
31/07/2024
NINI HASA KINASABABISHA UJAUZITO KUHARIBIKA NA KUTOKA KABLA YA WAKATI?
Wakati wa ujauzito, mwili hupeleka virutubisho na homoni kwenye kiumbe kinachokua. Hivi vyote husaidia kiumbe kuwa na afya njema na kukua vizuri. Ujauzito unapoharibika ndani ya miezi mitatu ya kwanza, mara nyingi ni kutokana na kiumbe kudumaa.
Baadhi ya sababu ambazo hupelekea ujauzito kuharibika au kutoka ni k**a vile:
VINASABA.
Karibu 50% ya wanawake wajawazito wanapatwa na tatizo kuharibika kwa ujauzito kwasababu ya makosa kwenye vinasaba. Makosa yanaweza kufanyika pale seli za kiumbe zinapogawanyika au inaweza tokana na majeraha kwenye mbegu ya kiumbe au yai la mwanamke.y
MATATIZO YA KIAFYA.
Matatizo ya kiafya pamoja na mtindo wa maisha unaweza kupelekea ujauzito kuharibika, hasa kipindi cha miezi mitatu ya pili (second trimester).
MAZINGIRA YAFUATAYO YANAWEZA KUHATARISHA UJAUZITO WAKO:
~ Lishe mbaya iliyokosa virutubisho vya kutosha
~ Matumizi ya pombe, madawa na sigara
~ Matatizo kwenye tezi ya thairodi ambayo hayajatibiwa
~ Maambukizi kwenye njia ya uzazi
~ Msongo wa mawazo
~ Uzito mkubwa wa kitambi
~ Matatizo kwenye mlango wa kizazi (Cervical incompetence)
~ Kulegea kwa mfuko wa uzazi
~ Shinikizo la damu kuwa juu sana
~ Kutumia vyakula vyenye sumu
~ Matumizi ya dawa pasiio ushauri kutoka kwa mtaalamu wa afya n.k
K**A UNA TATIZO LA KUPATA MISCARRIAGE, WAHI MAPEMA UPATE TIBA.
📞+255 747 966 360
KARIBUNI SANA.