Dozi Lishe

Dozi Lishe Nasaidia Kina Baba & Mama Kupungua
Bila Mazoezi Magumu Wala Kujinyima Kula
Dozi ~ Tsh 55,000/= | Usafiri 5000/=
📞 0766 720 120
📍 Dar, Makumbusho

Sipendi Ladha ya Magimbi😫 ila nitafanyaje wakati nataka kumaintain mwili😂🙌🏼...Hayo ni Mayai ya Kienyeji🐣🥚!! Magimbi Vipa...
16/01/2025

Sipendi Ladha ya Magimbi😫 ila nitafanyaje wakati nataka kumaintain mwili😂🙌🏼...Hayo ni Mayai ya Kienyeji🐣🥚!!

Magimbi Vipande 2
Mayai ya Kienyeji 2
Chai ya Tangawizi

Kuacha Wali Fastaa fasta itakua ngumu😂😂 Tupunguze Nimepunguza Portion🙌🙌
07/01/2025

Kuacha Wali Fastaa fasta itakua ngumu😂😂 Tupunguze Nimepunguza Portion🙌🙌

Day 1: Nimetembea Km 6 Nimepiga hatua 7943Date: 6/01/2024
06/01/2025

Day 1: Nimetembea Km 6
Nimepiga hatua 7943
Date: 6/01/2024

1️⃣Bei ya Slim Plus Fat Burner (Vidonge 60) ni Tsh 55,000/=2️⃣Chai ya Kupata Tumbo Flati ni Tsh 35,000/= Kopo 1 la Slimp...
02/12/2024

1️⃣Bei ya Slim Plus Fat Burner (Vidonge 60) ni Tsh 55,000/=

2️⃣Chai ya Kupata Tumbo Flati ni Tsh 35,000/=

Kopo 1 la Slimplus unashusha kilo 10

Call 0766720120

📍Makumbusho, Dar

Kwa Tsh 55,000/= nitakupatia Bidhaa Ya Detox itakayokusaidia Kukurejeshea Uzito Wa Wastani na Kuondoaa Uchafu mwilini..N...
30/11/2024

Kwa Tsh 55,000/= nitakupatia Bidhaa Ya Detox itakayokusaidia Kukurejeshea Uzito Wa Wastani na Kuondoaa Uchafu mwilini..Nipo Dar es salaam - Makumbusho na Bidhaa ninatuma mikoa yote!!

Nipigie 0766 720 120

Delivery Ipo

Nipo hewani!

Tufanye kazi kidogo na kupooza koo👨🏻‍💻✨
16/11/2024

Tufanye kazi kidogo na kupooza koo👨🏻‍💻✨

Address

Mlimani Tower
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dozi Lishe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Story Yangu

Habari Jina langu Ni Amani Longishu ni Mtengeneza maudhui ya Kibiashara na Mitindo ya kimaisha Katika mitandao mbalimbali ya kijamii, Miaka kadhaa iliyopita nilipitia changamoto ya kuwa na uzito mkubwa hadi kupelekea Shinikizo la damu kuwa juu, nilikua siwezi kukanyaga chini nikiwa peku kutokana na uzito mkubwa.

Baada ya kuamua kubadilisha maisha yangu hali ya mwili wangu ilibadilika na kuwa mwenye afya bora na uzito wa kawaida na pia niliondokana na hatari ya kupata magonjwa mara kwa mara.

Katika Ukurasa huu nitakwenda kukusaidia kuishi maisha bora kupitia mazoezi na lishe bora ili kupiga vita Uzito kupita kiasi na magonjwa mengine nyemelezi.

MISSION YANGU