Swahili Yoga

Swahili Yoga Yoga ni Sayansi ,na ni zaidi ya (mazoezi) inayofungua, kutunza na kuendeleza Mwili, Akili na Nafsi ya wanadamu wote.

UNWINDING; Stop…Take a break…Breath out . MATESO ni kuishi na mashiko/ stress , anxiety na wasi wasi, maumivu ya mwili n...
20/02/2025

UNWINDING; Stop…Take a break…Breath out . MATESO ni kuishi na mashiko/ stress , anxiety na wasi wasi, maumivu ya mwili na nafsi.

DEEP RELAXATION: achia mifupa, achia misuli, achia nyama za mwili, achia viungo, achia ngozi…achilia mawazo
25/01/2025

DEEP RELAXATION: achia mifupa, achia misuli, achia nyama za mwili, achia viungo, achia ngozi…achilia mawazo

Meditation; Inaongeza thamani kwenye maisha yetu
16/01/2025

Meditation; Inaongeza thamani kwenye maisha yetu

22/12/2024
MEDITATE; No stress, no anxiety, no fear , no anger, no attachment, no greed, no depression etc
21/12/2024

MEDITATE; No stress, no anxiety, no fear , no anger, no attachment, no greed, no depression etc

Physical Temple; Love and compassion begin to manifest in our daily experiences when we face off our true colors. Howeve...
03/12/2024

Physical Temple; Love and compassion begin to manifest in our daily experiences when we face off our true colors. However, Our bodies are not ready to let us put in the work. on Tuesdays at 7:00pm and Saturdays at 9:00am

MEDITATE: ulimwengu wenye majanga na mahangaiko, mateso na matetemeko ya maisha, maumivu na makasiriko. Akili zetu ziko ...
26/10/2024

MEDITATE: ulimwengu wenye majanga na mahangaiko, mateso na matetemeko ya maisha, maumivu na makasiriko. Akili zetu ziko hatarini , hisia zetu ziko hatarini, maisha yetu yako hatarini, kazi zetu ziko hatarini, mahusiano yetu yako hatarini.

JITAMBUE ~ KNOW YOURSELF
22/10/2024

JITAMBUE ~ KNOW YOURSELF

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahili Yoga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share