Afya Kwanza

Afya Kwanza Tunafanya huduma ya kipimo cha mfumo wote wa mwili kwa gharama ya tsh 20,000/= tu karibu sana

06/03/2026

UNASUMBULIWA NA MAUMIVU YA MIFUPA AU VIUNGO?
Usiendelee kuvumilia maumivu! Pata huduma bora ya ushauri na matibabu ya matatizo ya mifupa na viungo.
Tunasaidia matatizo k**a:
✔️ Maumivu ya mgongo
✔️ Maumivu ya magoti
✔️ Maumivu ya viungo
✔️ Ganzi mikononi au miguuni
✔️ Maumivu ya kiuno
📍 Tunapatikana Dar es Salaam na mikoani
📞 Piga simu sasa: 0717232454
Afya yako ni kipaumbele chetu. Karibu upate msaada mapema.

🌸 Huduma za Uzazi Bora 🌸Pata ushauri, Vipimo na matibabu ya uzazi kwa uhakika na usiri mkubwa. Tunakusaidia kutimiza ndo...
21/01/2026

🌸 Huduma za Uzazi Bora 🌸
Pata ushauri,
Vipimo na matibabu ya uzazi
kwa uhakika na usiri mkubwa. Tunakusaidia kutimiza ndoto ya kupata mtoto kwa huduma salama na za kitaalamu kwa mwanamke na mwanaume.
📞 Wasiliana nasi: 0717232454

Unaangaika kupata mtoto?Karibu sana eternal upate suluhisho la changamoto zako kwa usahihi kabisa✔vipimo vya mwilizima ✔...
28/11/2025

Unaangaika kupata mtoto?

Karibu sana eternal upate suluhisho la changamoto zako kwa usahihi kabisa

✔vipimo vya mwilizima
✔Afya ya uzazi kwa mwanamke au mwanaume

UNAANGAIKA KUPATA MIMBA?Eternal inakusaidia kutambua na kutibu changamoto za uzazi kwa wanaume na wanawake.✔ Vipimo vya ...
28/11/2025

UNAANGAIKA KUPATA MIMBA?
Eternal inakusaidia kutambua na kutibu changamoto za uzazi kwa wanaume na wanawake.
✔ Vipimo vya kina vya mwili mzima
✔ Ushauri wa kitaalamu juu ya changamoto unazopitia
✔ Tiba za uzazi (Ovulation, Endometriosis, S***m Health)

Safari yako ya kuwa mzazi inaanza hapa
Wasiliana nasi leo kupata suluhisho la changamoto yako.

Karibu katika ukurasa huu kupata suluhisho ya changamoto za afya
04/12/2024

Karibu katika ukurasa huu kupata suluhisho ya changamoto za afya

15/07/2024

MWANAMKE NI LAZIMA UWE MAKINI SANA UNAPOTAFUTA SULUHU LA CHANGAMOTO ZA UZAZI ZINAZOKUSUMBUA KWA MUDA MREFU

Matatizo mengi sana ya wanawake yana dalili za kufanana, yana vyanzo vinavyofanana fanana (baadhi ya changamoto) na matokeo yake huwa yanaonekana kufanana na hiyo ndio sababu wanawake wengi hawaponi changamoto za mfumo wa uzazi kwani wanatumia dawa nyingi wakidhani wanafahamu changamoto zao vizuri lakini kumbe hawafahamu kabisa.

K**a mwanamke una changamoto za kiafya hasa afya ya uzazi, karibu sana kwenye vituo vyetu vya afya vya Gcat Health Clinic vinavyopatikana kwenye zaidi ya mikoa 15 Tanzania kupata suluhu la changamoto yako.

Tunatibu changamoto nyingi za afya ya uzazi wa mwanamke k**a;

👉 P.I.D
👉 Kuvurugika kwa homoni za uzazi (hormone imbalance)
👉 Kutokwa na uchafu sehemu za siri wenye harufu mbaya sana
👉 Fangasi ukeni na uke kuwa mkavu
👉 Mvurugiko wa siku za hedhi
👉 Maumivu makali sana ya tumbo na maumivu ya kiuno mara kwa mara
👉 Mimba kuharibika
👉 Uvimbe kwenye kizazi
👉 Mirija ya uzazi kuziba
👉 Maambukizi kwenye mfumo mzima wa uzazi
👉 Kukosa hamu ya tendo la ndoa
👉 Ovarian cyst na mayai ya uzazi kutokukomaa

Na kubwa zaidi......

👉 KUKOSA UJAUZITO KWA MUDA MREFU

K**a una dalili za changamoto tajwa hapo juu na nyingine nyingi, wasiliana nasi sasahivi kwa suluhisho la kudumu kwani;

✅️ Utafanya vipimo vya mfumo mzima wa uzazi ili kufahamu changamoto yako vizuri kwa thamani ndogo ya tsh 20,000 tu! Ndio ni tsh elfu ishirini tu (pasipo vipimo sahihi ni sawa na kuotea ugonjwa tu).

✅️ Utapata matibabu sahihi kutokana na majibu ya vipimo vya uzazi utakavyofanya.

Sisi ni daraja la afya yako njema ya uzazi, Mungu unayemuamini azidi kukupa afya njema wewe na uzao wako.

SASA KUPATA SULUHISHO JUU YA CHANGAMOTO .

Wasiliana nasi kupitia Namba hii 0717232454
Au gusa link hii itakupeleka Moja kwa Moja watsap https://wa.me/message/R57N7UBJ7K45M1

Offer bado inaendelea kipimo cha mwilizima kwa gharama nafuu, k**a una changamoto yoyote kwenye mfumo wa uzazi, magonjwa...
14/07/2024

Offer bado inaendelea kipimo cha mwilizima kwa gharama nafuu, k**a una changamoto yoyote kwenye mfumo wa uzazi, magonjwa yasiyoambukiza unakaribishwa

Offer bdo inaendeleaaaa  0613021935
14/07/2024

Offer bdo inaendeleaaaa 0613021935

Address

Majumbasita
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Kwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram