Dr. Mzava healthcare

Dr. Mzava healthcare Naitwa Dr. Mzava, nawasaidia watu wenye changamoto za kiafya kwa tiba na ushauri.

TIBA YA KUDUMU YA NGIRI {HERNIA}, CHANGO - WANAWAKE NA WANAUME BILA UPASUAJI •{ OPERATION }•Call&Txt&Whatsapp0762 442 66...
18/06/2024

TIBA YA KUDUMU YA NGIRI {HERNIA}, CHANGO - WANAWAKE NA WANAUME BILA UPASUAJI •{ OPERATION }•

Call&Txt&Whatsapp
0762 442 663

DALILI ZA NGIRI CHANGA KWA WANAUME

1. Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.
2. Kupiga mingurumo tumboni.
3. Kujaa gesi tumboni.
4. Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.
5. Kupata haja ngumu k**a ya mbuzi.
6. Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.
7. Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.
8. Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.
9. Nuru ya macho hupotea taratibu.
10. Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.
11. Kuvutwa makende au upande mmoja maumivu.
12. Kupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.
13. Maumivu makali ya mgongo au kiuno
14. Uume kusinyaa na kunywea k**a wa mtoto

DALILI ZA NGIRI (HERNIA) SUGU( iliyo komaa)

1. kende(pumbu) moja au mbili kuvimba
2. kuvimba Juu ya kinena kushoto au kulia
3. kufanyiwa UPASUAJI wa hernia
4. Kufanyiwa UPASUAJI kisha ika rejea tena
5. kende( pumbu) kupotea zote au moja
6. Kenda kujaa maji.
7. Kuvimba kwa kitovu au kende uvimbe wenye kujaa k**a nyama
8. Kuwa na uvimbe unaoteremka kuingia ndani ya korodani
9. Kuwa na uvimbe unaojitokeza tumboni na kuteremka hadi ndani ya korodani
10. Maumivu/Kusikia kichefuchefu/

DALILI ZA CHANGO LA UZAZI { WANAWAKE }

1️⃣maumivu makali wakati wa kuingia siku za hedhi
2️⃣maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa
3️⃣homa kali anapokaribia siku zake za hedhi
4️⃣uchovu mkubwa wakati siku za hedhi
5️⃣Kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi
6️⃣kupata michubuko kwenye sehemu za uke
7️⃣kuchukia kushiriki tendo la ndoa
8️⃣kupata uvimbe kwenye kizazi

|Tiba| ushauri| na utafiti Dawa asili|

Call & txt & Whatsapp
0762442663.....................................

Address

Mwenge
Dar Es Salaam

Telephone

+255762442663

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr. Mzava healthcare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr. Mzava healthcare:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram