFYA YA TEZI DUME


PROSTATIS (kuvimba kwa tezi dume)

Prostatis ni tatizo ambapo tezi dume huvimba. Mara nyingine hali hii hutokana na maambukizi ya bakteria, ingawa mara nyingi hakuna maambukizi ya bakteria yanayoonekana na inashindwa kufahamika sababu ya hali hiyo kutokea.

BAADHI YA DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME NI;
Maumivu kwenye nyonga, viungo vya uzazi vya nje, sehemu ya chini ya mgongo na makalio
�. Maumivu wakati wa kukojoa�. Kujisika haja ndogo mara kwa mara
�. Kukojoa kwa shida, k**a kuanza au kuuminya mkojo
�. Maumivu wakati wa kukojoa manii, ambayo yanaweza kusababisha uume kutosimama au kukosa hamu ya mapenzi

🟢Wakati mwingine unaweza kusikia uchovu, miwasho kwenye maungio ya mifupa na misuli, baridi na joto kali.

🔸Dalili hizi kwa kawaida huanza taratibu na huja na kutoka kwa kipindi cha miezi kadhaa, ingawa wakati mwingine huweza kutokea ghafla.

Nini Chanzo Cha Kuvimba kwa tezi dume?

Kuna aina kuu mbili za prostatitis:
🔻Prostatitis sugu (Chronic prostatitis) – dalili hutokea na kupotea katika kipindi cha miezi kadhaa, hii ni aina ya prostatitis inayoonekana zaidi

🔻Prostatitis kali (Acute prostatitis ) – dalili zake ni kali zaidi na hutokea ghafla; hujionyesha mara chache, lakini huwa ni hatari na huhitaji tiba ya haraka

Acute prostatitis husababishwa zaidi na maambukizi ya bakteria katika njia ya mkojo (figo, kibofu cha mkojo, na mirija inayoviunganisha) wanaoingia kwenye tezi dume.

JE UMEKUWA UKISUMBULIWA NA CHANGAMOTO YA KUVIMBA KWA TEZI DUME???
KARIBU TUKUHUDUMIE KWA SULUHISHO SAHIHI
MAWASILIANO PIGA AU WHATSAPP0753737167

22/04/2024

UGONJWA WA PRESSURE (SHINIKIZO LA DAMU ) NA TIBA YAKE

Nini maana ya shinikizo la damu?

Ni msukumo wa damu ulio juu kuliko inavyotakiwa kwa muda mrefu. Msukumo wa damu huhitajika mwilini ili kusambaza damu,virutubishi,vitamin,protein,madini, oksijeni N.K Kuvipeleka sehemu mbali mbali za mwili nakutoa uchafu.
SABABU ZA MTU KUUGUA UGONJWA WA PRESSURE (SHINIKIZO LA JUU LA DAMU)
☑Uvutaji sigara
☑ Unene na uzito kupita kiasi
☑Unywaji wa pombe
☑Upungufu wa madini ya potassium
☑ Upungufu wa vitamin D
☑Umri mkubwa
☑Ongezeko la kemikali kwenye figo (renin)
☑Kushindwa kufanyakazi kwa kichocheo kiitwacho insulin

*Uanishaji wa shinikizo la damu
☑Presha ya kawaida

22/04/2024

HABARI MPENDWA?!.
Je Unafahamu Wapo Watu Wanaoendelea Kutibu Maradhi Ya Mifupa Lakini Hawaponi?

Wengi hawafahamu Kwanini Hawaponi Wakati Kuna Watu Wanatumia Dawa/Bidhaa Hizo Hizo na Wanapona,

Jibu Moja Kati ya Mengi Ni Kuwa Kuna Baadhi ya Hitilafu Za Organs Nyingine zinazopelekea Maumivu ya Mifupa Na Wakati Mwingine Kuathiri kabisa Mifupa na Maungio. Baadhi ya Hitilafu Hizo
✓Matatizo Katika Mfumo Wa Nerves
✓Matatizo Ya Sukari
✓Matatizo Ya Pressure
✓Sumu Nyingi

📌📌 Tuzungumzie Matatizo Katika Mfumo Wa Nerves.
Hili Ni Tatizo Linalotokana Na Sababu Mbali Mbali Mfano, Ajali, Umri, Mzunguko Mbovu wa Damu, Labour Complications (Matatizo baada ya Kujifungua) Nk.

Huweza Kupelekea Madhara K**a
Kupoteza Uwezo Wa Kusikia, Uwezo Wa Kuona, Kuumwa Sana Kichwa na Maumivu ya Maungio Haswa
✓Mabega
✓Viwiko
✓Miguu Nk

Tiba Inayoweza Kuzalisha Seli Mpya Mwilini, Kuboresha Utendaji Kazi Wa Organs na Hivyo Kutibu Dalili, Ugonjwa na Madhara Yanayotokana Na Hitilafu katika Mfumo Wa Nerves

Tiba Hii Pia, Huondoa dalili zote zinazoambatana na MAGONJWA ya mifupa.

📌📌MFANO WA DALILI HIZO NI PAMOJA NA
¶ Ganzi na misuli kukak**aa
¶ Maungio/Mifupa kuawaka moto
¶ Maumivu Makali ya Nyonga, Mgongo, Magoti, na Kiquno
¶ Kushindwa kutembea, Kusimama au kuchuchumaa kwa mida mrefu
¶ Kusikia hali ya mifupa kuvunjika.
¶ Nyonga kukaza

📌📌PIA HUTIBU MARADHI YA MIFUPA YAFUATAYO
¶ Kukosa Ute Ute Kwa Muda Mrefu
¶ Discs kupishana au Kubandana
¶ Mifupa kusagika
¶ Hip Joint
¶ Gauti
¶ Stroke
¶ Osteoporosis
¶ Vimbe za Kwenye Mifupa
¶ Matatizo Ya Mgongo (Hata waliotoka Kujifungua)

Tiba Hii Ni Kwa Kutumia phytocell Ambayo Ni Product Ya Stem Cells.
StemCells Hushughulika Na Ukarabati Wa Seli Zote Mwilini. Huyu Ndio Mratibu Wa Uzalishwaji Wa Seli Na Utengenezwaji Wa Organs Nyingine Mwilini Zikiwepo Mifupa Na Mfumo Wa Nerves.

Kwa taarifa Zaidi

Call/WhatsApp +0753737167

Address

Dar Es Salamu

0000

Telephone

+255753737167

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA FIRST posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AFYA FIRST:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram