07/05/2025
FAIDA ISHIRINI ZA KIAFYA ZA BAMIA
Bamia ni mboga maarufu hapa Tanzania. Mbali na kuwa na ladha nzuri, lakini pia bamia ina faida mbalimbali za kiafya kwa mwili wa mwanadamu.
Zifuatazo ni faida ishirini (20) za kiafya za mboga mboga aina ya bamia.
1. Inapunguza kolestrol.
2. Inasaidia kuondoa vimelea vya sumu kwenye ngozi.
3. Inasaidia katika kutibu magonjwa mbalimbali ya zinaa k**a vile kaswende, kisonono.
4. Vilevile inaponya tatizo la kwenda hedhi mara kwa mara na chango la k**e.
5. Inasaidia kutibu pumu (asthma).
6. Inaongeza kinga ya mwili.
7. Ina utajiri mkubwa wa virutubisho aina ya fibre.
8. Ina utajiri mkubwa wa virutubisho mwili aina ya protini (hamirojo).
9. Ina saidia kuimarisha afya ya nywele.
10. Inasaidia kupambana na tatizo la uchovu wa mwili, na msongo wa mawazo.
11. Inasaidia kutibu tatizo la kukosa choo.
12. Inawasaidia wanao sumbuliwa na tatizo la kisukari.
13. Inasaidia kusafisha damu.
14. Inasaidia kuponya mafua.
15. Inasaidia kuondoa sumu mwilini.
16. Inasaidia kutibu vidonda vya tumbo.
17. Inasaidia kukinga tatizo la anemia.
18. Ina kinga dhidi ya utapiamlo (unene uliopitiliza).
19. Inasaidia kuimarisha mifupa.
20. Inasaidia kuimarisha mfumo wa kuona.